MWANA CCM AKUBALI UCHAGUZI WA CHADEMA CCM TUNATAKIWA KUIGA KITU ILA TUJIPANGE LISU ATATUANGAMIZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 99

  • @trees8913
    @trees8913 10 วันที่ผ่านมา +16

    Jamaa yuko vizuri. Sikutegemea Kauli ya namna hii kutoka kwake. Ametisha sana

  • @MAJALIWAALOYS
    @MAJALIWAALOYS 10 วันที่ผ่านมา +15

    Huyu mwanaccm kaongea vizuri sana😊

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 10 วันที่ผ่านมา +7

    Bora msiwe wanafiki wote uko vizuri kiongozi

  • @adrophwilliam3225
    @adrophwilliam3225 7 วันที่ผ่านมา +2

    Chadema hongereni sana mmekuwa darasa zuri sana la demokrasia nchini

  • @LuganoMwalwembe
    @LuganoMwalwembe 5 วันที่ผ่านมา

    Upo vzr sana

  • @PauloMlaponi
    @PauloMlaponi 10 วันที่ผ่านมา +8

    Huyu jamaa ameongea points ila ccm watakupiga vitaa

  • @FatumaMussa-q7d
    @FatumaMussa-q7d 10 วันที่ผ่านมา +7

    Safi sana

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 7 วันที่ผ่านมา +1

    Chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉👏👏👏

  • @JumaMaregesi-f6l
    @JumaMaregesi-f6l 6 วันที่ผ่านมา

    Ubalikiwe sana

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe kijana upo safi.hata mimi ni CCM nakubariyana nawewe.uchaguzi tufanye wazi. Lakini .hatuwezi tukafanya kama chadema.

  • @JacobJamesMasangula-oo6pt
    @JacobJamesMasangula-oo6pt 5 วันที่ผ่านมา

    Ukweli mchungu

  • @Hfmmngoyafamily
    @Hfmmngoyafamily 9 วันที่ผ่านมา +2

    CCM bado sanaaaaaaaaaa

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 10 วันที่ผ่านมา +7

    Kwa vinywa wanatamka kwa matendo ni zeroi plus.

  • @AfwilileNisaidie
    @AfwilileNisaidie 7 วันที่ผ่านมา

    Hii ndiyo siasa safi mwenzako akifanya vizuri unampongeza

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 9 วันที่ผ่านมา +4

    CCM hawawezi kuiga demokrasia wanajua wakifanya hivyo hawawezi kuongoza nchi

  • @shilagisalala3626
    @shilagisalala3626 10 วันที่ผ่านมา +5

    Tukipata watu wengi wa mfano wako nchi itaokoka

  • @mwitanyahiri4586
    @mwitanyahiri4586 6 วันที่ผ่านมา

    Maswali ya mwandishi sasa😂😂

  • @knight6757
    @knight6757 10 วันที่ผ่านมา +9

    Mtaweza..kuiga huo ?!

  • @brownmtofole
    @brownmtofole 10 วันที่ผ่านมา +2

    Yes,umeongea kwa hekima

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 9 วันที่ผ่านมา

    Good man

  • @MarcoDamian-pn3pd
    @MarcoDamian-pn3pd 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu CCM haijamkolea vzr (ukikolewa sawasawa akili inageuka)

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji 10 วันที่ผ่านมา +2

    CCM wakifanya chaguzi za aki wataondoka mchana kweupe

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on 7 วันที่ผ่านมา

    Yaani wew dogo unahitaji ulinzi au wew ni Luhanga mpina nini mbona unaongea kiuzalendo na chama chako hakina uzalenda wala haki, nakutumia ulinzi mkubwa, Mungu akulinde yeye ndo silaha tosha kwako

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn 6 วันที่ผ่านมา

    Tukifanya vile tutapigwa asubui namapema sisi tusijaribu jamani

  • @philipombwambo1980
    @philipombwambo1980 9 วันที่ผ่านมา +1

    CCM uchaguzi wao wote niwakihuni sana hebua angalia kwenye uchaguzi wa nec ya ccm ilikua ya hovyo sana

  • @jumakilinja6341
    @jumakilinja6341 7 วันที่ผ่านมา

    Heko kijana upo sawaaa

  • @RajabuMussa-h5n
    @RajabuMussa-h5n 10 วันที่ผ่านมา +5

    Uko vizuri

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 10 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi ccm ni kuteuana tu mpaka sasa mnateua wazee kweli watareta matokeo chanya kwenye nchi yetu

  • @babazizu1255
    @babazizu1255 10 วันที่ผ่านมา +3

    Ndyo maana mm napenda chadema

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u 7 วันที่ผ่านมา

    Mh jamaa yangu nakupa miezi mitatu hiyo nafasi ulionayo itaondolewa 😊

  • @HermetiMasawe-kp8vt
    @HermetiMasawe-kp8vt วันที่ผ่านมา

    Wewe ni ccm kweli, waambie viongozi wako watimize hayo

  • @MichaelMwamanda
    @MichaelMwamanda 10 วันที่ผ่านมา

    Chademaaaa✅☑️✔️✌️

  • @OmmydKilunga-zw8uz
    @OmmydKilunga-zw8uz 7 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi si mnategeme roboti za mitandaoo

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli cdm wameonyesha kukomaaa kwa safari hii

  • @JanethGodfreyyukovzr
    @JanethGodfreyyukovzr 7 วันที่ผ่านมา

    Chadema nichama makini haifanani na Ccm walla Ccm haijaifikia chadema

  • @OmaryMapande-d7d
    @OmaryMapande-d7d 6 วันที่ผ่านมา

    Hakuna cha kujifunza sababu uchaguzi wao umeacha maumivu

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 10 วันที่ผ่านมา +4

    Uchaguzi huru na wa haki😮😮It is easier said than done

  • @gabrieljohn6422
    @gabrieljohn6422 7 วันที่ผ่านมา

    Mpuuzi kabisa eti Democrasia haikuwepo

  • @njanjimlwale
    @njanjimlwale 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu anawezakuja mwanasiasa mahiri sana kwa kusema ukweli japo huko alipo kuna shida sana kwa mtu anaezungumza ukweli hususan ule unaowagusa wakubwa

  • @RobinsonKadogo
    @RobinsonKadogo 7 วันที่ผ่านมา

    Lissu ajiandae kuupata kura za ccm sana sana

  • @BarakaIsmail-p4w
    @BarakaIsmail-p4w 10 วันที่ผ่านมา +2

    Unafiki umeanza kupungua tanzania uko vizur kaka chadema ni mfano Wa kuigwa.

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 9 วันที่ผ่านมา

    Wakipatikana vijana km huyu chawa na wapambe wataisha ccm

  • @RockusssySanka
    @RockusssySanka 10 วันที่ผ่านมา +2

    Naomba CCM waendelee na shingo ngumu ili watu watakapo zinduka hapo ndiyo itakuwa mwisho wao !!!!!

    • @HvhVvb-k3i
      @HvhVvb-k3i 10 วันที่ผ่านมา

      Itachukuwa mda maana damu z watu wengi zishamwagika

    • @MosesOlemuta
      @MosesOlemuta 10 วันที่ผ่านมา

      Inatakiwa wakianza kumwaga damu ya watu waanze na wewe

  • @RICHARDMADEBE
    @RICHARDMADEBE 10 วันที่ผ่านมา +1

    Ccm jiandaeni kuwa chama Cha upinzani wtz wamewachoka mkikubali uchaguzi wa huru na haki ccm kwaheri nani anawataka? Watumishi wanalia hamlipi madeni Yao mmewapiga na kikokotoo nk wanaichi mmewakaba kwa tozo za Kila aina nani anawataka? Ccm

  • @njanjimlwale
    @njanjimlwale 7 วันที่ผ่านมา

    Kaka amenena kilicho sahihi japo najua wapo wengi hawapendi hiki alichonena lakini huo ndio ukweli.

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 7 วันที่ผ่านมา

    Muuliza maswali usirudie rudie maswali

  • @ODENILWILA
    @ODENILWILA 10 วันที่ผ่านมา +1

    Ccm miizi ya kula

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 7 วันที่ผ่านมา

    Mmetukaba na Kodi nyingi Kwa AJILI ya matumbo na watoto wenu

  • @estomiailomo7844
    @estomiailomo7844 7 วันที่ผ่านมา

    Kijana umeongeq point katika wana chama cha mapinduzi huo ndo uqnaume ndo maana mnapo Ingia ulingoni mnapigana peupe ili utakaye shindwa utaonekana na kujua kuwa nilizidiwa popote ulipo tuma namba nikutumie hera ya soda umeongea eko sikuizi raia hawataki matokeo ya mifukoni kuna viongozi tunashindwa kuwaadabisha kwa kushindwa kutekeleza miladi kwa sababu wanasema walijichagua hii sio haki

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 10 วันที่ผ่านมา

    Huwa wanasema ndoa ni kuvumiliana, kuweni wavumilivu.

  • @eliashelyongolo4123
    @eliashelyongolo4123 9 วันที่ผ่านมา

    Cdm!mmewashtaki viongizi wa vyama vingine Kwa WANANCHI na WANANCHI wameonaa inawezekana Hali ikatendeka huku wanaona ukweli wote!!ngoja tuone .

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 7 วันที่ผ่านมา

    Ccm aikosei chadema wanajifunza kupitia ccm

  • @IvanRaphael-hh6zz
    @IvanRaphael-hh6zz 10 วันที่ผ่านมา

    Umenena vema sana

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 10 วันที่ผ่านมา

    Jamani hacheni woga Lissu ni binadamu kama wengine.raia mwema aogopi polisi.Lissu anaogopwa nini?

  • @JaphetMulungu
    @JaphetMulungu 10 วันที่ผ่านมา +1

    Muongo ww sema wametuzidi.chaguzi za chadema wamefanua wazi.je nyinyi mumewai kufanya kura za wazi?

  • @MichaelMwamanda
    @MichaelMwamanda 10 วันที่ผ่านมา +2

    Safiiiiiiiiiii👍👍👍👍👍👍

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 10 วันที่ผ่านมา

    Wimbo kila uchanguzi huru na haki wimbo wa ccm na wanauchafua wao

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 9 วันที่ผ่านมา

    Kijana una akili lkn mkweli

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 10 วันที่ผ่านมา

    Sanaaaa tu usemayo hata uxhaguzi wetu wa Ccm uwe hivyo kwa uwazi kabisa

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 9 วันที่ผ่านมา

    Kidumu Chama Cha Mapinduzi: Ulichoona ndicho tunapaswa tukibebe CCM na tukifanyie kazi.Chadema sio adui wetu CCM Ila nshindani wetu kisiasa.

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 10 วันที่ผ่านมา +2

    Aki ccm wataenda nyumbani wakifanya hiyo watu wamechoka na ccm. Mm mwenyewe ccm lkn nitapigia upizani

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 10 วันที่ผ่านมา

    Acha ubwege!uchaguzi wa chadema umekigawa chama!hakuna cha kujifunza!!

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 9 วันที่ผ่านมา +1

      Naona una matatizo kidogo. Umekigawa au la bado wamefanya uchaguzi sisi hatujafanya uchaguzi tumepitisha viongozi na sio wote tumefurahia Hilo.

    • @DullahIweni
      @DullahIweni 6 วันที่ผ่านมา

      Ndio tatizo lenu nyie mazuzu,ndio sababu chama chenu had leo mmeshindwa kuwapa vijana kwa sababu ya nidhamu yenu ya uoga.

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 7 วันที่ผ่านมา

    akamaliogopa dodoma Kwa lisu atakubali

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 10 วันที่ผ่านมา +2

    CCM hawawezi kufanya uchaguzi wa huru na haki CCM hawa wezi shinda walisho zoea uwizi na uongo?

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 7 วันที่ผ่านมา

    chadema Kuna wasomi kimbisa amewapigisha makofi nyie simulipiga makofi na kushangiliya

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 10 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni mwanasiasa uliyebobea

  • @uwezotv
    @uwezotv 9 วันที่ผ่านมา

    Wewe situnakujua ni chadema kabisa

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 10 วันที่ผ่านมา +1

    Uchaguzi ata akateuliwa Mbowe kuwa ndio Msimamizi wa uchaguzi Taifa upande wa Uraisi ccm inachukuwa kwa kishindo tu

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 10 วันที่ผ่านมา

    Huyo nyuma anacheka nini

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 10 วันที่ผ่านมา +1

    CCM ILIKUFA NA MWL. J.K. NYERERE. MULIOBAKI NI FIBAKA NA WARAFI WA MADARAKA, HAKUNA ANAYEWEZA KUKUBALI KUFANYA UCHAGUZI WA HURU NA HAKI KWENYE INZI WA KIJANI. HAKO SUBIRINI UTEUZI TU

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 10 วันที่ผ่านมา

    Umelishwa ujinga na unasimulia ujinga. Hofu au woga umewajaa na kushindwa kukosoa madudu ya CCM!!

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 10 วันที่ผ่านมา

    CCM haitawezekana kamwe

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 7 วันที่ผ่านมา

    kijana uko gizani

  • @marwakisyeri3501
    @marwakisyeri3501 9 วันที่ผ่านมา

    What extra comments?

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 10 วันที่ผ่านมา

    Mwana CCM mwenzetu kuna baadhi mazuri sana ya kujifunza kwa Chadema Hakuna mwenye hati miliki ya Uongozi( Alfa na Omega ) Kiongozi ni chaguo la wengi Kabla ya Chama kumpendekeza Kiongozi lazima kwanza kupitia kwa walio wengi ili kujua kama anakubalika

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 10 วันที่ผ่านมา

    Hakika umenena

  • @UmababuBunjuB
    @UmababuBunjuB 10 วันที่ผ่านมา +4

    Ndugu umechangia vizuri tunaendaa kuwashinda kwa haki na mama yetu ni mtu wa haki

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 10 วันที่ผ่านมา +1

      Msema kweli ni mpenzi wa Mungu

    • @MosesOlemuta
      @MosesOlemuta 10 วันที่ผ่านมา

      Mukundu wewe msema kweli ni mpenzi wa mungu

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 10 วันที่ผ่านมา

    HUYU JAMAA KWELI AMEANZA KUOKOKA,HAIJA WAHI KUTOKEA WANA CCM KUSIFIA CHADEMA, MUNGU AMEFANYA HIVI ILI KUWA ONYESHA WATU UCHAGUZI UNATAKIWA UWE HIVI ILI HATA MTU AKIANGUKA KUCHAGULIWA HANA MASWALI,KULIKO ULE WA VIFICHO.

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 10 วันที่ผ่านมา

    Ccm ina usa ngorongoro na kupiga watu wetu risasi niwape kura siwezi

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 10 วันที่ผ่านมา

    Siasa haina uadui futa kauli ya adui. Siasa zinatakiwa 4R.

  • @GavyoleJonas
    @GavyoleJonas 6 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni ccm lakini nimependa namna ya ulivyo mkweli na sahihi wewe ni mzalendo,lakini sio ccm njaa wasiooenda haki na uhuru wa watu wengine

  • @AminaJofrey-u8m
    @AminaJofrey-u8m 10 วันที่ผ่านมา

    Hakuna kiongozi wa CCM anayeishi kwenye maneno yake. Kutamka uchaguzi utakuwa huru hawakuanza Leo na hakuna chochote kina chofanyika zaidi ya wizi wa kura tu. Kama polisi anakimbia na box la kura bila aibu Ili kuisaidia ccm, haishangazi kuona hayo na mengine ndio demokrasia ya ccm. Chukulia kwa mfano, mwenyekiti wa CCM anachaguliwa baada ya kuwa Raisi na hakuna wa kushindana naye, mitano yap pili rais akichaguliwa aendelee hakuna mwanachama mwingine yeyote anaruhusiwa kuchukua fomu. Huo ndio uhuru wa uchaguzi huko ccm ambao ni udikteta tupu. Na wewe unayeshauri wakajifunze kule Chadema, jiangalie usije ukaungana na Soka na wenzake.

  • @StephanoGallet-dq7ch
    @StephanoGallet-dq7ch 10 วันที่ผ่านมา

    Muongo huyo

  • @babazizu1255
    @babazizu1255 10 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaaa anatakiwa kupigwa na ccm chadema na Act pamoja na cuf kaongea vzr sanaaaaa

  • @abdallahawadh4168
    @abdallahawadh4168 10 วันที่ผ่านมา

    Hujitambui wewe kura za wazi alianzisha mhe magufuli na mwaka uliopita kura zote toka kata mpaka taifa acha kukurupukq wewe

  • @falesiboniphace2194
    @falesiboniphace2194 10 วันที่ผ่านมา +2

    Unauliza umejifunz nn,wkt amesha kujibu

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 10 วันที่ผ่านมา

    Hakuna coment!

    • @knight6757
      @knight6757 10 วันที่ผ่านมา

      🤔