Nawakubali sana kangeta ila sema tu mpo mbali sana na mikoa ya kanda ya ziwa kwasabab nataman kupata maelekezo kuhusu dawa xa kuulia vijidudu kTika tikit
Wadau wameuliza umechanganya ratio ya mbolea zipi na zipi naona hujajibu. Badala yake umeweka namba za simu. ungeweka wazi ili upunguze usumbufu. mbolea zenye nitrate zinafahamika, zenye calcium pia phosphorus zinafahamika. issue umechanganya kwa ratio zipi?
Unatoa elimu nzuri, lakini sasa ungefafanua vizuri ni Mbolea gani ina Calcium, Boron, Potassium kwa wingi ili mtu mwenye elimu ndogo juu ya mbolea aende moja kwa moja kununua mbolea hizo zenye virutubisho hivyo. Japo utakuwa umewasaidia kupromoto wenye mbolea hiyo, siyo Mbaya.
@@kangetakilimo6268sasa wakati unajibu hilo kwann usinge jibu kama ni yurea na dp au ipi na ipi nyie mmeshika mara calsiamu mara kacha hatuelewi bwana mnatuzungusha2
Tuamboe unachanganya mbolea Gani na Gani darasa lako harimalizi kiu ya wanafunzi kama dawa elaeza dawa gani
Habari? Naomba kujua mchanganyiko wa mbolea aina gani. unaposema calcium, nitrate na potassium unanichanganya mkuu.
safi mtaalamu
Napenda kilimo ni kiwaona mlio pinga hatua mpaka nawatamani
Tuko pamoja .mm sana kilimo cha dwup vifa hupatikana WAP kaliakoo nikacheki kk
Vp tunaweza kukusaidia upatiksji wake
umechanganya nini nani mbona husemi ndugu
Nawakubali sana kangeta ila sema tu mpo mbali sana na mikoa ya kanda ya ziwa kwasabab nataman kupata maelekezo kuhusu dawa xa kuulia vijidudu kTika tikit
mbolea gani na gani
NIMEKUELEWA ILA MBONA HUJAONYESHA IVYO VIWANGO VYA MBOLEA ULIZO CHANGANYA HAIJULIKANI KAMA NIKIASI GANI?
Kuna namba za simu hapo unaweza uliza na kujibiwa
Mbegu ipi iyo ulotumia
Good work
kangeta kilimo😍😍
vema,,aina ipi na ipi ya mbolea huchanganywa na viwango vyake kwa ekari moja
Potassium na calcium
@@kangetakilimo6268yani sisi tushazoea uweke wazi kama urea na dp
Maana mara kasiamu hatuelewi
Pls translate...the world wants to hear what you are saying
Hivi kweli tikiti likinyeshewa na mvua linaharibika shambani?
Naomba kujifunza kilimo cha tikiti
Wadau wameuliza umechanganya ratio ya mbolea zipi na zipi naona hujajibu. Badala yake umeweka namba za simu. ungeweka wazi ili upunguze usumbufu. mbolea zenye nitrate zinafahamika, zenye calcium pia phosphorus zinafahamika. issue umechanganya kwa ratio zipi?
Kuna namba za simu na email wanaweza kutuma na kujibu muda wote watasaidiwa tu
Unatoa elimu nzuri, lakini sasa ungefafanua vizuri ni Mbolea gani ina Calcium, Boron, Potassium kwa wingi ili mtu mwenye elimu ndogo juu ya mbolea aende moja kwa moja kununua mbolea hizo zenye virutubisho hivyo. Japo utakuwa umewasaidia kupromoto wenye mbolea hiyo, siyo Mbaya.
Sawa tutalifanyia kazi pia kunanamba ya simu kama ukiwa hujaelewa unaweza uliza pia na kusaidiwa
@@kangetakilimo6268sasa wakati unajibu hilo kwann usinge jibu kama ni yurea na dp au ipi na ipi nyie mmeshika mara calsiamu mara kacha hatuelewi bwana mnatuzungusha2
Taturisha boriya gani achakuoge tu