Nyisake Chaula_jinsi Mungu alivyo otesha mishipa ya moyo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 98

  • @MILDREDMMBISHI
    @MILDREDMMBISHI 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Mungu anyaweza yote.

  • @rerisamba
    @rerisamba 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu wewe hakuna kinacho. Kushinda utabaki kua Mungu shetani ulishindwa kabisa unaumwa sana naushuhuda wa huyu mama kuhusu jehenam

  • @rerisamba
    @rerisamba 8 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭jamani haya yote nikwaajili ya ushuhuda wa jehanam ndio shetani aliamua haya yote mpaka mtumishi unakua kicheko ati anaombea wengine naameshindwa na kwake pole sana kweli umepitia

  • @MarthalukasHerman
    @MarthalukasHerman 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina kubwa Sifa ni kwa Yesu kristo

  • @carolinederi5690
    @carolinederi5690 ปีที่แล้ว +4

    Hallelujah 🤚 glory to God nimejifunza hakuna shauri wala Maarifa kwa mwanadam juu ya Mungu ... He's beyond our imagination

  • @Nyota1-en4oq
    @Nyota1-en4oq 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante yesu

  • @inyanje6528
    @inyanje6528 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimetiwa moto sana

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 2 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji unanifundisha imani.Asante Mungu wangu

  • @CobayedeChrist77
    @CobayedeChrist77 6 หลายเดือนก่อน +1

    Gloire à Dieu

  • @MnanilaMrsmnanila
    @MnanilaMrsmnanila 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nimelia nikimshsngaa Mungu,maana alikuwa na uwezo wa kuumba moyo upya na usiwe na tofauti na Moyo wa mtu mwingine,lakin Mungu akaotesha mishipa mwingine ili watalaam wachanganikiwe kwa sababu hawajawahi ona wala sikia,oooooh!!!haleluya utukufu ni leaked aliye juu Ameen.

  • @DeboraNgwavi
    @DeboraNgwavi 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu ashukuriwe aliye juu,na kuna utumishi mkubwa ndani ya huyo mtoto na Mungu aje amtumie apendavyo,ni muujiza mkubwa sana,Mungu anaweza.

  • @fraidamsemwa5518
    @fraidamsemwa5518 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sifa kwa Mfalme Mkuu aliyefanya yotee!,

  • @mariahyera3737
    @mariahyera3737 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina dada. Shetani alikuwa na nia ya kukuangusha kihuduma. Lakini neno la Mungu si la binadamu. Nami nilifanyiwa muujiza wa uponyaji wa binti yangu akiwa na tatizo la matundu kwenye moyo na mishipa iliyofeli. Jina la Bwana lihimidiwe sasa na hata milele.

  • @VainqueurMaruba
    @VainqueurMaruba 2 หลายเดือนก่อน

    Amen mama Mutumishi wa MUNGU.
    Nasikiya hii ushuhuda ya mtoto inanitiya moyo sana hata namiye ninashida ya tokeya kizalikiyo MUNGU aliye tendeya Elvis na miye anipe ushuuda 🙏🙏.

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen amen, Hakika MUNGU ni mwema saan , asnte mam kwa ushuhuda mzito, MUNGU wako aliyeponya mtoto naomba anikumbuke n mim kwa jina la Yesu amen

  • @pascalinamukui8400
    @pascalinamukui8400 3 ปีที่แล้ว +3

    Haki mungu ni mwema ushuhuda umenitoa machozi ya furaha kwa yale mungu amekutendea mum,mtoto mzuri haki ametulia ,barikiwa sana mum na familia yako🙏

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 3 ปีที่แล้ว +1

    Nmekaa chini kusikiza ushuhuda huu hakika unatia moyo unainua kwa kweli na kutusongeza karibu na Mungu Amen

  • @ecabelmwai3474
    @ecabelmwai3474 11 หลายเดือนก่อน +1

    Umweeeeeeeeeeh😢😢😢😢😢

  • @annacambaango6434
    @annacambaango6434 2 ปีที่แล้ว +1

    Rosanna Rosanna Hallelujah amen Yesu wants Nyisaki Ubarikiwe Dada

  • @florencekimotho887
    @florencekimotho887 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ametenda na atazidi kutenda!!!! Mtumishi, tunaweza wasiliana namna gani?

  • @shayograce7193
    @shayograce7193 2 หลายเดือนก่อน

    Huu ushuuda unanijenga sana unaniinua sanaaaa kiimani

  • @zaitunnanjira6078
    @zaitunnanjira6078 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭 nashindwa kuzuia machoz ya furaha na shukran kwa Mungu kwa ajili ya mtoto Elvis,,ahimidiwe Mungu wamilele asiyeshindwa...🙏

  • @lydiabenjaminmgalula6189
    @lydiabenjaminmgalula6189 2 หลายเดือนก่อน

    Utukufu kwa Mungu mtenda miujiza😔🙌

  • @estershadrack5109
    @estershadrack5109 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atabaki kua Mungu nimeongeza kiwango cha imani

  • @ModestaTindwa
    @ModestaTindwa 5 หลายเดือนก่อน

    Amina, nimetiwa moyo sana ubariwe mtumishi

  • @kizandume3015
    @kizandume3015 หลายเดือนก่อน

    Amen bwana yesu asìfiwe sana

  • @LylianeBaumaLyly
    @LylianeBaumaLyly 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU yu mwema sanaaa namupenda yesu

  • @florenceokullo6049
    @florenceokullo6049 ปีที่แล้ว +1

    Amina hakuna kinacho mshinda Mungu

  • @IluminataMatuta
    @IluminataMatuta 2 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi mungu aendelee kukutia nguvu

  • @dorcaspatrick7039
    @dorcaspatrick7039 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah

  • @tausipaschel155
    @tausipaschel155 2 ปีที่แล้ว +3

    YESU USIFIWE MILELE HATA MIMI UTANITENDEA.

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 2 หลายเดือนก่อน

    AMEEEEEN UTUKUFU KWA YESU KRISTO

  • @janemwakyoma4600
    @janemwakyoma4600 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kuwa hakuna lisilowezekana kwa MUNGU

  • @danielmlwafu4380
    @danielmlwafu4380 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mkubwa nyiee😭😭😭

  • @elizajeremiah774
    @elizajeremiah774 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen mama Kwa Mungu Yote yanawezekana, mama mahubiri yako tu. Akili zetu zinapoishia za Mungu wetu ndo zinaanzia hapo. Barikiwa Elvis Ni mtumishi Wa Mungu.

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu anaweza kila kitu🙏🙏❤

  • @emmyakishy3767
    @emmyakishy3767 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole mtumishi wa mungu bwana yesu apewe sifa

  • @MungaAsakya-fu7me
    @MungaAsakya-fu7me หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema

  • @mercymutabe1306
    @mercymutabe1306 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen mungu ni mwema kwetu sisi wanadamu huo ni muujiza

  • @zelda9450
    @zelda9450 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @monicakayombo4770
    @monicakayombo4770 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mkubwa alietenda kwa mtoto huyu aniponye na mimi....

  • @sebastianpeter2764
    @sebastianpeter2764 2 ปีที่แล้ว

    Namtukuza sana Mungu kwa ajili yako mama...kuna kipindi nilikuwa nafatilia mahubiri yako kumbe wakati huo huo ulikuwa unapitia magumu kiasi hiki na wala hukutahayarika...nimejifunza kitu kikubwa sana kupitia ushuhuda huu..ubarikiwe sana mama

  • @godisgood8943
    @godisgood8943 3 ปีที่แล้ว +1

    Jina la bwana libarikiwe, Yesu nimwema. na mungu abariki wa Doctors na wa nurse duniya nzima huwa wanajitaidi, kinacho shindikana kwao Yesu anatenda. Amen

  • @mercymutabe1306
    @mercymutabe1306 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni pst imanueli mungu pamojanasi

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki san kwa kuinua mioyo ya waliokata tamaa, Mungu wetu ni mwaminifu san, hatamuacha mweny haki aangamie,

  • @lyn254
    @lyn254 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante Mtumishi kwa ushuhuda . Umenitoa machozi .Mwanao Elvis ni Mtumishi wa Mungu .

    • @nyisakechaula9433
      @nyisakechaula9433  3 ปีที่แล้ว

      Huruma za Bwana

    • @lyn254
      @lyn254 3 ปีที่แล้ว

      @@nyisakechaula9433 Amina.

  • @yoelidickson97
    @yoelidickson97 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa kwa huduma yako MUNGU ALIYE HAI AKUBARIKI MAMA..

  • @gettekapa5123
    @gettekapa5123 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu asifiwe saaana. Barikiwa Mama Nyisaki

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 2 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaah Yesu Ni Mkuu Sana , Pole Sana Kwa Hayo Mapito.

  • @wandesengelema6350
    @wandesengelema6350 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameen utukufu kwa Mungu aliye juu hakika nimepiga hatua kubwa kiimani

  • @luciekima6698
    @luciekima6698 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mama kwa ushuhuda huu. Mungu azidi kuku inuwa katika kazi yake

  • @rosehalau1014
    @rosehalau1014 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina mama,namwangalia Mungu.Nimejifunza kuwa Mungu ana njia nyingi mno katika utendaji wake.

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 2 หลายเดือนก่อน

    HALLELUJAH GLORY TO GOD!

  • @luciekima6698
    @luciekima6698 2 ปีที่แล้ว

    Leo Tariki moja ya mwezi wa kwanza 2022. Nimepata Neema ya kuusikiliza ushuhuda huu mukubwa. Imani yangu imeumbika ndani yangu kwa upya. Mungu ni mukuu saaana. ahimidiwe milele na mille

  • @rechomethod8288
    @rechomethod8288 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mungu amekuhurumia, good morning boy

  • @victoriajames6190
    @victoriajames6190 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah MUNGU ATUKUZWE

  • @sikitugeorgette
    @sikitugeorgette 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏

  • @teddymabula3371
    @teddymabula3371 3 ปีที่แล้ว +1

    Atukuzwe Mungu asiyetutoa kuwa mawindo ya adui

  • @catherinemwaibale8375
    @catherinemwaibale8375 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazuri sana haka katoto❤️❤️🥰🥰🥰

  • @jescaosmundi5822
    @jescaosmundi5822 3 ปีที่แล้ว +1

    Utukufu ni kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi matendo yake ni makuu sana

  • @brightthabit9749
    @brightthabit9749 3 ปีที่แล้ว +1

    Ashukuriwe Mungu aliemtendea miujiza mwanao, Mungu alitaka ajipatie utukufu

  • @margaretmukami775
    @margaretmukami775 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen niushuhuda ulio hai🙏

  • @floramwamghunda3186
    @floramwamghunda3186 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mkubwa,hafananishwi Wala halinganishwi,amen

  • @janemabada3357
    @janemabada3357 3 หลายเดือนก่อน

    2024/07/26 nasikiliza ushuhuda huu wenye nguvu HAKIKA MUNGU UNAISHI WABARIKIWE WATUMISHI WA MUNGU FAMILIA YA BETI ZARI yanashqngaza haya maskioni mwangu MUNGU NI MKUU hongera na asante mama kwa kusimama kwenye nafasi tuinuke kiimani tunaosikia
    UTUKUFU KWA MUNGU KTK JINA LA YESU

  • @mecknesjonas7137
    @mecknesjonas7137 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameen mwanangu Elvis Mungu aendelee kukutunza kwa jina la Yesu

  • @CacoraEnterprises
    @CacoraEnterprises หลายเดือนก่อน

    Amen❤❤

  • @jacquelineblessing6879
    @jacquelineblessing6879 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu ni mwema Sana🙌🙏

  • @jeannesumaili8718
    @jeannesumaili8718 3 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu ni mwema saana kwetu 🙏 Imani ni kila kitu

  • @rechomethod8288
    @rechomethod8288 2 ปีที่แล้ว +1

    Katoto kanzuri jamani😍

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 3 ปีที่แล้ว +1

    Amin Amin
    Ubarikiwe kwa ushuhuda ka
    Elvis kazur

    • @rosengimba7034
      @rosengimba7034 3 ปีที่แล้ว

      Mama ubarikiwe sanaaa kwa ushuhuda,,,, nimejisikia Julia kwani kutengwa na ndugu sijaaza Mimi! Hata wewe mtumishi wa MUNGU ulifanyiwa hicho kitu?

    • @rosengimba7034
      @rosengimba7034 3 ปีที่แล้ว

      Ukweli nalia kwa ushuhuda umenisusa sanaa

  • @biblianenolaukweli5616
    @biblianenolaukweli5616 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nimkubwa sana mama yangu unanipa moyo sana mama

  • @denisi-q7g
    @denisi-q7g 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi

  • @nuhumhagama8187
    @nuhumhagama8187 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen utukufu kwa Mungu aliye juu Mbinguni

  • @goodluckulimboka8117
    @goodluckulimboka8117 3 ปีที่แล้ว +1

    Utukufu ni KWA MUNGU wetu aliyezifanya MBINGU na NCHI....anatenda KWA kila jambo ili jina lake litukuzwe....nimetiwa MOYO sana na huu ushuhuda!!!

  • @marysolomon7683
    @marysolomon7683 2 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed mom

  • @tausipaschel155
    @tausipaschel155 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyo NI mtumishi wa MUNGU mama uliyezaa mama na ndio maana amepata upinzani m kubwa waisraeli wenyewe wanajua ya kwamba Mungu ndiye aliyefanya muujiza huo

    • @jhstationery3036
      @jhstationery3036 ปีที่แล้ว

      Nakushu mungu Kwa yote unayoendelea kunitendea ameni

    • @dinairenge
      @dinairenge 11 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @jestinangulo5444
    @jestinangulo5444 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu

  • @esthernyawa8602
    @esthernyawa8602 3 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God...

  • @jescamahenge1405
    @jescamahenge1405 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏🙏

  • @racheljoseph6071
    @racheljoseph6071 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani jamani

  • @annesebree9897
    @annesebree9897 3 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God.

  • @EsterChilato
    @EsterChilato 5 หลายเดือนก่อน

    MEEN

  • @virginianjoroge8867
    @virginianjoroge8867 3 ปีที่แล้ว +1

    Wao what a testimony

  • @biblianenolaukweli5616
    @biblianenolaukweli5616 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen maman