Hii ni baadhi ya nyimbo Mwalimu David Mueke (sasa mwenda zake)aliweza kufanikisha Kwa njia ya kufunza(training) tulijivunia kazi zake nzuri sana sisi wanarika wa Masinga Our lady of assumption, haswa Kwa ubigwa wake wa kunyorosha sauti(vocal training.. alituweka kwenye level nyingine twashukuru Kwa hilo🙏 Mungu azidi kubariki na kumpa pumziko lenye amani katika ufalme wake, hatuna budi kuzidi na hiyo kazi aliyo anzisha.. Kwa hivyo bonyeza pale chini subscribe, view, like na comment na tuzidi kumtukuza Mungu Kwa Nyinginezo nyingi zijazo🙏🙏shukrani

Let Mwalimu Continue resting in peace...
Am Eagerly waiting for the 2022 composition
@@Shinnerspro2277 it's ready soon I will be uploading
I sang it before mukusu catholic ,,but now nko mombasa,changamwe choir ,,gold class
I remember back then at Christ the king masii parish presenting setpiece with mwalimu mueke..
Mungu aipumzishe roho yake milele
I really love you guys. .my former parish
Nice song keep up guys .
Nice song keep up
🔥
Nice song Mwathi
Thanks kioko
Nice one, keep it up more and more
Thanks mumy, praise be to God🙏
@@cosmasmwathi, Amen 🙏🎊
May his soul rest in eternal peace, Director Mueke😭😭
Mr.mueke
Thanks mwalimu, let's share the link
Wow nice vocals ,,,make more practice on voice training will be the best
Ok thank you
Sorry diamond class