DC Rorya aagiza uchunguzi daraja la Sh74.9 milioni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Mkuu wa wilaya ya Rorya, mkoani Mara Juma Chikoka ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini ( Takukuru) kufanya uchunguzi ili kubaini gharama halisi zilizotumika katika ujenzi wa kivuko cha waenda kwa miguu kwenye mto Mori katika kijiji cha Kowak.
    Kivuko hicho kilizinduliwa Julai 11, na mkuu huyo wa wilaya kwa ajili ya kusaidia wakazi wa kata za Nyathorogo na Mirare pamoja na kata za jirani kuweza kuvuka mto huo kufuatia kutokuwepo kwa kivuko katika eneo hilo na maeneo ya jirani.

ความคิดเห็น • 3

  • @ibrahimmseti
    @ibrahimmseti 2 ปีที่แล้ว

    Aisee,hilo daraja kweli?
    Rorya tuna viongozi mazuzu na majizi

  • @hemeddaud618
    @hemeddaud618 2 ปีที่แล้ว

    Tumepigwaaaaaaaaaaaaaaa