Maafisa wa usalama Kisii wanafanya mkutano baada ya vikundi viwili pinzani kupanga maandamano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 เม.ย. 2024
  • Maafisa wa idara ya usalama kaunti ya Kisii wanazungumzia msukosuko wa Kisiasa kaunti hiyo huku wakiratibu mikakati ya usalama. Maafisa hao wakiongozwa na kamanda wa kaunti ya Kisii Charles Kases wanaratibu mikakati hiyo huku vikundi viwili pinzani vikipanga kufanya maandamano.
    Chrispine Otieno anaungana nasi mubashara kutoka Kisii na mengi zaidi..

ความคิดเห็น • 14

  • @djwaltz1769
    @djwaltz1769 3 หลายเดือนก่อน +8

    We will never surrender, until Arati is given peace of mind

  • @rebeccabrown5135
    @rebeccabrown5135 3 หลายเดือนก่อน +6

    Serikali ya majambazi tu udaku Ruto hafai jameni

  • @jamesonduso6036
    @jamesonduso6036 3 หลายเดือนก่อน +6

    Those officers are joking with fire those boy might come for them they don't fear guns

  • @user-fu5ju9bp1u
    @user-fu5ju9bp1u 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wajana na Simba wetu nyinyi shelekali ya sakayo

  • @shemnyaka
    @shemnyaka 3 หลายเดือนก่อน +5

    It's very unfortunate that police commanders and CCIOs are used politically. A pathetic Ruto regime

  • @margarettoili6933
    @margarettoili6933 3 หลายเดือนก่อน +1

    Freedom of association, speeh and assembly must be resoected as long as its not inciting.

  • @Traveler32
    @Traveler32 3 หลายเดือนก่อน +2

    My problem is the lend plus lady she looks so frustrated. But still she advertise for lend plus

    • @sethronexke.
      @sethronexke. 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

  • @jameskenyansa4574
    @jameskenyansa4574 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tukutane kesho ndo tujuane ww ni nani

  • @diackomwansu660
    @diackomwansu660 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu Kamanda wa police huwa Ako na ujinga Sana. Ni mtu wa UDA 😂

  • @PeterMose-kn2om
    @PeterMose-kn2om 3 หลายเดือนก่อน

    Simba ni taa yetu tena tano fresh 27 unaendelea

  • @edinanyamoita9857
    @edinanyamoita9857 3 หลายเดือนก่อน

    Looking for englisiii everywhere WTF😅

  • @evansnyabuto9804
    @evansnyabuto9804 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nini inasumbua Ruto surely , you don't have to force us to UDA

  • @RAJ-R64
    @RAJ-R64 3 หลายเดือนก่อน +2

    serikali ya kulazimisha