HALAFU NIWAAMBIE KITU MASHABIKI WA MAKOLO WANA MAKASIRIKO,KUWAITA YANGA TAKATAKA NA WAKATI NI WATANI HAWANA UTANI BALI WANA HASIRA ZA KITOTO,SITAKAA NITAZAME TENA KIPINDI CHENU CHA WAJINGA MAKOLO WIZARD.
😂kufungiwa yanga mnahisi niyo tabu imekwishq kwenu
Nyie wabovu mnategemea ela ya familia ya Dewji hivyo vitabu vya Yanga ni kujiwezesha nyinyi tegemezi pumba nyie
Mbona mlimzuwia mchezaji kwenda mazembe na mukamuacha pwaaaaaa
chagamba huyoo ni machine nyingine ya vijembe uwe unamhoji mara kwa mara kma vile mzee said na mzee masatu
WAKWANZA mm
Acheni kuizungumzia Yanga na nyie mbona kama wasenge mnakataaa msizungumziwe muda wote mnaizungumzia Yanga sana hasa huyo mjinga
Ngasa mbona anaalikwa kwenye mikutano
Jengeni tim lenu bovu tanga hata kama hajasajili mziki ni mnene ule
Uyatunze maneno yako dakika ya mwisho usije ukaruka ruka kama kitenesi
Makolo wameumia sana Yanga kuwa na kiwango kikubwa
Naona Mahojiano Yamejaa Vijembe
Wanaongea ata akielewek Hawa wazeee
Vilaza wame kutana 😂
Mmmh madeni ya 🐸🐸🐸 fc hayaishi leo huko mara huku
@@Emanueli-vz6fdMNA DAIWA LIPENI HELA ZA WATU MATOPOLO MACHOGO FC NYIE 😂😂😂😂😂
Kwakweli vilaza
Mashabiki hawana furaha.....huyu nae hata hajui Chochoteee hata timu yake haifiliii 😂😂😂
LIPENI PESA ZA WATU MATOPOLO MACHOGO FC NYIE 😂😂😂😂😂😂 MTAFUNGIWA KUSHIRIKI CLUB BINGWA YA AFRICA 😂😂😂😂😂 FIFA SIO WATANI ZENU.
We mpuuzi vyombo vya habari vinaongea uwongo mara ngapi??
Yanga pingwa😅😅😅😅makolo wanatapatapa nyie