SIFAELI MWABUKA NI MWIMBAJI WA TOFAUTI SANA, MSIKILIZE AKIMTAMBULISHA MKE WAKE KWA MARA YA KWANZA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 261

  • @augustinelubagula8976
    @augustinelubagula8976 3 ปีที่แล้ว +12

    Sifaeli mwabuka ni wa viwango vingine tuzidi kumuombea tu jumbe zake zote ziko na uwepo wa Mungu keep up men of God

  • @mwashkenya8589
    @mwashkenya8589 3 ปีที่แล้ว +6

    Nlijua Sifaeli juzi tu ,nyimbo zake nmezipenda mno' much love from 🇰🇪🇰🇪

  • @maureenmamagift
    @maureenmamagift 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana mtumishi wa mungu Sifael ...Napenda nyimbo zako huwa zinanibariki sana...much love from middle East

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen nashukuru sana kwa support yako ,please subuscribe my channel and share to others and God bless you

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen mtumishi wa mungu nyimbo zako huwa zinanitia nguvu mno nimedharauliwa sina mbele wala nyuma bt najuwa kuna siku mungu ataniinuwa.

  • @isaacyabeko7969
    @isaacyabeko7969 3 ปีที่แล้ว +12

    Hubiri kakangu MUNGU yupo na wewe , from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @peninahkadogo4131
    @peninahkadogo4131 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akubariki sana hizo nyimbo hunibariki sana God blessed

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and god bless you

  • @edwarderic8732
    @edwarderic8732 3 ปีที่แล้ว +3

    There is someone hating on Sifaeli? Na achomeke zaidi mpinga upako wa Mungu! Asante Sifaeli. Nyimbo zako nikiwa popote duniani nabarikiwa.

  • @levinathomas6526
    @levinathomas6526 3 ปีที่แล้ว +12

    Asante mtumishi. Hakika tunaye Mungu anajibu maombi yetu. 🙏🙏🙏

  • @wamaramugara495
    @wamaramugara495 3 ปีที่แล้ว +3

    Sifaeli mwambuka mungu akubariki sana kaka niko marekani napenda sana nyimbo zako mungu akubariki

  • @ariseandshine
    @ariseandshine 3 ปีที่แล้ว +2

    Sifaeli hapo sawa. Umesema maneno ya busara..Behind any successful man, is a strong woman! God bless your ministry 🙏

  • @naomynekesa6643
    @naomynekesa6643 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika nabarikiwa kupitia kwa huu wimbo ,,Asnte sana hakika tunae mungu

  • @carolempress3183
    @carolempress3183 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wa Mbinguni ambariki sana Sifaeli pamoja na familia yako.Twapenda sana nyimbo zako.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว +1

      amen asante kwa kufuatilia kazi zangu,thanks for your support be blessed more

  • @otimongpatrick5446
    @otimongpatrick5446 3 ปีที่แล้ว +6

    I love your songs here listening from Uganda God bless you abundantly

  • @merrymukeli9482
    @merrymukeli9482 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunakupenda Sana mtumishi wa Mungu sifaeli mwabuka

  • @wolfrodrigo4301
    @wolfrodrigo4301 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow ubarikiwe Sana... Ndugu.
    Naona nikienda viwango vya juu

  • @marceliradukunda846
    @marceliradukunda846 3 ปีที่แล้ว +4

    We follow your message mtumishi wa mungu

  • @salomemlay8309
    @salomemlay8309 3 ปีที่แล้ว +5

    Mbarikiwe sana watumishi nawapenda sana.

  • @chocolatevivian830
    @chocolatevivian830 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sna brother nyimbo nazipenda sna

  • @linetnyaga2368
    @linetnyaga2368 3 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa sana bro+254

  • @binonsakwa1229
    @binonsakwa1229 3 ปีที่แล้ว +3

    Huduma yako ibarikiwe sana kwa kweli umetoka mbali🇰🇪🇰🇪

  • @katua723
    @katua723 3 ปีที่แล้ว

    Kutoka Kenya hapa injili...inasonga...Bwana Yesu asifiwe...Nyimbo zako zanibariki Sana

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen nashukuru sana kwa support yako ,please subuscribe my channel and share to others and God bless you

  • @naomeshimenga2195
    @naomeshimenga2195 3 ปีที่แล้ว +12

    Asente kwa kumupenda mke wako niwajaje sana ubarikuwe from kenya

  • @elizabethnekesa652
    @elizabethnekesa652 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa milele mtumishi wa baba,napenda sana uimbaji wako from Kenya nairobi

    • @elizabethnekesa652
      @elizabethnekesa652 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakika nafurahi sana tena sana na ningekuwa na uwezo ningekualika kanisani mwetu tukuone uso kwa uso unapo tubariki kwa kuimba.barikiwa milele mtumishi wa mungu.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  3 ปีที่แล้ว +1

      Amina

  • @christalgrandberry9283
    @christalgrandberry9283 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe-wewe-na-mkeo-nyimbo-
    Zenu-zinanibariki-sana-bwana-yesu-hakika-ni-mwema-AMIN

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @mosesmishino48
    @mosesmishino48 3 ปีที่แล้ว +1

    Sifael Asante umetubariki hapa Kenya tumesikia sauti yako Asante sana nko kenya

  • @gladysmwende641
    @gladysmwende641 3 ปีที่แล้ว +5

    God bless you brother Sifael..I love your songs they're very inspiring .

  • @merrymwambeneofficial5214
    @merrymwambeneofficial5214 3 ปีที่แล้ว +4

    Waooo Mungu akubariki Sana mtumishi uishi milele

    • @witnessnzali2656
      @witnessnzali2656 3 ปีที่แล้ว

      Mung akubarik San ninabarikiw na nyimb zak

    • @anishamwas228
      @anishamwas228 3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana sifeli yani nyimbo zako huwa zina nibariki sana sana

  • @paulondiek1345
    @paulondiek1345 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen nakupenda Sana Sifaeli nyimbo zako zanimalisha fyu

  • @immaculatenabwire789
    @immaculatenabwire789 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa mungu,, ubarikiwe Sana pamoja na family yako,, Kenya tunapenda Sana nyimbo zako🙏🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @jeanettegloria6244
    @jeanettegloria6244 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow nafurahi kuona mke wako mubarikiwe

  • @ambiagoodluck4349
    @ambiagoodluck4349 2 ปีที่แล้ว +1

    Ule wimbo wa MIMI NINANI unanibariki SANA hapa nchini KENYA. Huo wimbo unapendwa sana Kenya .

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

    • @nancymbogo8125
      @nancymbogo8125 11 หลายเดือนก่อน

      😅😅

  • @phonexmtambo3001
    @phonexmtambo3001 3 ปีที่แล้ว +1

    love from Malawi. mungu akubariki sana na tayifa lote la Tanzania

  • @roslynrozzy4652
    @roslynrozzy4652 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen listening from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 be blessed man of God 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @erastuschirchir1179
    @erastuschirchir1179 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana Sifaeli na familia yako,,, Mungu ni mwema ndugu yangu,,,,I really love your songs 🙏🙏🙏

    • @dodavahumalesha8453
      @dodavahumalesha8453 3 ปีที่แล้ว

      l

    • @giftmsituwavina1348
      @giftmsituwavina1348 3 ปีที่แล้ว

      Naitwa anita paskali mguvirwa ninapenda sana kuimba ninanyimbo chache ninamuomba mungu anipatie wakunivusha

  • @celestinealimasi4866
    @celestinealimasi4866 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana baba sifaeli mungu azidi kukupa maisha marefu kwa kweli 🇹🇿

  • @gisellekavira8966
    @gisellekavira8966 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kaka tunaye Mungu.
    From uganda I like this song.
    Be bless.🙏🙏🙏🙏

  • @hellennapao8341
    @hellennapao8341 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow Mbarikiwa sana
    Nyimbo zako kwa kweli nazipenda sana 🙏🙏🙏

  • @msumbaalihappytokenyan5714
    @msumbaalihappytokenyan5714 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda bure and I love ur songs

  • @nathanshabuholashabuholana6468
    @nathanshabuholashabuholana6468 ปีที่แล้ว

    Vraiment vos chansons est remplir l'onction , mungu Saidi kuku padisha

  • @everfavoured4076
    @everfavoured4076 3 ปีที่แล้ว +7

    Congratulations, sifaeli blessings to many, love ya songs

  • @Pastoryusufu1990
    @Pastoryusufu1990 3 ปีที่แล้ว +1

    Kutoka marekani nyimba za Sifaeli zinatubariki sana uku

  • @welcomecustomer5008
    @welcomecustomer5008 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako nzuri zenye shukrani kwa mungu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu

  • @jairasmathia4038
    @jairasmathia4038 2 ปีที่แล้ว

    ni, jairas mathia, mutsoli, barikiwa 🙏 mtumishi,wa, Mungu,kwa, nyimbo,unazo,imba,barikiwa.🙏🙏

  • @alexmuchai3328
    @alexmuchai3328 ปีที่แล้ว +1

    Nice song

  • @dcwamovat8196
    @dcwamovat8196 3 ปีที่แล้ว

    Amen sfaeli Kwa wimbo zuli ndo maana nakupenda mngu aendere kukubaliki unaigusa roho yangu napo skiliza nyimbo zako hadi mashozi yananitoka yaani kama unayajuwa mapito yangu mngu akubali amen

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana kwa support yako kwenye huduma yangu ya uimbaji please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @mariamfaith9914
    @mariamfaith9914 3 ปีที่แล้ว +7

    I love you songs. Very annoiting🇰🇪

  • @joshuambolu67
    @joshuambolu67 3 ปีที่แล้ว

    Hakika tunaye mungu ambaye hujibu maombi🙏🙏🙏God bless you sifael...nyimbo zako huniguza sana🙏joshua niko nairobi-kenya

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @terrykerry7774
    @terrykerry7774 3 ปีที่แล้ว +4

    I love your songs so much bro

  • @paulmule308
    @paulmule308 3 ปีที่แล้ว +2

    God Bless you..huko na example ziti Hindi tunavyopaswa kusifu wake wetu

  • @rosebabala195
    @rosebabala195 3 ปีที่แล้ว +10

    Amina Ubarikiwe

  • @periskaranja225
    @periskaranja225 3 ปีที่แล้ว

    All the way kutoka kenya tunakupenda 🥰🥰🥰

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @Richardkasuku
    @Richardkasuku 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi sifaeli

  • @lydiashisia2169
    @lydiashisia2169 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiweni kabisa🙏🙏🙏

  • @marymusa9318
    @marymusa9318 3 ปีที่แล้ว +1

    Kenya Kenya watching salimia mama angle lam so happy for you.

  • @onchongadismas2128
    @onchongadismas2128 3 ปีที่แล้ว +2

    Kenya tunakupenda sana

  • @jennifermuyoka3398
    @jennifermuyoka3398 3 ปีที่แล้ว +3

    I love this....love your songs bro ..From Kenya be blessed

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

    • @roselala6004
      @roselala6004 2 ปีที่แล้ว

      I love your songs God bless you abundantly bro

  • @mosesnickson134
    @mosesnickson134 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako sifael nazipenda saana ubarikiwe na Mungu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 3 ปีที่แล้ว +1

    UBARIKIWE SANA KAMANDA

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @mecktildatushabe7898
    @mecktildatushabe7898 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi wa BWANA

  • @samuelndungu4484
    @samuelndungu4484 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen! We love you Sifaeli!!

  • @juddexoloro5881
    @juddexoloro5881 3 ปีที่แล้ว +2

    All the day all the time God is with you just continue to keep faith

  • @johnimonje917
    @johnimonje917 3 ปีที่แล้ว +15

    Najifunzia mengi kwako kakangu

  • @zabronnzguye4075
    @zabronnzguye4075 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe KWA huduma njema

  • @faithe4063
    @faithe4063 2 ปีที่แล้ว

    Mungu mwenye nguvu akubariki na familiar yako siku zote za maisha yenu

  • @raudispensary9675
    @raudispensary9675 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana kaka sifaeli

  • @salomemlay8309
    @salomemlay8309 3 ปีที่แล้ว +3

    Mmefanana kweli .Ameen

  • @samwelingala6087
    @samwelingala6087 3 ปีที่แล้ว +1

    Sana Mungu akubariki sana kaka angu

  • @julienneakimana1230
    @julienneakimana1230 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen kaka ubarikiwe sana🙏

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 3 ปีที่แล้ว

    Napenda nyimbo za kuabudu.upo vizuri

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen nashukuru sana kwa support yako ,please subuscribe my channel and share to others and God bless you

  • @rosekuguru8627
    @rosekuguru8627 2 ปีที่แล้ว

    honger Sana Mama angu eda kwa utumishi mwema mungu awabaliki sana

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      barikiwa sana asante kwa time yako kufuatilia kazi zangu.video mpya wimbo AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE itaaploadiwa by monday on youtube be ready

  • @jairuschichete2938
    @jairuschichete2938 3 ปีที่แล้ว +2

    Great man of God 🇰🇪🇰🇪

  • @daggymtumishimmoja1611
    @daggymtumishimmoja1611 3 ปีที่แล้ว +3

    Sifaeli may you be blessed for the work of God that you are doing.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

    • @daggymtumishimmoja1611
      @daggymtumishimmoja1611 2 ปีที่แล้ว

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Already subscribed long time ago brother you really bless me and build me spiritually

  • @ameenaabdood2974
    @ameenaabdood2974 3 ปีที่แล้ว +3

    Dha maisha kweli Mubgu in muweza

  • @momoknight5522
    @momoknight5522 3 ปีที่แล้ว +4

    Blessed Man of God 🙏🙏

  • @dorcasruth5088
    @dorcasruth5088 3 ปีที่แล้ว

    My Baby po,my carpet,my sweet heart 💓,my lotion 🤣🤣🤣 .Ilove how he praises her rip.# upako uko juu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว +1

      thanks for your support be blessed,please share my video link to others amen

  • @jacklinridouno2452
    @jacklinridouno2452 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwana wa mungu ongera tuko Saudi ubarikiwe

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @carolynemwende8904
    @carolynemwende8904 3 ปีที่แล้ว

    Nko Kenya lakini nyimbo zako zinanibariki sana,ubarikiwe sana

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @micahgisemba9839
    @micahgisemba9839 3 ปีที่แล้ว +1

    Kenya Sifaeli unaskika

  • @waithiramburu7825
    @waithiramburu7825 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunakupata vizuri huku qatar tunakupenda

    • @naomimukhwana2077
      @naomimukhwana2077 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana bro I like you songs from Kenya

    • @eusebianyaga9606
      @eusebianyaga9606 3 ปีที่แล้ว

      Beautiful woman may God bless your family amen watching from Kenya

  • @everlineocharo4433
    @everlineocharo4433 3 ปีที่แล้ว

    Uko na upako wa mungu the way you sing and dance be blessed

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 3 ปีที่แล้ว

    Amini mbarikiwe pamoja na mke wako familia
    Mungu awalinde

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @nancymidikaelamuka264
    @nancymidikaelamuka264 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu anajibu maombi u abarikiwe mtumishi wa Mungu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 3 ปีที่แล้ว +3

    Woooow God bless you all you guys and thank you for testimony mtumishi I am so happiness of you guys na shukuru kusikia ivo nikweli kabisa your wife is your success 🙌keep her shining ✨ Asante kwa shuhuda

  • @estermachea3373
    @estermachea3373 3 ปีที่แล้ว

    Safi brother IPO siku nitakuonaa naamini unatubariki sanaaa

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen nashukuru sana kwa support yako ,please subuscribe my channel and share to others and God bless you

  • @salimkitui3171
    @salimkitui3171 2 ปีที่แล้ว

    mungu akupe Maisha marefu ninakupokea nikiwa Kenya kutumia TH-cam

  • @mediatrixokhonjo3957
    @mediatrixokhonjo3957 3 ปีที่แล้ว

    You always inspire me pastor God bless you always.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami thanks for your support please subuscribe my channel and share to others and God bless you.

  • @prophetjfministry8717
    @prophetjfministry8717 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana wewe ni pastor

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @stephenngetichkipligat3118
    @stephenngetichkipligat3118 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akifariki sana nimesikia kulia kwausemi

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen nashukuru sana kwa support yako ,please subuscribe my channel and share to others and God bless you

  • @matridajounior6414
    @matridajounior6414 3 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda sana

  • @annastaziayolam2055
    @annastaziayolam2055 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko vzr

  • @matheosimkoko5859
    @matheosimkoko5859 3 ปีที่แล้ว

    Safi kaka kazi nzuri

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @MissM_254
    @MissM_254 3 ปีที่แล้ว +2

    wow I'm really inspired

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @jiliansovoi6874
    @jiliansovoi6874 3 ปีที่แล้ว +2

    Ilove this man of God

  • @ericmukabwa4563
    @ericmukabwa4563 3 ปีที่แล้ว +3

    Mtumishi nakuheshimu sana

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuh Wewe Ni Ebenezer

  • @ambiagoodluck4349
    @ambiagoodluck4349 2 ปีที่แล้ว

    Ndoa imebarikiwa sana🙏🙏.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe

  • @boniphacemwazembe2153
    @boniphacemwazembe2153 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi Mungu akuinue zaidi

  • @otimongpatrick5446
    @otimongpatrick5446 3 ปีที่แล้ว +2

    God bless you abundantly

  • @neemalulungen6541
    @neemalulungen6541 3 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed man of God

  • @naomybaha4098
    @naomybaha4098 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunaye is my favourite song