Asante sana Mwalimu kwa ufafanuzi mpana juu ya Elimu ya nyuki, maisha yao, mazao yao na hususani maziwa ya nyuki. Ni jambo la kujifunza na kujivunia kuwa na watanzania wenye ujuzi huo kama ulionao . Wewe unabeba fursa kubwa na ni Fursa, Elimisha wengi hasa vijana waanze kuishi🙏
Asante sana Mwalimu kwa ufafanuzi mpana juu ya Elimu ya nyuki, maisha yao, mazao yao na hususani maziwa ya nyuki.
Ni jambo la kujifunza na kujivunia kuwa na watanzania wenye ujuzi huo kama ulionao . Wewe unabeba fursa kubwa na ni Fursa, Elimisha wengi hasa vijana waanze kuishi🙏
Ahsante sanaaa tuzidi kuhirikiana katika kuleta Mabadiliko kwa Jamii zetu
Tunapataje maziwa ya nyuki na yana bei gani?