Hii ni Kweli. Mnazi ni traditional drink for Coast, Muratina for Central, Busaa for Western/Nyanza. There ws an initiative to legalise them during President Kibaki's error. What happened?
Mazee, speaker wetu umezungumza jambo muhimu sana kuhusu mnazi, Faida yake na madhara yake, na umeeleza uharibifu wa migokaa kwa Vijana wetu, na hakuna hatua yeyote ya kiserikali imechukuliwa, na zaidi ni kwamba mwananchi wa kawaida mpwani mkilifi akinyanyaswa kwa kuuza au kutumia kinywaji asili na isiyo madhara! Twaomba serikali ishindwe kuhusu unyanyasaji na ukeukaji wa haki kuhusu kudhulumu wapwani wait na hatia ! Tutaanza kuandamana na kujitetea kihali yeyoye ! Amani bila upanga kilifi !
There will never come a time i will ever be in the 'Mnazi' palm wine, but i'm a business man, this business looks lucrative having just conducted a few minutes researh, for what you dont know, as you can see from the prices above a litre is going for 120/-, the palm tree is able to produce upto 5 litres a day (ghana palm trees - maybe zetu ni pigmy), a process that can take about 3 months - the speaker has said he has 8,000 palm trees, well do the maths. i dont know how long t takes to grow them but if its even once in a lifetime its good money.
Bw Speaker just go to court and have mnazi declared a traditional, safe drink for the Giriamas. The Kiambu High Court has already declared Muratina a legal drink for Kikuyus
Kabisa let's gather together jamaa ili tujikomboe coz hawa watu wametuzoea bana mbona wadharau munazi!? Munazi ni wetu na ndio kazi yetu bana, afu mr speaker hongera sana ww ndio ata unafaa uwe ndio Governor bana coz nashangaa mbona Mung'aro haliongelei hilo
Serekali kwani hawajui tangu kitambo si walikua wako saaii kwanini Kuna Nini tunajua Nile kitu yaku nyanyasa watu tu nakutaka pesa za Bure wakule tunawajua sana
Kwanza mugokaa ukuwe ufungiwe kbisaa uwo ndio unaharibu vijanaa adi wa mama n.k wendawazimu wamekuwa wengi portreiltz ukiangalia wote reason ni jaba na hakun regulation adi mtoto wa class either
Very sweet I love it no hurm
I traveled to coast to try mnazi as it's part of their culture
NTV Of all people should know the difference between palm trees and coconut trees
This guy is outspoken
true that
Well articulated Mr speaker
Keep it up lady! Wakoloni walitwambia pombe zetu zote ni illicit! Shida zetu kubwa ni our law makers wote ni washezi bure kabisa mavi ya kuku.
Hii ni Kweli. Mnazi ni traditional drink for Coast, Muratina for Central, Busaa for Western/Nyanza. There ws an initiative to legalise them during President Kibaki's error. What happened?
And mursick for Rift Valley, changaa for Nyanza
well said, keep it up
Mazee, speaker wetu umezungumza jambo muhimu sana kuhusu mnazi, Faida yake na madhara yake, na umeeleza uharibifu wa migokaa kwa Vijana wetu, na hakuna hatua yeyote ya kiserikali imechukuliwa, na zaidi ni kwamba mwananchi wa kawaida mpwani mkilifi akinyanyaswa kwa kuuza au kutumia kinywaji asili na isiyo madhara! Twaomba serikali ishindwe kuhusu unyanyasaji na ukeukaji wa haki kuhusu kudhulumu wapwani wait na hatia ! Tutaanza kuandamana na kujitetea kihali yeyoye !
Amani bila upanga kilifi !
There will never come a time i will ever be in the 'Mnazi' palm wine, but i'm a business man, this business looks lucrative having just conducted a few minutes researh, for what you dont know, as you can see from the prices above a litre is going for 120/-, the palm tree is able to produce upto 5 litres a day (ghana palm trees - maybe zetu ni pigmy), a process that can take about 3 months - the speaker has said he has 8,000 palm trees, well do the maths. i dont know how long t takes to grow them but if its even once in a lifetime its good money.
Mnazi forever ❤
Bw Speaker just go to court and have mnazi declared a traditional, safe drink for the Giriamas. The Kiambu High Court has already declared Muratina a legal drink for Kikuyus
Hatu taki mgukaa hapa kwetu pelekeni kwenu
Napenda mnazi sana adi nimemiss sana 🎉
Kumbe amina wewe ni mlevi
😂😂😂😂
Very good mnazi n wetu yan kama hawa 20 tu kilifi tuna fika mbali
Kabisa
Mgoka tena??
😅😅😅😅😅😅hapo n kwandomo Malindi ma hme town well done Kaneno😅
Mangoes ya Digwini
This thing tastes so bad I don't even know how people drink it. I once took a big gulp thinking ni tamu kama muratina. 🤮🤮
Wewe ni fala sana
We ulipata yenye imelala excess..my brother hujapata ile fresh..unaeza kunywa na cake..
It's very sweet my dear
Wee umbwa sana
@@stephenkimanzi1973 nyonga ulale
It's part of our culture bwana, nyinyi mdeal na watu wa dawa ya kukevya. Mnazi naunewe 😂
Kabisa let's gather together jamaa ili tujikomboe coz hawa watu wametuzoea bana mbona wadharau munazi!? Munazi ni wetu na ndio kazi yetu bana, afu mr speaker hongera sana ww ndio ata unafaa uwe ndio Governor bana coz nashangaa mbona Mung'aro haliongelei hilo
Nauliza vipi madafu na mnazi tofauti nini?
Utapelekwa cotini now those mangwe be closed
Hii ni cultural drink. Like muratina
Nenda fanya kazi ya maana
Mnaz Haina madhara ila mgukaa ndo uondolewe kbsa ...Mr speaker umeongea vzur sana
Kweli mimi base ninayo ya mnazi imebidi niache ili moka hali zirudi sawa sasa kwanini tusimwage migokaa pia sisi tuingie base kwa base
Mnazii hathaaa milelee.
I love mnazi lakini achana na mogoka,, heshimu jaba🙏
Tembo yetu twaipenda haitiwi chochote , sifa yetu tamanduni yetu, tupepe huru wa kunywa tembo yetu...
Mr spika fikirieni watu wenu vile wanaharibika juu ya mnazi.watoto wangapi wamezaa Kwa pombe.
Serekali kwani hawajui tangu kitambo si walikua wako saaii kwanini Kuna Nini tunajua Nile kitu yaku nyanyasa watu tu nakutaka pesa za Bure wakule tunawajua sana
Kuna pombe halali?
walitukataa múratina so hata nyinyi mmefikiwa
pia mnazi hupigwe marufuku
Naunwewe mdunde huno naunwewe atumanarima mini nathua kudhenga 😅😅😅 kama hawataki mnazi basi mogokaa hautaingia tena
Mnazi ni Mali,serkali iache upuuzi
Pombe ni Pombe
Mnazi never kills.
Isitoshe inaharibu vijana sana hawajielewi wanakua wavivu wa Kazi kisha wanaichanganya na substances zingine ikiwemo dawa za kuhifadhia maiti
Mugugaa be burned kabisa
Kwanza mugokaa ukuwe ufungiwe kbisaa uwo ndio unaharibu vijanaa adi wa mama n.k wendawazimu wamekuwa wengi portreiltz ukiangalia wote reason ni jaba na hakun regulation adi mtoto wa class either
na bhangi je ni mumea pia
Si waharamishe miraa na mogoka.
Mimi nakubaliana na yeye kabisa waache kuleta muguka huku na mnazi ni kinywaji pure haina madhara yeyote
Hakuna Kesi ya mtu amechizi ama Kufa kwa sababu ya mnazi
Mnazi unaharibu jamii haswa vijana wanakua wavivu wasieze Kazi
SERIKALI PIGENI MARUFUKU MNAZI KWANI HAWA WATU HUA WANAONGEZA CHOKAA NA DAWA ZA KUHIFADHIA MAITI KATIKA MNAZI
Wewe uko kwa dunia gani uliona wapi mnazi ukiingizwa chokaa ama unaongea tu
@@ShaniMohamed-mt8vv Mimi najua kile wewe usichokijua.....huu mnazi unaharibu vijana sana
Wee kama hujui mnazi ni mini fyata domo, hata tone LA maji,alielewani na tembo ili
Fala ewe
@@zumamgaza2006 kale kadzora wa choni ulale burukenge wewe....mnazi tutaukanyagia hautafaulu
sasa mvinyo kivipy kumamae zenu 😏