Maneno MAZITO ya NAPE kwa ALIKIBA, ampa makavu haya MWIJAKU mbele ya wageni na KIKWETE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.co...

ความคิดเห็น • 45

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera Sana Ali Kwa Maendeleo Yako Kimuziki Sasa Ni Zamu Ya Ndgu Zetu Kusomea Uandishi Wa Habar

  • @hemedyawadhi2935
    @hemedyawadhi2935 5 หลายเดือนก่อน +4

    Tynawasha moja tunazima zoootee❤❤

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana mfalme, tunakupenda King

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 5 หลายเดือนก่อน +4

    Brand nzuri sana. CROWN FM

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tumeyakubali maneno ya Mh Nape ila nayeye tunamchana mapema kbs iyo radio sio ya ccm mwenye radio amesema wanasiasa wanamuziki nk.sasa isije itokee siku TUNDU LISU atake kuja hapo atoe maagizo yake bado hajasaidia kitu kwa kujipambanua kwake mbele za watu kuelimisha watu bado

  • @beatricesamwel8951
    @beatricesamwel8951 5 หลายเดือนก่อน

    Nimepemda sanamaana mwijaku anapenda kufuatilia mambo ya watu sana hasa ya dai

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kila la kher King kiba ❤❤❤

  • @user-vt9ql5qe5l
    @user-vt9ql5qe5l 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ambariki ally kiba

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 5 หลายเดือนก่อน +5

    Ha ha ha mwijaku umepata your medicine Leo 😃😃😃😃

  • @PeterDanson-ps9iq
    @PeterDanson-ps9iq 5 หลายเดือนก่อน

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩baba ali totale respect l'artiste

  • @user-vt9ql5qe5l
    @user-vt9ql5qe5l 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ambariki

  • @bienvenukichambaomar5067
    @bienvenukichambaomar5067 5 หลายเดือนก่อน +1

    🇨🇩 we love Alikiba

  • @mwajumabinwa604
    @mwajumabinwa604 5 หลายเดือนก่อน +1

    king 👑 hogera sana nawatu wajuwe hii sio radio ya family

    • @user-kg6km2gz2h
      @user-kg6km2gz2h 5 หลายเดือนก่อน

      Una mawazo ya hivyo kweli

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 5 หลายเดือนก่อน +1

    All the best King👑👍

  • @user-qd2bz1ik8g
    @user-qd2bz1ik8g 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana kiba ❤❤❤❤

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 5 หลายเดือนก่อน +1

    King kiba❤❤🔥🔥🔥

  • @sangajaffar7419
    @sangajaffar7419 5 หลายเดือนก่อน

    All the best kiba

  • @zuberymwasarai9210
    @zuberymwasarai9210 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka umefanya jambo la maana sana kaa

  • @nasrakambimton9522
    @nasrakambimton9522 5 หลายเดือนก่อน

    Karibun sana Kila shetani na mbuyu wake😂😂😂

  • @sheruajafari1676
    @sheruajafari1676 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ongera kiba

  • @user-rx7te2px5d
    @user-rx7te2px5d 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aubariki uwekezaji huu mkubwa

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu hawezi kubariki mziki,huo ni wa shetani

  • @user-nr3uw7bq1r
    @user-nr3uw7bq1r 5 หลายเดือนก่อน

    Kiba tanguliza, fm crown badala ya crown fm,

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 5 หลายเดือนก่อน

    UMEMUWEZA LEO MWIJAKU ATAZEEKA ANARUKA RUKA TUU.ANAJUA UCHAWA MPKA UZEENI MAMAAEE

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wekeza ili nisije Sumbua watu uzeeni

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 5 หลายเดือนก่อน

    HARMONIZE yuko wapi alisema atafungua redio

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 5 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AKUBARIKI WAZIRI NAPE.NAKUPENDA

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 5 หลายเดือนก่อน +1

    NIKIPIGA HELA NAME NANUNUA ATHLETE😊

  • @NassorTwahiru-kf8fo
    @NassorTwahiru-kf8fo 5 หลายเดือนก่อน +6

    Nahis hii radio ni ya kikwete

    • @erickmillanei4346
      @erickmillanei4346 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mmeanzaa😂😂

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 5 หลายเดือนก่อน

      @@erickmillanei4346🤣🤣🤣 wameanza kama kawaida yao

    • @bekatiptop8910
      @bekatiptop8910 5 หลายเดือนก่อน +1

      Wachawi mshaanza

    • @salumkarama1306
      @salumkarama1306 5 หลายเดือนก่อน +4

      Unamchukia kikwete lakini unapenda usipende ndiyo mungu ashamwandikia kakutawala miaka kumi na anaishi Vvvp life kunywa sumu ukufee

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 5 หลายเดือนก่อน

      duuuh kisa kaalikwa

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bora umemuambia mwijaku

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona neno Mwijaku sikulisikiya

  • @user-qt7jd5on4z
    @user-qt7jd5on4z 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ila ilo jina la crown alidanan kabisa na Allikiba 😂😂😂

    • @sabinahobe3478
      @sabinahobe3478 5 หลายเดือนก่อน

      Umeona eeh? Hata mm naona haliendani nae? Kwani hiyo redio inapatikana kwa frequency gani kwa Dar? Kuna mtangazaji gani maarufu waliomchukua?