SERIKALI YA 💕 ILIGEUZWA;BEBI WA BEBI ADMITS THIS WAS BEYOND HIM;OMOSH ANASAFISHA RADA, MUTAHARIBU‼️🤫
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
- @demwafacebooktv @DEMWAFACEBOOK @TheWeeklyShowKe @ObinnaTvofficial @ObinnaTVExtra @theobinnaz @LoveChronicles #love #viralvideo
❤Wambea, what are your thoughts?❤, ama tunachoma?😂
It is called a rollercoaster❤
Wacha nikushow tym enye dwf ataolewa n mtu mwingine obina ataumia sana
@@ConstanceOdhiambo kabisa🥰
@@hepsibanyanchama7013 true😍🥰
Ata akiwa na dem mwingine hatampenda vile anapebda dfb@@VillyVillus
Mambo ya Obinna na dem wa fb achieni Mungu.Bora watuchangamshe 😂
Heartbreaks obina amepata kutoka kwa baby mamas na watu amedate ni mob ,on my side Obina ako comfortable kufanya kazi na huyu dem na stress nowadays hana ka apo nyuma , kuna possibility waendelee kufanya kazi akimtengeneza na kuchange kwao before waamue , i like the way wanakaa juu nowadays Obina hataji ladies eg Amba ray wakiwa life then heshima pia imekuja
@@beddynadiah1825 true😍🥰❤️
Very true😘😘
True
Obinna hataji Amberay anymore because he is in a real relationship out of respect for his woman na si dwfb. If you are a true Obinna fan you’ll see very subtle clues in his videos especially pale with his kids. Y’all get excited over content but delulu is the solulu.
@@beddynadiah1825 yeah ako comfortable
Their relationship is their business till they come out .sisi tunawapenda hivyo hivyo bebi na bebii wa bebii keep it under the water confuse them till they learn to mind their business .❤️👌💯
@@SuheylaHussein 😍❤️🥰❤
❤❤❤❤kabisaa
True 💯
For now we love their content and we'll ride with them until the wheels fall off.
Hawa watu wawili walisha toka soko, maji yalisha mwagika meen😅😅😅😅
Mi nawaombeaga kila mahali washikane hivo mwishowe waoane when time is right 😊😊😊😊😊😊
@@christinemambo6840 true😍💕🥰
Bebii alishawin heart ya obinna n alishasema mwenye macho haambiwi tazama ❤❤
@@GraceNeema-dj4yi 💕🥰🥰❤️
We toa tu meno ukiona venye bebii anashikwa mkono 😂😂🫵wakati we unashikwa ka sufuria moto 🤣🤣 you still have a long way to go 🤣🤣🤣🫵
😂haya, nimewacha kutoka meno😂❤
Wee sufuria moto tena😂
@@dinakemunto3243 ,🤣🤣🤣🤣
Nakwambia ambia alfu Kuna maumbwa eti ju wako Na nyash bdo wakatia Obinna Wa bebii shame on your nose you milayas kwani bebii Hana nn Kwanza yake n tight ndio mana Obina amempenda team bebii team gulf hoyeeee
@@KamammywasBusia yani awaamini kama kienyeji anaeza win roho ya obinna inko sure kuna watu waliongezuwa maji,kuna wenye pressure imepanda let them know na bado next year gari ingine inaununuliwa ,shamba na nyumba ndio wajinyonge poa😂😂
Mungoje muone venye dem wa FB atakaribishwa kwakina obina ndio mtajua hawa watu Wana date Kita waramba
These big comedians and entertainers in Kenya are the Luos🎉, big up men, salute🫡, Luos are the best
@@emmydiana1857 🥰😍💕❤️
What ipray is may our dream come true🙏🤲in jesus name amen ..Na mukumbuke bebii ndio alishinda my woman ke
Yes we don't care Sasa... She won and we love them so much... Aki team gulf tutafutwa kazi tukifuatilia hii couple yawa
@@emilynyoike1986 weuh kwanza mimi ndio nitafute mungu anisaidie😂😂
@@vinphilo1992 Amen❤️😍
@@emilynyoike1986 ❤️😍🥰
@@vinphilo1992 😂😍🥰😍
You got sweet voice mamaa😂❤,,hii weekly obi alikuwa tu anatupia bebii sana macho za mapenzi,❤❤
Hata wewe uliona😂❤❤❤, thanks darling 😍
@@VillyVillus ,sijui nikama alipewa hug poa before waanze kipindi,, 😹 😹 he's was so enthusiastic and affectionate through out,,
@@beckysheethat's what triggered Omosh to talk shit, that man is a saddest written all over his face,Obinna is trying so hard to change him
@@joanatima I think anaona bebii ataoccupy space yao Kwa life ya obi,,you know hataki aoe maybe because ya Yale mambo aliona akipitia ,, ni kahater chini ya maji ,
Mpaka akaamua kuvaa miwan😂😂😂😂
Aki moyo wewe sukuma damu
@@rozynandary9889 😂🥰😍🥰😍
Sasa villy villas..wapi huyo mtu omosh anasema obinna Ako naye?tafuta hio umbea mama.we love you.ama umtafut
@@ErenitaMijide nitatafuta❤️🥰😍🎉I love you too
Wow I love this couple 🎉🎉🎉
@@MishySameer 😍💕🥰❤️
❤❤❤🎉🎉🎉
Thanks for this darling ❤ i grrrt now😊😊
@@kerryhellen Anytime 🤩🥰🥰🥰🥰
Let the pressure decrease coz for sure if it was meant to be it will defently be trust me omosh talking will hinder nothing lmagine
@@jilleysnyawira-om4ft true 🥰❤
Thank you for showing us this
❤My pleasure ❤❤
Ni bebii ndio ako haku mwingine mwanye macho ambiwi TAZAMA
@@sizbentahatieno9635 true🥰😍❤️👏
True yaan hata anasema KW hamuoni still bdo wataka kujua
@@GraceNeema-dj4yi 🥰😍💕❤
Kwa mabloggers wote wewe ndio huoeana umbea bila negativity ❤❤
@@IrineIrine-nt1cl thank you
It shall be well.
@@PamellahNyanjom 🥰❤🥰
Omosh i think ni kawivu bt for real they love each other juu huwa wanasema hawataweka dating online na huwa anasema tutumie macho hapa mm nilijijazia kitambo sasa wale wa macho mjionee
❤true😍🥰
I heard that Omosh is being used by mumamas and some haters, may God disappoint them badly
@@joanatima truee juu ulisikia yeye ndo hudeal na mama za hao watoi wakienda kwao ni yeye hushugulikia inaeza kuwa ivo
Yes ni wivu
Mwenye macho ambiwi TAZAMA
Bebii confuse watu adi wa mind business yao mnatuchangamza sana❤❤❤
Siku watu wataamka na wapata bebii na bebii wa bebii hawako kenya heeeee😅😅
Awa watu wana date bt chini ya maji ss wataki watu wajuwe sai lakini time itafika ukweli itaonekana atakama ni ww siwezi ona bwana yangu akipea mke mwigine mapenzi hivo obina ana mtu pia bebii ana mtu ss wako wawili wacha Mungu atende
❤🎉❤true❤❤❤❤
Truee dear
Wewe ndio umesoma akili yangu❤❤❤❤❤
@@vinphilo1992 walai Wacha tugoje ju Akuna MTU atakubali bwana afanye hizo vitu Yote ziii maombi muimu
Hao watu wanadate obbina veny huwa anamwangalia na macho ya mapenzi weweeee❤❤
Villy love you mamy❤❤❤
@@roseliku531 😍💕❤I love you too mummy
Love is sweet ❤️
@@emmydiana1857 indeed💕🥰🥰🥰
😅😅😅😅😅😅
@@rosewilliamson2153 🤣🥰
Brother give them what they want to know period
And what they want to hear period
Let us just enjoy the content & if itawahi jipa it will be our joy. But saa hii nimeacha kuwa na high hopes.
🎉❤❤❤
You mean Oga making good memories with this lady is for content purposes only, na vile alisema tumuite dem wa Obinna, hawa ni couple by fire, obinna amenunulia gari, tena atamnunulia shamba, tena build her a house, tena .... yaani sisi hatukusoma ndio tukose kuelewa. We know there are opposing forces and -ve wishes, do you see Oga hurting our gal noò
@@Everlyne-r3bthe girl was given to Obinna by the parents on condition that she must grow or mature up before making a family but they are fighting our pressure of wanting them to marry soon and yet both are not ready yet.
And buying her a big car@@Everlyne-r3b
@@Everlyne-r3b Paka amemuintroduce pka Kwa magavana tena still watu wanasema n content really
Mama yako moto tunangoja tuu amubebe kwa wazazi kunawengi wakisikiya obinna anasema eti anabend1 nyash wanafik nazani awezi kumuowa Milly ila pako sikuu watakuwa mwili umonja Tunamuomba bebii Milly asituangushi
@@lydi791 🥰🥰💕😍🥰💕
Hawa watu wanapendana eti kunq mke mwengine kwan hyu dem hana wivu akiona bebii anafanyiwq hvyo vyote
@@KojakCell-tt1rr 🥰💕😍😍akii
Obinna na bebii wanapendana cha ukweli❤❤❤wacha tungoje harusi sasa
@@FunnyDalmatianPuppies-qd9mj true😍🥰💕
Love birds
@@Stacey-pd4bm 😍🥰❤️
My thought is they are married in high court .
@@rosewilliamson2153 🥰❤❤
Obina hu treat poa people around him I really admire how he does it
Yeah it's admirable ❤❤❤
@@VillyVilluscheny e najua obbina wanadate chini ya maji n Ile ataki kutuonesha coz hao madem wengine watajam na yy mbaya sana ..bt atakuja kuweka public Kila mtu ajue ❤❤❤
Hakuna eti Madem wengine watajam cc Team bebii ndo akiruka bebii tko kama millions ttajam na yy vibaya xana Hao wengne n wapita njia tu bebii to the World
Waaaà tunangoja siku itafika Tu tutajua ukweli
❤true❤
Na sasa watu pia simutumie macho tu kwani obinna na bebii n watoto jamani ama obinna n mjinga abuyie bebii gari kama si wapenzi surely wakenya styly up he said several time he is in a good space finally he said he is in a very serious relationship period
Aky sijui wanataka kuonyeshwa nn tena zaidiya yenye Obinna anafanya open
@@KamammywasBusia 😍💕💕🥰
@@GraceNeema-dj4yi 💕🥰🥰
Much love 💓💓💓💓 to the
@@mungualiyehaiaktienguvuver6257 ❤🥰
Thanks babygal I now have a clear understanding❤❤❤❤
❤ Anytime ❤❤🎉
❤❤❤
@@marygathuo4470 🥰😍