Webisode 55: Haki za Kijinsia! | Ubongo Kids + European Union | Katuni za Elimu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025
  • Je kuna kazi za wanawake na kazi za wanaume?! Mwanamke akitaka kuwa dereva bajaj na mwananaume anataka kuwa mpishi wa chakula, inawezekana? Angalia video hii ya Ubongo Kids, utapata jibu!
    Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!
    Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: www.ubongokids.com

ความคิดเห็น •