Ubongo Kids Webisode 32 | Jeshi la Mbu | Malaria
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 เม.ย. 2016
- Kiduchu ni mpelelezi na anajaribu kupeleleza ni jinsi gani watu wengi wamepata homa katika kijiji cha Kokotoa.
Angalia webisode za msimu wa pili wa Ubongo Kids hapa hapa!
Ubongo Kids Webisode 32 - "Jeshi la Mbu" - the Tanzanian animated cartoon series as seen on TBC1!
Jifunza kuhusu viungo vya mwili kupitia episode hii ya Ubongo Kids, Africa's clever new cartoon!
Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: www.ubongokids.com
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.
ubongokids.com
/ ubongokids
/ ubongokids
/ ubongotz
An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.