Sangula dance 💃

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2018
  • Sangura ni ngoma ya kienyeji yenye asili ya kabila la wapogoro; pia kabila la wandamba na wabunga kutoka mkoani Morogoro hususani katika wilaya za Ulanga, Malinyi na Kilombero.Ngoma hii huchezwa wakati wa furaha- sherehe mbalimbali hususani baada ya shughuli za mavuno. Na huchezwa na rika zote ingawa pia ziko aina ya sangura tunaweza kuziita za kizazi kipya ambazo mara nyingi huchezwa na vijana zaidi.

ความคิดเห็น • 41

  • @mimamelchior7821
    @mimamelchior7821 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kaka kamguna

  • @user-pw8ml6ts8r
    @user-pw8ml6ts8r 7 หลายเดือนก่อน

    Wapogoro amazing 👏 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @kulwafarajikilumanga2862
    @kulwafarajikilumanga2862 ปีที่แล้ว

    W/done Kamguna

  • @user-ic8iq6rb3f
    @user-ic8iq6rb3f 9 หลายเดือนก่อน

    Ukayooooooo

  • @vickyclarence5232
    @vickyclarence5232 3 ปีที่แล้ว +2

    Atomic mtimbira hood

  • @PauloSulutya-xk7pk
    @PauloSulutya-xk7pk 2 หลายเดือนก่อน

    Ukaya bam

  • @RobertSada-wd7os
    @RobertSada-wd7os ปีที่แล้ว

    Wa Mtimbira naomba tufahamiane

  • @kelvinmazyeta1566
    @kelvinmazyeta1566 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah Raha Sana najivunia kuwa mpogoroooooh.dah najiona Kama Niko mbinguni vileeeeh....

  • @halimakhamis2725
    @halimakhamis2725 2 ปีที่แล้ว

    Hilikuwa wap hii

  • @subzzero5585
    @subzzero5585 3 ปีที่แล้ว

    Daa sisi wapogoro ni noma Sana apo ata disko likasome

  • @raynelson4231
    @raynelson4231 4 ปีที่แล้ว +1

    Rahaaa sana ukisikia hizo filimbi zina radha flani hivi sweat .

  • @HashimHabdalla
    @HashimHabdalla 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenga wapogoro kwe guleki tu

  • @njengasam9344
    @njengasam9344 3 ปีที่แล้ว +2

    Hayii walonguu ndo sangula yenii OG, kutoka Mtimbira Usangule

    • @mdmtanzania
      @mdmtanzania 4 หลายเดือนก่อน

      MTIMBIRA ONE

  • @osbethdaniel7835
    @osbethdaniel7835 5 ปีที่แล้ว +1

    Kitambo hio we njoo na muzik wako watu hawana hbr piga sangula tuuuuuuuuuuuuu pogoro oyeeer

  • @allanchilongav3064
    @allanchilongav3064 5 ปีที่แล้ว +3

    Msambo kunoga awu mwemwemwe

  • @judithjudithmtunda1738
    @judithjudithmtunda1738 5 ปีที่แล้ว +2

    wapogoro hoyeeeeeeeeeee

  • @gaudencemkude7168
    @gaudencemkude7168 3 ปีที่แล้ว

    Nimekumbuka mbali sana

  • @mumyhamisi1855
    @mumyhamisi1855 5 ปีที่แล้ว +2

    Apana chezea wapogo tupo juu

  • @saidylikangasimba3243
    @saidylikangasimba3243 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimekumbuka nyumbani mwaya home sweet home najivunia kuwa mpogoro

  • @meshackyovini6094
    @meshackyovini6094 5 ปีที่แล้ว

    Mwabaho wayangu mwemweeeeee kaaa

  • @florafilimon6686
    @florafilimon6686 5 ปีที่แล้ว

    Nyanyi sana

  • @hadijaabdallah5879
    @hadijaabdallah5879 5 ปีที่แล้ว

    Saafi sana

  • @sylvanusw.limbeala6714
    @sylvanusw.limbeala6714 4 ปีที่แล้ว

    Yina mtwa tudinge ngoma za ukaya

  • @asmahamadi8975
    @asmahamadi8975 4 ปีที่แล้ว

    Namuona bibi yangu sangura ya mtimbira

  • @mbatatakiazi1678
    @mbatatakiazi1678 4 ปีที่แล้ว

    hao nwanajiita ATOMIC JAZ wana wa pakaya from Usangule, Mtimbira, Malinyi

    • @njengasam9344
      @njengasam9344 3 ปีที่แล้ว

      Nyinaa mwatuu aka AKULU GWEKA, DaaaH, nawaona akina TUMBUSI, MATANJI, OSKA, NGOROKI, CHAPA, BI MATANJI WA Mbinji nahis ndo MWe shughuli sio kwa Miluzi hii. Had Twangatwanga, Nguku na Malobaloba toka Munga walienda ng'ambo

  • @josephmkanyaga8694
    @josephmkanyaga8694 5 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana hiii

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 5 ปีที่แล้ว +2

    Nikuyiza kuvina neni vinu mayangu

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 5 ปีที่แล้ว

      Zulfa Saeed mayaa .ga shi shi mwatu

    • @subzzero5585
      @subzzero5585 4 ปีที่แล้ว

      Saf

    • @zulfasaeed7445
      @zulfasaeed7445 4 ปีที่แล้ว

      @@subzzero5585 haya mwatu 😂😂

  • @jamhurilibawa6505
    @jamhurilibawa6505 4 ปีที่แล้ว

    waganafu mkashinaaaa?

  • @ngendelucas9230
    @ngendelucas9230 5 หลายเดือนก่อน

    Asu asu asu

  • @sweetymamu6568
    @sweetymamu6568 3 ปีที่แล้ว +1

    Ashu ashoooo msambu gunoga