Demetus Kamguna
Demetus Kamguna
  • 5
  • 117 993
@dkamguna@gmail.com
@dkamguna@gmail.com
มุมมอง: 15

วีดีโอ

Kwa Wandamba, Wapogoro na Wambunga; mambo yetu haya 💪🏿
มุมมอง 148ปีที่แล้ว
Kwa Wandamba, Wapogoro na Wambunga; mambo yetu haya 💪🏿
Sangula Dance-Igawa-Malinyi Ulanga
มุมมอง 54K4 ปีที่แล้ว
Sangula Dance-Igawa-Malinyi Ulanga
Sangula dance 💃
มุมมอง 63K5 ปีที่แล้ว
Sangura ni ngoma ya kienyeji yenye asili ya kabila la wapogoro; pia kabila la wandamba na wabunga kutoka mkoani Morogoro hususani katika wilaya za Ulanga, Malinyi na Kilombero.Ngoma hii huchezwa wakati wa furaha- sherehe mbalimbali hususani baada ya shughuli za mavuno. Na huchezwa na rika zote ingawa pia ziko aina ya sangura tunaweza kuziita za kizazi kipya ambazo mara nyingi huchezwa na vijana...

ความคิดเห็น

  • @demetuskamguna6819
    @demetuskamguna6819 5 วันที่ผ่านมา

    Ngoma: Lindenda Kabila: Wandamba (Wilaya Ya Malinyi) Wimbo: Nyumba Ibomoka (Nyumba imebomoka) Maudhui: Huimbwa wakati wa kuomboleza kifo hasa cha mkuu wa kaya/ familia. “Nyumba imebomoka” kuashiria uwezekano wa kuyumba kwa familia/ kaya hiyo kufuatia kifo hicho. Heko sana Wazee wangu wa Igawa - Malinyi wakiongozwa na mkongwe Lishela kwenye ngoma kubwa👍🏾🙏

  • @JeladiJeladifransingware
    @JeladiJeladifransingware 12 วันที่ผ่านมา

    Kukayeee nyawono

  • @HashimHabdalla
    @HashimHabdalla 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenga wapogoro kwe guleki tu

  • @PauloSulutya-xk7pk
    @PauloSulutya-xk7pk 2 หลายเดือนก่อน

    Ukaya bam

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani naunusa hadi huku.. kabla mchopeke haujatengenezwa.. tehee!

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanajua sangula.. imetulia.. kama baba zao mbongo mwelu ya kule mahenge kitambo!

  • @user-vg8vx3dn6y
    @user-vg8vx3dn6y 4 หลายเดือนก่อน

    Ukayooo

  • @ngendelucas9230
    @ngendelucas9230 5 หลายเดือนก่อน

    Asu asu asu

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 7 หลายเดือนก่อน

    Wandamba hoyeeee❤❤👌👌👌

  • @user-pw8ml6ts8r
    @user-pw8ml6ts8r 7 หลายเดือนก่อน

    Wapogoro amazing 👏 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @user-ic8iq6rb3f
    @user-ic8iq6rb3f 9 หลายเดือนก่อน

    Ukayooooooo

  • @user-pw8ml6ts8r
    @user-pw8ml6ts8r 10 หลายเดือนก่อน

    Amazing

  • @user-pw8ml6ts8r
    @user-pw8ml6ts8r 10 หลายเดือนก่อน

    Oyeeeeeeeeeeeeeee🫶🤝👏👏

  • @stevemtema8519
    @stevemtema8519 ปีที่แล้ว

    Ndipi wanapatikana hapo

  • @alexambrose4722
    @alexambrose4722 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅😅mambo ya mlamu kaliandili

  • @RobertSada-wd7os
    @RobertSada-wd7os ปีที่แล้ว

    Wa Mtimbira naomba tufahamiane

  • @dreusebiusjmikongoti248
    @dreusebiusjmikongoti248 ปีที่แล้ว

    Nyumbani kumenoga

  • @kulwafarajikilumanga2862
    @kulwafarajikilumanga2862 ปีที่แล้ว

    W/done Kamguna

  • @martinhyera5714
    @martinhyera5714 2 ปีที่แล้ว

    Hii ngoma kiboko

  • @deokaweza8185
    @deokaweza8185 2 ปีที่แล้ว

    Hongera ndugu aga manemu

  • @halimakhamis2725
    @halimakhamis2725 2 ปีที่แล้ว

    Hilikuwa wap hii

  • @jacksonkibiriti4472
    @jacksonkibiriti4472 2 ปีที่แล้ว

    Nzuri hii

  • @samsonisadiki141
    @samsonisadiki141 2 ปีที่แล้ว

    watani zangu aooo

  • @ibrahimumakonyola2277
    @ibrahimumakonyola2277 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @patrickrussian9076
    @patrickrussian9076 2 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaaaa nmekumbushwa nyumban igawa kwang na kuwaon baadui ya ndug zang tusionan kwa mda mref thanks

  • @dralhajijbmatatala4580
    @dralhajijbmatatala4580 3 ปีที่แล้ว

    NIMEKUMBUKA Nyumbani Sasa

  • @herminamagungu897
    @herminamagungu897 3 ปีที่แล้ว

    Kali sanaaa hiyoo

  • @gaudencemkude7168
    @gaudencemkude7168 3 ปีที่แล้ว

    Nimekumbuka mbali sana

  • @njengasam9344
    @njengasam9344 3 ปีที่แล้ว

    Hayii walonguu ndo sangula yenii OG, kutoka Mtimbira Usangule

    • @mdmtanzania
      @mdmtanzania 4 หลายเดือนก่อน

      MTIMBIRA ONE

  • @vickyclarence5232
    @vickyclarence5232 3 ปีที่แล้ว

    Atomic mtimbira hood

  • @nillagervas5878
    @nillagervas5878 3 ปีที่แล้ว

    Liheta Ebuyu oyeeeee

  • @hamisikaisi461
    @hamisikaisi461 3 ปีที่แล้ว

    Malinyi ..mtimbila ..ifakakala oyeeeee

  • @hamissahamissa105
    @hamissahamissa105 3 ปีที่แล้ว

    💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @subzzero5585
    @subzzero5585 3 ปีที่แล้ว

    Daa sisi wapogoro ni noma Sana apo ata disko likasome

  • @sweetymamu6568
    @sweetymamu6568 3 ปีที่แล้ว

    Ashu ashoooo msambu gunoga

  • @kelvinmazyeta1566
    @kelvinmazyeta1566 3 ปีที่แล้ว

    Dah Raha Sana najivunia kuwa mpogoroooooh.dah najiona Kama Niko mbinguni vileeeeh....

  • @ushindikalamia3385
    @ushindikalamia3385 3 ปีที่แล้ว

    Nice traditional

  • @mbatatakiazi1678
    @mbatatakiazi1678 4 ปีที่แล้ว

    hao nwanajiita ATOMIC JAZ wana wa pakaya from Usangule, Mtimbira, Malinyi

    • @njengasam9344
      @njengasam9344 3 ปีที่แล้ว

      Nyinaa mwatuu aka AKULU GWEKA, DaaaH, nawaona akina TUMBUSI, MATANJI, OSKA, NGOROKI, CHAPA, BI MATANJI WA Mbinji nahis ndo MWe shughuli sio kwa Miluzi hii. Had Twangatwanga, Nguku na Malobaloba toka Munga walienda ng'ambo

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 ปีที่แล้ว

    Wapogolo oyeeeee

  • @janethmbyallu3344
    @janethmbyallu3344 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @jamhurilibawa6505
    @jamhurilibawa6505 4 ปีที่แล้ว

    waganafu mkashinaaaa?

  • @asmahamadi8975
    @asmahamadi8975 4 ปีที่แล้ว

    Namuona bibi yangu sangura ya mtimbira

  • @sylvanusw.limbeala6714
    @sylvanusw.limbeala6714 4 ปีที่แล้ว

    Yina mtwa tudinge ngoma za ukaya

  • @raynelson4231
    @raynelson4231 4 ปีที่แล้ว

    Rahaaa sana ukisikia hizo filimbi zina radha flani hivi sweat .

  • @mumyhamisi1855
    @mumyhamisi1855 5 ปีที่แล้ว

    Apana chezea wapogo tupo juu

  • @osbethdaniel7835
    @osbethdaniel7835 5 ปีที่แล้ว

    Kitambo hio we njoo na muzik wako watu hawana hbr piga sangula tuuuuuuuuuuuuu pogoro oyeeer

  • @saidylikangasimba3243
    @saidylikangasimba3243 5 ปีที่แล้ว

    Nimekumbuka nyumbani mwaya home sweet home najivunia kuwa mpogoro

  • @florafilimon6686
    @florafilimon6686 5 ปีที่แล้ว

    Nyanyi sana

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 5 ปีที่แล้ว

    Nikuyiza kuvina neni vinu mayangu

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 5 ปีที่แล้ว

      Zulfa Saeed mayaa .ga shi shi mwatu

    • @subzzero5585
      @subzzero5585 4 ปีที่แล้ว

      Saf

    • @zulfasaeed7445
      @zulfasaeed7445 4 ปีที่แล้ว

      @@subzzero5585 haya mwatu 😂😂

  • @hadijaabdallah5879
    @hadijaabdallah5879 5 ปีที่แล้ว

    Saafi sana