Creativity ya hali ya juu sana ila Hapo kwa Mganga paliyumba kidogo nikama director aliachwa but nimekubali sana uwezo wa hao wadada wawili Kila mmoja amecheza kwa nafasi yake ❤❤❤❤❤❤❤❤Kongole sana Next movie jaribuni kutumia Lugha halisi kama ni Kimaasai iwe yenyewe tu. Ni mawazo tu 👏
Mmeicheza vzr san good job ❤❤❤❤ congratulations 🎉
Ongereni sasa kwa kazi msirudi nyuma kazi iendelee
Hii kali Sana cjui nlichelewa wapi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nzuri sana nimeipenda kwa sisi ambao bado hatujaoa tunajifunza mengi Mungu awabariki kwa kazi nzuri
Nipewe ata like zangu mm wa kwanza
Great movie❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nimeipenda sana hii filamu
Mnafanya vizuri sana ila ongea kimasai tu, ili maana itimie sana nawapenda💋💋💋💋
Masai ledy kipaji unacho sister pambania ndoto zako❤❤❤
Hakika Mungu awape nguvu na maarifa Hakika Nimependa Kwema 🎉🎉
Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kazi nzuri sana
Hongereni sna jmn mnazdi kutufundiaha vitu vipya zaidi
That's is big creative MUNGU awabariki
Daaaahh mmeigiza reality mpka roho imeuma jmni......big up my people 🎉❤
Nawapenda ataa mm..hongereni
Hiii n super sana mmetisha sana ON LOVE MAASAI GIRL
Creativity ya hali ya juu sana ila Hapo kwa Mganga paliyumba kidogo nikama director aliachwa but nimekubali sana uwezo wa hao wadada wawili Kila mmoja amecheza kwa nafasi yake ❤❤❤❤❤❤❤❤Kongole sana Next movie jaribuni kutumia Lugha halisi kama ni Kimaasai iwe yenyewe tu. Ni mawazo tu 👏
Asante sana
Nimeipenda sana vile mmecheza. Japo aliyecheza nafasi ya Mzee Bado hajawa siria.
Amazing ❤
Kazi nzuri sana engajii e MAA mwenyezi mungu azidi kuwapa afya njema na kuongeza ujuzi zaidi 🔥🔥💪
Asante sana
Engajang kazi nzur neno moja kwao
Mungu asaidie ingera emaa
The energy and content.
Bravoo guy's.
You did best
Mmetisha sana wanangu😂 @big up hosiana
Iko visuri sana ndgu zangu iwe mwendeleso itapendeza sana
Forsure am very much blessed and happy for this beautiful movie guys ikipendeza iwe na muendelezo!!all in all Masai lady don't be harsh kwa mwenzako
😅😅
❤❤❤❤ uko sawa fanyeni iwendefu kidog maana Iko tamu sana 😂😂😂😂
Outstanding
Very true story in most families,good teacher keep it up teachings
Hahahah 😂😂😂😂 aseeeee huyu jamaa anagombanisha wanawake duuuh!!!!!
Hiyo urembo yote kalotuta TZ ayiaya ntomononi soo cute❤❤
Kazi nzurii 🎉
Olecomede😂😂😂aki wewe mganga umetisha😂😂😂❤🎉
Acheni utani hii movie Kali Sana, #Bahati 😅😅, kumbe uko vzr kwenye kuigiza umetisha Sana mdogo wangu, em leten part 2 BANA🤝
Ucjl my dr
Big up sana wanangu mnajua 👊
Huyu mganga ako sawa 😂😂😂😂
Safi sana hongereni Sanaa
Enkitok botor amenyanyaswa na masai lady ❤️ what a creativity and vibrant keep up 🤝
Hongereni Sana engajang emaa mbarikiwe Sana.
Interesting, educative, good directing , Give us more episodes
Muendelee hivo , ipuopuo enelakwaa oleng
🎉🎉🎉they will
Safiiiih sana engaji eyoyoo
sichoki kuangalia kwa kurudiarudia 🔥 this shot movie is amazing and full of realities from our maa societies with love keep it up guys 😍
we really appreiate your actions and we expect more, thank you for representing maa tribe in this industry
Kazi nzur sanaa
Safi sana mganga hongera
😢nimeiangalia hii nikiwa na huzun ila nimepona hongera wadada hosii nakupendaaa
Engajanga kazi mzuri
Nimeipenda sana. Rafiki yangu Anna unajua kuigiza hivyo hadi raha.
Very good talent young MAA people 🎉🎉❤❤ kaanyor intae enkajiang
Hongereni sana Vipenzi mke mkubwa kapoa unge Mkata mtama huyo bii mdogo haya leteni pa2 2
Nakupenda Sana kipenzi changu hosiana wewe ni mfano bora mamy big up my favorite people
Ashee my love❤️🥰God bless you
Mungu Awafungulie njia ingera emaa
Nzuri kabiza,, onyesho la pili
Napenda San ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
🥰🥰 wooow me nataka mwendelezo😢
Ilove both
Daaaah inaumaa jamani ❤❤❤
Mganga umetisha sana 😂😂😂😂
Bro hi ni Kali sana mwendelezo haipo
Mungu akubarikii
Woow good job keep it up loy🥳💯
Kwa kweliii ni kazi nzuri sana
Short and clear 🔥🔥 keep going❤
Masai ledy mbn unamunynyaza mwenzako
Kazi mzuri sanaaa
❤❤❤❤❤🎉🎉 4:58 hii
6:00 💪💪💪💪💪💪😆😆😆
Good talent maai nanyor perfectlly
Ila ni good talent continue your working brother
Engerai ata inyokoo kiindimu aigisa efilamu tufanye tunawesa kabisa mungu mkubwa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Good lesson may Lord bless you guys
Mbona ni kipandetuu maana Kazi nzuri pameishiaa patam sana
Part two soon
Mmmh yes olikambaa Ako na mdomo sana😂😂
Much love watu wangu
😂😂😂Wake wadogo sijui wanakuaga nanini lakini 😅😅 Mganga nae nikwikwi wape mayai yakunguni haoo
Hongereni sanaa
❤safi sanaa
❤❤ good sana
Very nice good bless you
Good lesson May Lord bless you guys.
Nzuri mnooo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nzuri sana
Keep up bro loy
Aki nyie mmenimaliza kabisa tamu sana nganaxhe
😂😂😂😂bora mganga kawatolea uchovu wa ndoto yeye mwenyewe mgumba loy acha kupelekeshwa na mke mdogo
Ya moto sana❤❤
entonyoki lepayaii 💞😂❤❤
Uyo dada ana roho mbaya sana
Kali sana 😂😂 part 2 wekeni jukoni
Keep going 💪
Soo wonderful, en on my opinion I think it's better hii kitu ingekuwa in series.! Mmngkuwa mmetisha sana wanangu
Asante kwa ushauri
Good starting 🎉🙏
Wamasai nachai wap nawap tena yarangi hapo mmetupiga😂😂
Very nice
😂😂😂😂😂 uyu mganga ni atar
maasai lady anakaa tu toxic😅😅😅 anyway congrats guys👏👏👏
Nice move 👍
Good bless you
Woooow great work❤
Soo nice
Jaman katoto kazuri mnamteza😂😂
Ongeran san mungu awasaidie