Namna Dkt. Nawanda alivyobadili wafugaji Simiyu kupitia Unenepeshaji

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Programu ya kujenga kesho iliyo bora kwa vijana kwa upande wa sekta ya Mifugo maarufu kama BBT-LIFE mbali na kujizolea umaarufu imeonekana kuwa suluhu ya changamoto ya ukosefu wa ajira inayolikabili kundi la vijana na wanawake hapa nchini na kwa kuwa linaweza kutekelezwa na yoyote mwenye nia, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Daktari Yahya Nawanda aliiona fursa hiyo ya unenepeshaji wa Mifugo na kuamua kuingia kwa miguu yote……..

ความคิดเห็น • 15

  • @nguchenankutwanga1984
    @nguchenankutwanga1984 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera saana kiongozi, vuta mradi hapa Chilangala tujifunze

  • @AllyMataka-r6l
    @AllyMataka-r6l 4 วันที่ผ่านมา

    Naomba kufaham Jins ya kunenepesha ng'ombe

  • @ASSEYJOHN-d5y
    @ASSEYJOHN-d5y 9 หลายเดือนก่อน +2

    pointiii

  • @AgnesKalage
    @AgnesKalage 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba jinsi ya kunenepesha ngombe

  • @josephsasa7497
    @josephsasa7497 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza Mradi WA Mkuu WA Mkoa upo sehemu Gani Bariadi?

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani huyu mkuu wa mkoa alikuwa yuko vizuri sana, sijui hiyo kashifa ilitoka wapi, na hawa ndiyo viongozi wanaotakiwa

    • @nestor384
      @nestor384 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna zuri lolote kwa huyu bwana kwa tabia aliyoionesha!

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 4 หลายเดือนก่อน

    Ufugaji n mzur lkn achen kumnad samia kusko na maana kwan hapo ana uckaje ?alikupa hao ng'ombe bule au kapen zimeanza

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mpuuzi
    Mpenda nyuma
    Tigo

  • @MwendaAdam
    @MwendaAdam 2 หลายเดือนก่อน

    Naona ameonewa na siasa tu

  • @gigiman5465
    @gigiman5465 6 หลายเดือนก่อน

    Kilimo cha simu kizuri no stress

  • @nestor384
    @nestor384 3 หลายเดือนก่อน

    Mpuuzi huyu bwana

  • @gigiman5465
    @gigiman5465 6 หลายเดือนก่อน

    Kilimo cha simu kizuri no stress