Hujambo Missmway way. Ninakubaliana nawe kwamba simulizi hii Ina dosari kwenye hitimisho. Hata hivyo, waliofuatilia simulizi kadhaa zinazowahusu misukule waliobahatika kurudishwa kwenye maisha ya kawaida; basi si vigumu kubashiri yasiyo banana. Huenda babake dada mhusika hakuyafuata masharti fulani ili utajiri uendelee, kikamilifu baada ya muda. Kwa mfano, labda hakutakiwa kumpa yeyote hela ila, alitakiwa tu agharamiye mahitaji kwa kuyalipia mwenyewe. Kutotii sharti kukasababisha pengo kujitokeza kwenye nguvu zilizomfumba mhusika asiwe na kumbukumbu zozote za maisha ya awali kama mwanadamu wa kawaida. Kumbukumbu zikavuta hisia Kali za mhusika kumtaka mamake ajuwe ukweli ili asiendelee kupatwa na msongo wa mawazo. Mhusika akaona amtokee mamake ndotoni amwelezee yote yaliotokea. Punde si punde, mwoteshwa ndoto akamkabili mumewe asikiye lake. Hapa kunajitokeza hatima mbili mbadala. Kwanza yawezekana kwamba babake mhasiriwa akakana kuwa ndoto hivyo Haina ukweli. Hili halikumzuiya mhasiriwa kuendelea kumwotesha mamake; kila ndoto ya halafu kutiliwa mkazo ushahidi kuliko ndoto ya awali. Ikamlazimisha mama kutafuta usaidizi kutoka Kwa ustadh. Dua za ustadh zikayumbisha mafanikio ya baba Hadi kusababisha kifo chake. Alipokuwa akifa, ndipo mhasiriwa akawa anaonekana na kutoweka tena hapa na pale. Tukio hili likashawishi umati kwamba mhasiriwa hakuwa amekufa kikawaida. Pili, Kuna uwezekano kuwa baada, ya kusimuliwa ndoto na mkewe, mwanamume akapasuka mbarika na kukiri kosa. Ila, akawa anamtaka mkewe ahifadhi Siri hivyo nzito ili waendelee kufanikiwa kifedha. Mkewe akakataa na badala yake, akamwaga mama kwenye kuku wengi halafu dua 'haribifu' zikachomozwa kwote; zile hatari Kwa zote zikiwa za ustadh.
Mmwenyezi Mungu tusamehe na pia tunaomba tubadiilike tukuabudu ww Mungu wa roho na kweli
Kutelenza si kuanguka na jua likiwa halimanishi hakutanyesha maana ni,kuna Mungu wanao msubilia bila kufa moyo na wanao mwamini.asante anko J na Juma
Afyuo4
th-cam.com/video/M_ctJl1jmQM/w-d-xo.html
4:25
I love this story Asante Sana simulizi mix pamoza Sana 🙌
humu duniani kuna mambo mengican
humu duniani kuna mambo mengican
Simuli nzuri sana 🎉 sijawahi kumpinga ako j
Kwakweli hadithi hii inavutia na inamafunzo hongera sana mtunzi pia nauhodari maridhawa wa musimulizi Ancle jey(Anko jei)
Naogopa
Mbn mwishoni imeenda harak hivo
wah umaskin huu unapeleka watu kubaya😢
🔥🔥🔥
Mungu tusamehe
Asante simulizi mix amakweli tamaambele mauti nyuma
Mbona mnarudia mwisho
❤❤❤
Shukurani 🌹
🔥🔥🔥🔥🔥
😢
Anko jay uyo
Duuuh
Shukran
NJOO USIKILIZE SIMULIZI YA KUSISIMUA YA KIJANA MLOKOLE ALIYE PENDWA NA JINI HUTA JUTA KUISIKILIZA
Wapi
Asante
Sijaelewa jinsi ilivomalizika hii Simulizi 😏😏😏😏😏😏