Wahubiri mliowaambia waumini wenu kuwa tutanyakuliwa kabla ya mpiga Kristo mlifanya kazi ya shetani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 663

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 ปีที่แล้ว +1

    Kichwa cha habari kina professional kubwa xana## xafi kabisaaa 💓💓💓💓🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ignaskikoti553
    @ignaskikoti553 3 ปีที่แล้ว +3

    Wewe kijana nilitaka wakati fulani kukuelewa, lakini kwa hili la mpinga kristo na unyakuo umechemka saaaaana. Unahitaji msaada sana. Pole.

    • @emmanuelmwandu.3126
      @emmanuelmwandu.3126 3 ปีที่แล้ว

      Mmmh huyu ameingiwa na nini jamani?

    • @safarijoseph9591
      @safarijoseph9591 2 ปีที่แล้ว

      Kuna umuhimu watu wawnde pia chuo sometime itawasaidia kuwapanua ufahamu wa mbinguni
      Binafsi sijakuelewa kuhusu unyakuo maana ufunuo uko wazi juu ya ujio wa Yesu christo na mpunga christo na jinsi wafu na walio hai watakavyo nyakuliwa

    • @safarijoseph9591
      @safarijoseph9591 2 ปีที่แล้ว

      Jamani tuende chuoni ili tupate ufahamu mzuri pia wakulijua neno na kulifundisha kama lilivyo wanaopotosha neno ole inawajia

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 ปีที่แล้ว +1

    Bishop Mbarikiwa lazima nije nikuone mbeya## big up xana tuondolee giza hili❤❤

  • @jalanbuali1340
    @jalanbuali1340 3 ปีที่แล้ว +5

    Niko pamojanawe mtumishi natamani mungu akinirudisha salama nijiungenawe usiogope sema kweli mungu akuumbie imanimpiya utuongeze

    • @noelkashilila9973
      @noelkashilila9973 3 ปีที่แล้ว

      Baba sema nchi ipone wachungaji siku hizi ni wa chungaji wa matumbo wakusema ukweli hakuna nakuunga mkono mpaka mwisho huo ndio ukweli

  • @sautiyamunguduniani4620
    @sautiyamunguduniani4620 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika nimambo yakweli kabisa na Mungu wa mbinguni☝️ Akulinde Sana 🙏
    Wengi hawatokuelewa maana mafunuo yao n madogo lkn nimekuelewa sana kbsa ndiyomaana wachungaji wengi naona kama nimachawa Mungu anataka majemedali wanguvu ukiwemo wewe hakika Mungu akulinde sana

  • @devothakaitaba8829
    @devothakaitaba8829 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa ujumbe mtumishi wa Mungu

  • @joshuajoshua7651
    @joshuajoshua7651 3 ปีที่แล้ว +19

    Unaweza kuwa na nia njema kabisa... Ila approach yako si nzuri mbarikiwa.kwani unagombana na Nani? Control temper basi ndg, then fundisha somo ww Kama ww hiyo Ndo approach nzuri I think kuliko ku-attack watumishi wengine

    • @saimonseleka2311
      @saimonseleka2311 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni kama mtumishi wa kujikweza sijui kama hua namtafsiri vibaya au!!

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 3 ปีที่แล้ว +3

      Well said
      Sioni sbb ya kuatack watu instead of preaching!
      Na pia sijaona sababu ya kutumia picha ya baadhi ya watumishi!

    • @mohameddavid552
      @mohameddavid552 3 ปีที่แล้ว

      Well SAID

    • @saimonseleka2311
      @saimonseleka2311 3 ปีที่แล้ว

      @@mohameddavid552 kuna clip yake fulani nilimskia kama anadiss vyuo vya biblia sikumuelewa sababu hakuna ktk mitume aliyewahi kuanza kuhudumu pasipo kupitia uanafunzi

    • @sarahmwasyoge1830
      @sarahmwasyoge1830 2 ปีที่แล้ว +2

      Kujihesabia haki ni kubaya, kuna mwisho mbaya. Na tukumbuke vita yetu si juu ya Dani na nyama. Yaani inaonyesha unapigana na mtu badala ya kupigana na shetani kitendo cha kuweka picha za watu si busara. Adui yetu ni shetani na majeshi ya pepo wa baya na si watu wa Mungu walio umbwa kwa sura na mfano wake

  • @mathayomarco9172
    @mathayomarco9172 ปีที่แล้ว +1

    Kemea ,onya wala usiogope Mungu akupe ujasiri zaidi. Wote walio upande wetu niwetu

  • @johnbagege8896
    @johnbagege8896 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana mtumishi wa Bwana kanisa razima liingie kwenye mateso ya mpinga kristo

  • @charleschaula3490
    @charleschaula3490 3 ปีที่แล้ว +6

    Siri kubwa ya kumtumaini Mungu ni “UNYENYEKEVU” mwana wa Mungu yeyote,angalia sana usiukose UNYENYEKEVU kwenye ukristo au ulokole au utakatifu wako .Asante

    • @sarahmwasyoge1830
      @sarahmwasyoge1830 2 ปีที่แล้ว

      Asante unyenyekevu ni kitu kikubwa sana cha thamani ili Mungu atembee na wewe kama alivyo. Wengi wanatembea na Mungu kama wanavyotaka wao sio kama Mungu anavyotaka kisa wanaona matokeo/ miujiza haimaanishi Mungu yupo hapo.

  • @fruitfulmpanduji2494
    @fruitfulmpanduji2494 3 ปีที่แล้ว +1

    Tena mtumishi kale kawimbo Kako la Magufuli umenikingia nilikapenda Sana ... Unayosema Yana hekima ya Mungu .... Magufuli amenifanya nimpende Sana Mungu ,na kutokuwa na hofu ya kifo.heri wafao ktk bwana.

  • @hawashedrack959
    @hawashedrack959 ปีที่แล้ว +1

    Yaàni Mungu akusaidie sana kapime akili mtumishi hauko sawa kwahiyo wewe ndo ukosawa mtizame mdomo

  • @stephenkikoti9223
    @stephenkikoti9223 ปีที่แล้ว

    Mtumishi nimekua nikifuatilia nakupenda.leo nimekuelewa vinzuri, kumbe shida Yako haujasoma ndio maana unajifanya mjuaji na mkosoaji wa Kila kitu. Naona mbali na ujinga una tatizo la kisaikolojia kama Sio Pepo. Mkabidhi bwana Yesu maisha Yako.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว

      Huwezi kupenda mtu na aliyeathirika kisaikolojia, hayo uliyoandika chini ndio moyo wako wala humpendi.

  • @upendokanyika2571
    @upendokanyika2571 3 ปีที่แล้ว +3

    Mh baba nimekuelewa sana mungu akubariki

  • @lukasemmanuel4614
    @lukasemmanuel4614 3 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana hii mtumwa wa Mungu aliye hai

  • @edgarpius9111
    @edgarpius9111 ปีที่แล้ว +1

    Na mwakasege kweli si dhani mwakasege namkubali sana

  • @bennyjohn1412
    @bennyjohn1412 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana asifiwe mtumishi wa Mungu ktk Kristo Yesu Kazi kweli kweli

  • @sunilgandhi331
    @sunilgandhi331 3 ปีที่แล้ว +5

    Ameen mbarikiwa najifunza mambo mengi sana kupitia wewe

    • @jacobsamgabo8694
      @jacobsamgabo8694 3 ปีที่แล้ว

      Huyu kiumbe anapotosha tafuta watumishi walio tulia huyu Ana kiburi Cha utakatifu anajihesabia haki mwenyewe

  • @emanuelmollel7316
    @emanuelmollel7316 ปีที่แล้ว +1

    Tuchangie tuchangiavyo,lakini tukumbuke jinsi Bwana wetu Yesu Kristo(Bwana wa Kanisa) alivyotuonya mbele katika Mathayo 12:31-32.

  • @emmanuelmanga3478
    @emmanuelmanga3478 3 ปีที่แล้ว +11

    Hapa ndipo nimeweza kutambua kuwa unauwezo wa juu wakutuelimisha wale tunao mtaka Mungu mwenyewe.BARIKIWA SANA NA MUNGU AKUTIE NGUVU

  • @mlyamalitv1789
    @mlyamalitv1789 2 ปีที่แล้ว +1

    Tubarikiwe wote mtumishi mbarikiwa tu pa1.

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuinue zaidi na zaidi,na kitu nachokipenda n mtu kusema ukweli,,wacha tuhubiri injili Yesu aokoe watu,

  • @mzuandamlalli8654
    @mzuandamlalli8654 ปีที่แล้ว

    Mungu akuongoze useme ndani ya taifa zima tupo papoja na we mtumishi Mimi nipo Dubai nafanya kazi lakini Bila kukusikiliza wewe siwezi kulala Wala kushinda mungu atakupigania amina

  • @andersongidion5086
    @andersongidion5086 3 ปีที่แล้ว +2

    Nikuite mtoto mchanga jichunge Sana pia omba musamaha kwa watumishi wa Mungu hawa ulio weka picha zao na kunena upuuzi wako huo

    • @andersongidion5086
      @andersongidion5086 3 ปีที่แล้ว +1

      Pia ukitaka musada zaidi nitafutie nitakusaidia juu ya Jambo hilo la mpinga Kristo na unyakua pia dhiki kuu la sivyo unaenda kumaliza vibaya mtoto

    • @rahelstanley
      @rahelstanley ปีที่แล้ว

      Huyu anatumiwa na shetani

  • @johnpella8703
    @johnpella8703 3 ปีที่แล้ว +1

    Najua huwa unamwomba Mungu lakini mtafute Mungu tena aweze kukuerejesha kwenye njia ya haki ufunguliwe minyororo ya JAZBA maana kwa hapo ulipofikia ni vigumumu mwanadamu kukushauri na kukuonya ukaweza sikia. Ushauri wangu kwako ndg yangu maana wote tumeumbwa na Mungu. Omba Mungu akufungue na chuki, dharau na kutweza wengine. Unahitaji kuwasikiliza wengine ili ujifunze. Musa pamoja kukubalika na Mungu kuliko wote bado alikubali kuwasikiliza wengine na akasaidiwa, kazi yake ikawa nyepesi. Kabla hujajua imani na kuwa mch, ulisikia kwa hao wana-theolojia.

  • @apostleelisha2994
    @apostleelisha2994 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu aendelee kukuongeza hekima sema Sana na Mungu yupo akupiganie.

    • @lucaskusekwa86
      @lucaskusekwa86 3 ปีที่แล้ว

      Kaka imba tu,wakati inaendelea kumsubiri mpingakristo kwa Doctrine Hizi Atakukuta

  • @nsimirenshokano902
    @nsimirenshokano902 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeeen umbarikiwe semasana wasikiye

  • @zawadimwakapala7935
    @zawadimwakapala7935 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu ana hasira ya kimungu, maana tumepotoshwa vya kutosha japo approach yake haifurahishi lkn acha afanye hivyo ili tufunguke

    • @stevenkyanzi5622
      @stevenkyanzi5622 3 ปีที่แล้ว

      Ndivyo inavyotakiwa ukisoma Yesu wa Biblia utaona ni tofauti na na yule Yesu wa kwenye movie,Yesu wa kwenye movie ni mpole anaingea ka zezeta flni hv kwa jinsi wazungu walivyoitengeneza picha yake.
      Lakini Yesu wa kwenye Biblia ukisoma unaona alikua mjeshi aliingia hekaluni na bakora akachapa watu na kutindua meza chini juu na hata wakati amepaa malaika aliwatokea wanafunzi akawaambia jinsi alivyopaa ndivyo atakavyorudi
      Sasa atarudije?ukisoma ufunuo atarudi kijejeshi tena akiwa na na jeshi lote la malaika wakiwa na farasi wa moto yaani atakuja kivita kumbuka alisema kipindi yuko duniani hakuja kuleta amani ila upanga.
      So neema tuliyonayo wanadamu ni kulisikia neno la Mungu na kutubu sio kurudia rudia kutenda dhambi.

    • @marandoruzali1946
      @marandoruzali1946 2 ปีที่แล้ว

      Amen

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

    • @kimanidatch6096
      @kimanidatch6096 3 ปีที่แล้ว

      BASI HASIRA YA NINI????FUNDISHA SOMO LAKO TU.

  • @francokamugisa296
    @francokamugisa296 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi mtumishi mungu akubariki

  • @joshualwinga
    @joshualwinga 3 ปีที่แล้ว +6

    Kwa namna vyovyote vile mimi Joshua ninamwelewa sana na kiasi kwamba haipiti cku kusikia saut hiiii ,Mungu akubarikii sanaaaa kamanda ww ni miongoni mwa wanamageuzi duniani ,tafsir zako hazijaghoshiwa kabsaaaa cjakurupuka nimefuatilia wengi sanaaa lkn tafsir kama hizi ni wachacheee sanaaaaa dunianiii!!!

  • @danielambonisye6261
    @danielambonisye6261 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana Yesu Kristo aliye hai, hiyo ni kweli kabisa haitakiwi kufarijiwa tu tuipiganie imani hata mwisho.
    Yesu ndiye mwokozi wetu.
    Mungu Baba akutie nguvu.

    • @shalomizrael667
      @shalomizrael667 3 ปีที่แล้ว

      Abarikiwe kwa kukupotosha soma mwenyewe maandiko uujuwe ukweli

  • @nojenimbwile3776
    @nojenimbwile3776 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi

  • @iuem5792
    @iuem5792 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwakipesele unasema hii Bibilia imeletwa na wazungu kutudanganya na kutuibia madini,LAKINI UNAPOTETEA HOJA YAKO UNAIFUNGUA HIO HIO BIBILIA KUJENGA HOJA.

  • @emanuelmallya1575
    @emanuelmallya1575 3 ปีที่แล้ว +1

    Aliyenifia ni Yesu tu.. No one else

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 ปีที่แล้ว

      Tuko sawa tu. Hata mimi aliyepima mapapai ili kuiumbua corona feki na hatimaye akapoteza maisha yake ili makanisa yasifungwe ni Magufuli.. No one else

  • @ibrawawason3808
    @ibrawawason3808 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji Mbarikiwa, punguza ukali ndugu yangu. Mbona mkali sana hivi. Naona mara nyingi unawashambulia watumishi wengine usifikiri wewe ni mwema zaidi.

  • @evbonifacemwakibango7419
    @evbonifacemwakibango7419 3 ปีที่แล้ว +4

    Hwiiiiiii lolyeee ujobhie mwana gwa KYALA, ubarikiwe sana

  • @posianostephano3001
    @posianostephano3001 3 ปีที่แล้ว +6

    Mtumishi wa Mungu nakufatilia sana tangu nikujue umenisaidia kunilea kiimani iseme kweli ndo watakatifu inatuweka huru asante kwa kunifafanulia huu unabii

  • @kaburachristella2682
    @kaburachristella2682 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe baba.

  • @shafiihssan738
    @shafiihssan738 3 ปีที่แล้ว +5

    Sawa kabisa mtumishi

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 3 ปีที่แล้ว +5

    KWELI.HATA YEYE ALISEMA.mtanikumbuka kwa mzuri na si kwa mabaya

  • @judithnaomy6787
    @judithnaomy6787 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi ubarikiwe mungu azidi kukutumia kusema kweli

  • @dannymgata1650
    @dannymgata1650 3 ปีที่แล้ว +1

    nakuelewaga Sanaa mtumishiii wa Munguu

  • @isaackmwakalobo2919
    @isaackmwakalobo2919 3 ปีที่แล้ว

    Dàaa mungu atusaidie kwakwelii, chanjo kwelii haifai, sana

  • @niwaelngomoi6720
    @niwaelngomoi6720 ปีที่แล้ว

    Nitamkie neno la baraka tu baba angu nakupenda naku amini natamani siku nikuone uni shike tu kichwa changu

  • @jonathankihebe9889
    @jonathankihebe9889 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika huu ndo ukweli wapendwa ubarikiwe Mtumishi ubarkiwe sana

  • @khairatsarah3419
    @khairatsarah3419 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweri baba asante Kwa ujumbe hii siwezi kutetemeka kwaduia hii ntafia mukononi wamungu mimi

    • @m.m.tvmbebamaono
      @m.m.tvmbebamaono 3 ปีที่แล้ว

      Fukapunonge mbarikiwa lipuaaa wewe ni sauti ya wengi

  • @zawadikikosikazi3887
    @zawadikikosikazi3887 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa baba

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe

  • @maxwellsheyo33
    @maxwellsheyo33 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwa umekurupuka sana tulia ujifunze hiyo roho itakutesa

  • @keeptimenimrod3770
    @keeptimenimrod3770 3 ปีที่แล้ว +3

    Umenena kweli mtumishi maana hao viongoz wakubwa wa dini wanavuruga mambo,na kwa vile wanasikilizwa na kuaminiwa na wengi wako hatarini kupoteza watakatifu wa Mungu!!

  • @basilpaschal581
    @basilpaschal581 3 ปีที่แล้ว +2

    HEKIMA YA MUNGU YAHITAJIKA SANAAA.

  • @simonkitambei
    @simonkitambei 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu akubariki mbarikiwa , nafuata nyayo zako nikiwa hapa Kenya

    • @josephgeorge4756
      @josephgeorge4756 3 ปีที่แล้ว

      Kenya kazi unayo lakini ukifuata nyayo za baba utavunja miamba

    • @angulileelectrical6368
      @angulileelectrical6368 3 ปีที่แล้ว

      Kill mtu asimamie wito usifanye Kama flani aligawa Hawa kuwa wachungaji Hawa manabii na kadhalika

  • @killianpaulmahembe970
    @killianpaulmahembe970 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuweke miaka mingi zaidi na usigeuke nyuma maana na wewe utakuwa JIWE KAMA WALIKUBALI KUGEUKA NYUMA WAKAWA JIWE mtumishi kama wewe huwa wanazaliwa mara chache Mungu akubariki sana

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 ปีที่แล้ว

    Machozi mengi yamenitoka 😭😭😭😭😭 nani ataniokowa na mwili huu wa kufa? Barikiwe Mbarikiwa hii ndio sababu Mungu akakuleta duniani 🙏

  • @aaronfavored8431
    @aaronfavored8431 3 ปีที่แล้ว

    Hallelujah MUNGU akubariki mchungaji

  • @leonidacedeogratias9005
    @leonidacedeogratias9005 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki sana

  • @thomasjohn7176
    @thomasjohn7176 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Ninakuelewa 100%

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 2 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana mkuu mungu ni mwema

  • @rebbeccasanga3056
    @rebbeccasanga3056 3 ปีที่แล้ว +2

    Shika sana ulichonacho mwovu asikunyang'anye

  • @denismlwati3285
    @denismlwati3285 3 ปีที่แล้ว +6

    Ameen hii imeeleweka kabisa kabisa

    • @omanabcd9249
      @omanabcd9249 3 ปีที่แล้ว

      Amina mimi nilikuwa pamoja na magufuli

    • @omanabcd9249
      @omanabcd9249 3 ปีที่แล้ว

      Mbarikiwe unafoka sana mbona nakuelewa

  • @twendetuishi2316
    @twendetuishi2316 2 ปีที่แล้ว

    Duhhhhh aise

  • @malaikakimaro4954
    @malaikakimaro4954 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa sanaaà mungu akulinde🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭

  • @naimanjoshua5795
    @naimanjoshua5795 3 ปีที่แล้ว +4

    Unaweza tumia ukali kufundisha lakini tumia lugha ya staha bas kwani wanakuskiliza watu tofautitofauti

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 ปีที่แล้ว

      Watu ni walewale isipokuwa huyu ni mnene, mwingine mfupi n. k. Ila wote ni watu na wana roho ya Mungu hata kama ni wapagani.

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 3 ปีที่แล้ว +1

      Lugha Kali kwa kuwa anakemea dhambi. Hata Yesu alitumia lugha Kali Kama vile Enyi wanafiki,, mmefanana na makaburi, wengine aliwaita kizazi Cha nyoka, Cha zinaaa nk. aliwakemea Hadi wakapandwa na hasira Sehemu nyingine wakaokota mawe wampige. Hakuna staha kwenye uovu.

  • @ausonjustinian5494
    @ausonjustinian5494 3 ปีที่แล้ว +2

    Mh,nimekusikilza mtumishi wa Mungu. Kabisa nimekupenda.

  • @mathayomarco9172
    @mathayomarco9172 ปีที่แล้ว +1

    Endelea ndugu yangu. Natamani kuwasiliana nawewe .

  • @tusubilegemtafya5532
    @tusubilegemtafya5532 3 ปีที่แล้ว

    Injilii iliyonyooka....kazi yako imenihamisha sehemu nakupenda baba..Mungu azidi kukupa afya njemaa

  • @bibletv9818
    @bibletv9818 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana mnaocoment bila ujuzi wa biblia. Swali la wanafunzi kwa Yesu lilikuwa na A B C. Ukoza, anajibu

    • @bibletv9818
      @bibletv9818 3 ปีที่แล้ว

      Ukoza, anajibu A, B au C? Mengi ya majibu yake kwao yalitimia huku baadhi wakiwa hawajafa. Kuna mengi anaongea vzr, ila hapangilii point, pili, hasira badala ya hoja, tatu dhiki katika maandiko aliyoyasoma ilitimizwa mwaka 70 BK wakati jemedari Tito aliposhambuloa Yerusalem. Kaka, kasome, kila kitu kinahitaji elimu. Ulichokisoma kiliishapita 70 BK. Kuna baadhi ya maneno una point lakini umejawa lugha chafu.

  • @kipawachakondiomaishayako9711
    @kipawachakondiomaishayako9711 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi wa Mungu, naona kama uko too general badala ya kuwa specific, pia ujumbe wako una opinion nyingi kuliko facts. Nashauri pia upendo uwe lengo kuu katika kila unalotaka kulifanya. Omba pia hekima na unyenyekevu ktk yote! Zaidi ya yote, kumface mtumishi ambaye kwa mtazamo wako unahisi anakosea na umrejeshe kwa upendo, badala ya kutumia social media unless Roho anakushuhudia tofauti. Huo ni mtazamo wangu mtumishi, nisamehe kama nitakuwa nimekosea

    • @syfros2218
      @syfros2218 2 ปีที่แล้ว

      Hakika ni ushauri mzuri sana

  • @vicentgodda3357
    @vicentgodda3357 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwa, Watu ni wavivu kusoma Neno la Mungu na vipofu halisi. Rahisi kupotoshwa. Move on.

  • @friminitv5589
    @friminitv5589 3 ปีที่แล้ว

    Amina Baba...

  • @rehemadaudi550
    @rehemadaudi550 ปีที่แล้ว

    Serikali uendelee kupiga vita uvutaji wa bangi maana athari yake ni kubwa, pia mshikeni Sana elimu watu wa Mungu na wanaotafuta umaarufu kupitia watumishi wenzao waendelee kuwajibishwa.

  • @magrethmallya7728
    @magrethmallya7728 3 ปีที่แล้ว +4

    Sema wapone Mchungaji.

    • @angelinankuji7660
      @angelinankuji7660 3 ปีที่แล้ว

      Endelea kuelimisha ipo cku wata amini na kuacha kujinufaisha wawo kwa wawo na kumrudia mungu

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 2 ปีที่แล้ว

    Atapingana na wakristo wakweli na tayari ameaza kupinga wakristo wa kweli
    Na bathi ya. Wakristo wakweli wametekwa kwa pesa zake ,
    Kanisa litapita kipindi Cha mpinga kristo na wakristo wakweli watakataliwa na bathi yao kukatwa vichwa ,Kama Baba zetu wa Imani waliokatwa vichwa,
    Wakristo wakweli msiogope maana sio mda mlefu ,unabii unatumia Kuchukiwa na Dunia,

  • @fruitfulmpanduji2494
    @fruitfulmpanduji2494 3 ปีที่แล้ว +2

    Tena mtumishi nasoma comments za wengine Naina hawakuelewa unaongea nini.ila haya yote uliyatabiri mwaka Jana .kwenye ule wimbo wako uliyo mwimbia Rais , Magufuli.nasasa ule mnyama uliesema sema amekwisha fanya vyake.kwa Mtetezi wetu.heri wafao ktk bwana.barikiwa.

    • @hamadibabu6384
      @hamadibabu6384 3 ปีที่แล้ว

      Wanaelewa lakini akili zimelemazawa na wachungaji wanyonyaji hata bible isaya 56:10 inasema walinzi wake ni vipofu nao hawana marifa hupenda usingizi wanachoya hawashibi kamwe na hao ni wachungaji wasio weza kufahamu neno

  • @evarestsamson185
    @evarestsamson185 3 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji wangu,Ahsante kwa maneno, lakini ni vyema ukajua chukizo ,la urabifu nini,pia vizuri uelewe kifo cha yesu hakukimpa ushindi shetani,wala kanisa la Yesu halitishwi na shetan, jifunze pia nini kilitokea wakati,wakati hekalu kuvunjwa.kanisa halitanyakuliwa mpaka shetan,akose nguvu kabisa,

  • @tumaininzunda7206
    @tumaininzunda7206 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @mecktildatushabe7898
    @mecktildatushabe7898 2 ปีที่แล้ว

    Samahani mtushi Wa Mungu Mbona unatumia muda kuwasema wenzako unaonaje huu muda ukautumia kuwaambia watu waokoke waache dhambi

  • @cnjobelo
    @cnjobelo 3 ปีที่แล้ว +1

    Umesema hujasoma ndio maana unachanganya Mungu na siasa

  • @enockdaudi5009
    @enockdaudi5009 3 ปีที่แล้ว +4

    Mhubiri, wewe ndiyo kipofu hujui lolote. Soma 2 Theso. 2:1-7

    • @estarjuma7983
      @estarjuma7983 3 ปีที่แล้ว

      @@myself4128 😂😂😂😂😂muulize

  • @esternkulikiye9893
    @esternkulikiye9893 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kukutunza Mubalikiwa kwani uliyosema nitakweli waache wenye mioyo migumu wakubeze ila Mungu atawalaluwa malamoja kwa kukaidi

  • @user-qk9iz5lt8q
    @user-qk9iz5lt8q 6 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi

  • @apostleadamgige4662
    @apostleadamgige4662 3 ปีที่แล้ว +2

    Cha muhimu mtumishi wa Mungu toa mafundisho namna unavyoelewa maandiko, unavyoongea ni Kama unawafoka na kuwatukana watu wengine,YESU alisema nendeni mkawafanye watu kuwa na wanafunzi wake, mkiwafundisha na sio kuwatukana,kumbuka hao ndio waliokuombea na kukulea kiroho,tumia hekima na sio hasira,

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 ปีที่แล้ว

      Yesu aliwaita vipofu, majoka waliomlea kiroho. Je mwingine akipotoka ni mwema kuliko wale? Lugha inayotumika ni ya kukufanya ushituke ama uone ukubwa wa kosa. Ni kiburi kinachokufanya utafsiri maonyo kuwa ni matusi.

    • @mihayoyabhupangachannel9909
      @mihayoyabhupangachannel9909 3 ปีที่แล้ว

      HUO NI MTAZAMO WAKO!.

    • @modestapeter2997
      @modestapeter2997 3 ปีที่แล้ว

      Shetani siku zote hujifanyaga Kama anawahurumia watu kuliko aliye waumba! Hivi umesoma namna Yesu alivyokua akiwafanya watu kua Wanafunzi wake? Kama hujui kamuulize Petro

    • @mestonsimzosha2899
      @mestonsimzosha2899 3 ปีที่แล้ว

      @@modestapeter2997 😂😂😂petro alie fanywa kuwa mwanafunzi aliitwa (SHETANI) na haikutosha akaa ambiwa arudi nyumaaa nahapo atasemaje???

    • @fadhilimamwakane8480
      @fadhilimamwakane8480 4 หลายเดือนก่อน

      Sisi tunataka tusikie ujumbe wako shida unaweka maneno mengi lakini still unachelea kusema nini wamaanisha. Hili ni bando nifanye nijifunze niendelee na mambo mengine. Try to be specific and not too general

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 ปีที่แล้ว +2

    Aliyetufia ni Yesu tu.
    Na tupo nyakati za mwisho!
    Corona ni gadhabu kutoka kwa Mungu!,ili tumrudie

  • @andrewmgelwa2496
    @andrewmgelwa2496 3 ปีที่แล้ว +3

    Aha kumbe hujasoma. Ndomaaana.

  • @cleversiame808
    @cleversiame808 ปีที่แล้ว

    Duuuuhh jamani Mungu atusaidie!!!

  • @geraldntalondo6110
    @geraldntalondo6110 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakuelewa sana mkuu.

  • @nsimirrlove2139
    @nsimirrlove2139 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen

  • @NTEMI-OBURUDANI
    @NTEMI-OBURUDANI 2 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU hakika uyanenayo ni ukweli kabisa

  • @tumainedward1018
    @tumainedward1018 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen mchungaji ,naomba namba yako

  • @magejose1386
    @magejose1386 3 ปีที่แล้ว +2

    Aseeee Nakosa lugha nzuri...inshort najuta kutoa view yangu ....

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 ปีที่แล้ว

      Unajuta bure. Kwani haipunguzi wala haiongezi kitu.

    • @magejose1386
      @magejose1386 3 ปีที่แล้ว

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile wasema maana hujui taratibu za youtube

  • @josephsilungwe1758
    @josephsilungwe1758 3 ปีที่แล้ว

    It is true!.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 ปีที่แล้ว +1

    Makanisa mengi sana ni biashara kubwa.na wachungaji wake ambao ni feki.wakidai kwamba ukiwalosoa utalaaniwa wakati si kweli.Ahsante Sana ndugu.wajinga ndio waliwao

  • @killianpaulmahembe970
    @killianpaulmahembe970 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @froridaanthony3278
    @froridaanthony3278 3 ปีที่แล้ว +4

    kweli jaman amekufa kiuzalendo

  • @daudirubibi9601
    @daudirubibi9601 3 ปีที่แล้ว +5

    KAMANDA NINAKUKUBALI SANA.

  • @ramjimussaadam825
    @ramjimussaadam825 2 ปีที่แล้ว

    Nenda kasome chuo Cha biblia ukimaliza Rudi sikiliza haya unayoyasema, utatubu mwenyewe bila mtu kukuambia utubu, mtu wa Mungu hawadharau watumishi wengine.

  • @furahaabdalah1767
    @furahaabdalah1767 2 ปีที่แล้ว

    Neno:mpumbavu,mjinga,ushenzi,vipo kwenye Biblia.Cha msingi.tuchukue,kinacho tufaa kama wakristo. Lakini kanisa tufike mahali tuangalie tumetoka wapi,tuko wapi na tunaenda wapi? HASA viongozi!

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU wa mbinguni akuzidishie maarifa

  • @rhodakyenga2603
    @rhodakyenga2603 3 ปีที่แล้ว +2

    Haya makanisa ya Leo ni mataasisi tu. Ya kukusanya fedha za waamini kwa manufaa yao