Very true Trudy 👏 Mungu alitaka ifanyike ivo ndio asaidike. Romance 8:28 all things work together for good, for those who are called according to his purpose.
Imagine soo sad.... Have come to realise God help more people who helps ( the giver) not receiver. But we have to be wise many Pastor, evangelist etc they make us to think alot
Ng’ang’a was right. Don’t blame him, church deals with spiritual matters. Ruto is building affordable housing, let her be given the house and sakaja provide her with the job
@@GabriellaOndieki Sasa anafanya nini hapo kma hawezi saidia anawahubiria watu habari za mbingu ipi isiyoweza kusaidia,kipofu kiongozi wa vipofu,kujaza mahema for nothing.
Ni kweli but pastor ana uwezo mkubwa wa kusababisha tatizo kma hili lisuluhishwe ila si kwa maneno haya,upendo hakuna na kanisa lote limenyamaza,big congregation like this wangemchangia hata Mia mia angesaidika hata na capital kidogo aanze biashara ila haya Mungu atusaidie.A very bad example to the body of Christ.
Trudy thanks your amazing for the follow up God bless you so much God bless your work people use to get help though your seriousness job by following up so fans can know the truth
Pastor Nganga is after Sadaka za kuletewa but giving out to people is a problem ari peleka kwa govervnment poor him,may team @connect team #Sisikwasisi
Mimi hua nashangaanga hu wenye wanajazananga kwa hawa ma pastor ni vipofu ama ni viziwi!! Mtafunguka macho lini? Si mjue kujiobea. Please na akuna mahari MUNGU hauyuko Hii ni bishara na hawataki mtu ako na mashida. Fake prophecy s
But seriously,,tungekuwa tunaenda kupelakea apostle Nganga shida zetu atatuweza?Ni watu genuine wengi sana apostle amesaidia na makao pia na pesa na chakula,lakini watu huwa hawapost.Watu spiritual huenda kufunguliwa wanasaidiwa hadi na mapesa.may the LORD bless apostle Nganga and keep him .apostle is true
Mungu ukinibariki unibariki pia na akili za kutosahau nilikuwa maskini nikikulilia unibariki,,Na nisiwai kosa kusaidia wale ambao wanapitia hali kama hii
Mungu haaibushi mtu na huyo anajiita pastor sio wa Mungu kabisa lkn nimejifunza kitu shetani anapo kutesa hudhani ana kumaliza lkn huo ndio Mwanzo wako na Mungu,hata YESU alipo sulubiwa shetani alidhani kamaliza kazi kumbe yy ndio alimalizwa jipe moyo dada
For support MPESA number...0705 028977 Milcah moraa
Trudy tafuta Eric omondi musaidie this lady
Trudy was one of your parent was a Luo because the heart looks A Luo
Ndio maana nakupenda trudy kwasababu unasababisha watu kupata msaada kupitia channel mungu azidi kukubariki trudy🤲🙏🙏❤️❤️
May the Lord open our spiritual eyes so that we won't be cheated by false teachers and pastors and antichrists
Say it louder...
I refused to be ignorant so help me God in Jesus Christ name amen
@@SteveIrunguJermainenipitieni guys pale kwangu❤
@@KENYANQUEENOFFICIALDone ✅ nipitie pia ❤️
Ukisikia mtu akilia shida kama uko na uwezo msaidie tu 😢😢😢
Nimeyapitia pia, naelewa😢
Upcoming TH-camrs watu 50 wanipitie niwapitie tugrow pamoja ❤️❤️❤️❤️
Sasa huyu Nganga... May God judge him
Very true Trudy 👏 Mungu alitaka ifanyike ivo ndio asaidike.
Romance 8:28
all things work together for good, for those who are called according to his purpose.
Romans
@@sylvialukulu5667nipitieni guys pale kwangu❤❤
This is what we call a blessing in disguise. I hope Nganga is watching this.
He says that he only deals with spiritual matters,why can't he then collect spiritual offering
well said
Exactly
@@RocemaryKunguexactly 💯, nipitieni guys pale kwangu❤❤
So sad n maybe anatoa fungu la kumi anajinyima 😢😢😢
Mambo inachemka pastor Nganga there was a way on how you could ..handle this case....Trudy k big up sana kwa kazi nzuri ya follow up 👏
Maisha ni ngumu guys tusisahau wasio jiweza
Imagine fukuzwa church 😢😢 so painful 😒 😔 ndo maana devil worship is widespread in our country 😢, sorry mama we love you but God loves you more😊
I refused to be ignorant so help me God in Jesus Christ name amen
I'm extremely sorry to hear this
Mimi kwa Ngang'a nikirushwa siwezi anguka huko😂😂😂 pastor mwituuuuuuu
😂😂😂
Huyu sio pastor
Mtosha ushuru
Exactly akwende huko😂😂😂@@MaryNjoka-i3t
😂😂😂😂😂😂😂
Pastor Nganga na washirika wake hakuna mtu alionea huyu dada huruma nkt mnaabisha gospel God is love
Pastor Ben all the Best ❤
This is spirit of rejection God will open doors for you my daughter
Nani alikuambia hio???
Even though its a rejection spirit,it shouldn't come from a pastor
@marymillicent6425 That's not a real pastor
Trudy I love you mama you are doing good job aki ukiomoka usisahau mahali umetoka❤❤
That why i love bishop ben
hananga madharau❤❤
Pole sana Dada mungu akuonekanie
Ooooh my God. ,,, bytha noone as ever liked my comment since I started commenting in you tube
Many GOD bless this lady
Trudy 'good job for being a destiny connector❤pole Moraa
Hiyo si poa, mm nitaishi kupongeza mwololo all the way,we love you papa ❤❤❤ hauwezi ACHA mtu akiwa na shida na ndio maana tunakutambua sana
Mungu awabariki wamama zaidi na zaidi cause wanapitia kwenye changa moto
😭😭😭😭💔
Hope huyo bwana hatarundi akiona huyu mama anachangiwa
And these are the kind of crooks we worship like god. What wicked pastor. And people busy giving offering to this nugu
Imagine and they support him pushing her out
Imagine soo sad.... Have come to realise God help more people who helps ( the giver) not receiver. But we have to be wise many Pastor, evangelist etc they make us to think alot
Kanisa ya kwenda duniani sio ya kwenda mbinguni
He sells bread and mandazi in church...I don't even know why people go to his shrine.💔💔😞😞😞
Ng’ang’a was right. Don’t blame him, church deals with spiritual matters. Ruto is building affordable housing, let her be given the house and sakaja provide her with the job
Na vle wakenya wengine wenye wanajiweza wanasema hawataki affordable housing 😂😂😂aky hii kenya😂😂
Akuna right yyote ya kufanyia mtu ivo labda uwe mjinga wa kufikiria
Ongea vizuri
@@GabriellaOndieki Sasa anafanya nini hapo kma hawezi saidia anawahubiria watu habari za mbingu ipi isiyoweza kusaidia,kipofu kiongozi wa vipofu,kujaza mahema for nothing.
If its so why can't he ask the government offering
Pastor hawezi saidia kila mtu tutengemee Mungu tujitume na tuombe tuu Mungu afungue maisha tuu
You are right but he could have handled her in a better way.
Pastor hata angejinyima Hawa wanaosumbuka angalau wapate faraja....she was God sent to test this imbecile at pastor...@@winnyted1336
True ...but hangeogea hivyo
Kweli pastor hawezi kusaindia kila mtu lakini tutumie lugha mzuri masikini hasiumie mara mbili
Ni kweli but pastor ana uwezo mkubwa wa kusababisha tatizo kma hili lisuluhishwe ila si kwa maneno haya,upendo hakuna na kanisa lote limenyamaza,big congregation like this wangemchangia hata Mia mia angesaidika hata na capital kidogo aanze biashara ila haya Mungu atusaidie.A very bad example to the body of Christ.
Mungu Ni Mwema 🙏
Ng'ang'a kwa madharau zako,Mungu naye ni nani ametendea huyu mwanadada makubwa
Good job trudy bless you ❤❤
Really ...a pastor......sidhani.....
Trudy thanks your amazing for the follow up God bless you so much God bless your work people use to get help though your seriousness job by following up so fans can know the truth
Why people accepting to be brainwashed watu mnaenda kwa ng'ang'a kufanya nini huko haswa niliskia akiambia mwingine yeye ni mungiki
😂😂😂😂😂ati wanaenda kuombewa nani nganga anaeza ombea surely 😮😮
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
That' was my situation i was mpaka nikaamua kwenda gulf na maisha inaendelea wanaume ogopa😢😢😢
Nipee connection mama😊
Ngai tuko sote niliachiwa 4 children na msahala ya waiguru imewasomesha wawili up form 4 and wawili wengine wako form 2
Hi...
Trudy be blessed🙏🙏
Mungu ni mwema
Nashindwa ati ako na wafuazi wengi.
Pole dadaa ila pastor alikosea sana kumfukuza angechangisha tu hapo church angepata doo akamsort
May God help you,,
Apostle God blesd you so much,Jeremiah I verse 19,
Pastor Nganga is after Sadaka za kuletewa but giving out to people is a problem ari peleka kwa govervnment poor him,may team @connect team #Sisikwasisi
Mimi hua nashangaanga hu wenye wanajazananga kwa hawa ma pastor ni vipofu ama ni viziwi!! Mtafunguka macho lini? Si mjue kujiobea. Please na akuna mahari MUNGU hauyuko Hii ni bishara na hawataki mtu ako na mashida. Fake prophecy s
Ukweli kabisa
Very true wanataka mwenye ako na pesa bila hio unaskia vile aligombanisha huyu mama 😢😢
Ukweli kabisa,hawataki mtu hako na shida
Nipitieni guys pale kwangu youtube 😢😢😢😢
Watu usema Ezekiel sijui nini but haizi kuwa this arrogant wagikuyu mnashida 😢😢
Pastor anaomba mungu agani naawesi saitia mtu Aki mungu anaona uyo pastor
Kweli mchungaji ni sawa na papa yaani yeye ni kupuliza sio kupulizwa
Good job gal
This pastor mungu amusame
Pole sana Dada yetu Mungu yupo 😢
But seriously,,tungekuwa tunaenda kupelakea apostle Nganga shida zetu atatuweza?Ni watu genuine wengi sana apostle amesaidia na makao pia na pesa na chakula,lakini watu huwa hawapost.Watu spiritual huenda kufunguliwa wanasaidiwa hadi na mapesa.may the LORD bless apostle Nganga and keep him .apostle is true
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 woooo
But he cld have used polite language and pray for her.. maybebthe pray cld have opened doors for her
No way.How can a true man of God act like that.Kama hakutaka kumsaidia angenyamaza tu.Stop justifying evil
😂😂😂😂😂kosa kulipa kodi juu utaenda kwa nyumba ya baba kanisa
Eey trudy una glow mamaz ❤ is it you😂
😂😂😢😭 ati he deal with spiritual matter not giving money si hata angeongea na congregation wamsaidie
Ak mtu ataomba aje akiwa njaa surely 😢😢ama hana mahali pa kuweka kichwa chake 😢😢
hapa ndipo tunasema hata kama tunapiga jcm bt bishop ben ako na roho ya utu
bt ngnga mungu akuone😢
Huyo pastor hata hangeuliza washirika kuna mwenye angezaidia.nimekuwa nikitetea huyu pastor lakini hii sasa hapana😢
I need your interview
waah na ni mchungaji so sad
Yaani hawa ma pastor wanataka hao waletewe sadaka but it's hard kusaidia mtu Yuko na shida.kanisa ni scam tu.heri tu kujiombea.
Pastor wa uongo pia wako...
I wish ng'ang'a could have sympathy by telling his congregation to contribute 😥it pains me when I see a human being, being inhumane to another 😭😭😭
Kama ulikua keen kuna mzee alikua imoshonoo sana😢😢😢😢
Pastor doesn't need contributions, he has monies
True gospel is love , angemulipia mwezi moja eeh nganga
Akisaidiwa arude kwa nganga atoe sadaka. God works in mysterious ways
God help me nisijikute kwa hili kanisa, so sad haki mtu ako na shida, msy God remember her, may God help us not to run to church for help.
Imetisha
Trudy wacha kumwambia aongeleshe bwana yake this is not yhe right time
Huyu akilizake ziko rafuu ni pasta Gali simusikizi kabisa
What makes people feel that tu ey have an entitlement to be helped by men of God?
Bona munaenda kwake , 😅😅😅😅
I'm happy I stopped going to church, and in the current dispensation siwezi spend kwa kanisa....
Like wise
If that,s going to church I would rather worship God at the comfort of my house going to church to me it is a hell NO
Kama nikwa kiengei angerudi nyumbani na rent😢nganga God is watching
Pastor Ben ako na utu❤❤❤❤❤
Wakenya bona mufunguki macho 🥺
Nganga hauna matunda ya Roho Mtakatifu una roho chafu Sana roho za mizimu
Yes roho mbaya
I wonder those who take offerings to him,next ni wewe. He is not a true servant of God,hata 10k ingemsaidia kuliko kuongea chafu hivo
Huwa nashangaa na watu wanaenda hapo kuduu aliambia Mama mwingine aende kwa church ya mungiki khaaai 😢
Ex prisoner from shimo la tewa ni mwokovu wawapi ila tu cultism.
Mm nitasema hio siku alivuta bangi mingi
Mungu nimwema amesaindio na askari hiyo kitu iriuma saana Sasà watoto wako wataisi mzuri na wewe m'ama ufanye hiyo kazi na nguv
Mungu ukinibariki unibariki pia na akili za kutosahau nilikuwa maskini nikikulilia unibariki,,Na nisiwai kosa kusaidia wale ambao wanapitia hali kama hii
Siangemuobea apate job😮
Huwa najiulzaga watu wanaedaga kwa ng'ang'a ktafta nn?
God makes a wsys always
Honestly, sijui watu wanaofika kwa iyo kanisa ya huyu shetani wamekamatwa kiroho
Huyo mwanaume ako Kwa njia hapa anarudi mbio mbio pesa ikiisha aende tena,hiyo kabila huruma ya damu ya Yesu tunawaombea
It shld not be like this, god av mercy
UuuuuuuuweeeePastor pastor pastor pastor my foot heri mchawi hata ako na huruma kidogo
Kama church ndio unafanyiwa hivi waa na vile nilipenda huyo pst hii nayo hapana😢😢
Toka huko immediately hii nugu ya pastor ovyo sana
My sister kwa facebook tunakutafuta niwatu Wengi sana wanataka wakusaindie usirudi hiyo church ya nganga Tena
trudy umusaidie aki because God has reward😢
Jesus Christ is the only way.We should trust in Him not in our pastors or churches.
Mungu haaibushi mtu na huyo anajiita pastor sio wa Mungu kabisa lkn nimejifunza kitu shetani anapo kutesa hudhani ana kumaliza lkn huo ndio Mwanzo wako na Mungu,hata YESU alipo sulubiwa shetani alidhani kamaliza kazi kumbe yy ndio alimalizwa jipe moyo dada
And other people are still standing there to receive prayers. Aky nitakuwa nitageuka na niende na shida zangu.
Na nganga aliongea aje ivo kweli ata kama tunaambiwa tusijudge but wah.....may God take control of this lady
Ama apostle nganga ako na depression 😮
Nganga kiburi mingi, na watu cjui wanamfuata nini
Pastor????????
God bless you so much Trudy kitui kwa job yako safi
Kwani huna kwenu? Ama ulifanya dhambi gani kisii?
washirika tunalala njaa pastor akule bt pastor hawezi toa only 1/4 of sadaka or fungu la kumi kusaidia mshirika God have mercy on your people
This is crazy period
Hawa ndio ma pastor wenye tunategemea waonyeshe watu njia ya kwenda binguni
Mpaka usher anampush the lady
Huyu atawai enda church aki 😢
Huyu mama anauzanga chan'ga kwa Kijiji aache kudanganya!!!
Hapo pastor amenoa....ameanguka kama pastor.why not encourage her or even request a church member to assist her?