Waah!! Ile Unity iko hapa imeenda Private school. Haki umoja ni nguvu.. Nyinyi maboyz wa Minnesota mmetuzingua .Haki mmebadilisha image ya wakenya abroad. KEEP UP BOYZ.
John omwenga is the best hype man here .give him a thumb up to this gentleman on my behave,Tell John omwenga to reduce a Tummy just drink more "Chang'aa" or "kupiga tizi"..wananume na mmehasla mbaya sana.. keeping on hustling guys.
Braza umeanza a revolution of content bila hata kupanga. Big up sana. Seeing huku from so many countries nasmile sana hii revolution itawaonesha afrika vitu iko kwa ground majuu.
Manze nyi wasee huninyce maan,,,the gang gang, the family, I just came back to KE from a similar setup in Europe, I miss the vibe, the perspective, the hang outs, I will be coming over to that side next year and I love your P.O.V...Mnanipaa nostalgia wallahi!
the only long youtube video i have watched without forwarding, kudos majamaa. mwache kula seed oil, sukari na wheat mtatoa hizo vitambi. but processed food kila mahali uS poleni
I just love your content🙏🙏Great job:)
Lynn uko huku yues pia😘
Uuuuuuiii Lynn wetu ako uku... nakupenda mama💜💜💜
if Lynn is here,its verified.
Yaaaay 🤗 Lynn ameweka tick 👏👏👌
Lynn? Alaa🤣🤣🤣
Huko yues mki, freeze maboringo. Much love from Tanzania 🇹🇿
thanks bro much love 🥳on behalf of them 🙏tuko pamoja our neighbors 😘😘❤️
I really admire the way you live good live in USA 🇺🇸 aki si ni win hiyo Greencard 2023 May I really pray God to be fulfilled to come to America
Niko Mapema kama Kawa...💪🇰🇪 Ndio best....Likes zicome
May God open new doors for you Onami. Heart of gold you got. And people love you for being you. Keep up guys.
Mambo brother
Very soon I will be coming to USA I wish nifike huko Minnesota
Ati kuflip wanyanyes😂😂😂😂
😂😂😂😂 wengine wanaflip burgers, wengine wanaflip wamama wazee 🤣🤣
@@askmethings737 Ati kuflip wanyanyes ndio Doo kidogo, si hii ni hujuma jamani😂😂😂😂...things are thick
Poooa sana Onami Gabu and all Kenyans hapo na mutura....Yummy Delicious waaa
one love kutoka Moshi. Kilimanjaro Tanzania mzee wa kufreeze maboringo hii channel inanibamba
Waah!! Ile Unity iko hapa imeenda Private school. Haki umoja ni nguvu.. Nyinyi maboyz wa Minnesota mmetuzingua .Haki mmebadilisha image ya wakenya abroad. KEEP UP BOYZ.
Ali wamefanya vizuri sana
hii mutura ni safi sana bana,na mlisahau giza ni ingredient pia😂😂😂
😅
Hahaha...natia ndûgû
Kabuti ya white Iko very dirty, smoke nyungi, missing ingredients
Na uchafu🤣😅😂🤣😅😂
1st one from Tanzania one love
Napenda Sana kiswahili Cha Wakenya. Onami unafanya vizuri Sana.
Kweli iko aje?🤣😅😂
These 3 friends are just a vibe..musiwahi kosana aki..u make us look sweet to stay....
Wanaume hawakosanangi not unless ni mambo na business
Hata madem haiwezi wakosanisha.
Wakioana ndi ivo.
So excited to see you guys, friendship is good makes you Strong together, home sick haiko.
Hello brother
Pure niceness, true men talk real ghetto an life story always greatful shujaah wangu huku yuess
Mr maboringo you doing good but that vida is not very clear, work on it sir .
Ibra thanks for your encouraging spirit for youths.
I like how this guys relate with each other. Gabbu from central, Ibra is a westerner and Omwenga my man is Ominto from Kisii my land.Brotherhood
That's very good
Kenyahood at its best in huku Yues.
Ukiwa majuu tribe inapotea.
@@Kakwasi hata haikuangi mtaa until elections
@@madstagger4026 😂😂aki ukeli election ndio uamsha mashetani za ukabila Walla
Hahaha, Ibra ungegeukia Mtu ngumi, anakuspank aje... Hahaha. Huyu Gabu anakaa ni hustler kabisa
Huskii Gabu vita inakuanga Karibu
@@lilianmuriithi5791 🤣🤣 jamaa haikosi ni wa kwetu murang'a, ni kienyeji kaa mimi 😅
Onami you look so respectful to others...keep up you will keep your friendship
Love from Rwanda 🇷🇼 kigali
Hapo kwa jaba hope unakumbuka ya mulinge pale stage one
#Rongai 03
utaitaje duka TWANGA PEPETA MABORINGO 😅🤣😅🤣
Thank you broo for your good content ,sure I'm interested
I would love to listen to Gabu's story. He seems has much to tell.
I love 💕 you guys, your past life testimonies are encouraging the youth. IBRA continue huku yues💪🏿✌️✌🏿
I like hapo Kwa jaba umepitia mengi👏👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimeshinda nikicheka 🤣🤣🤣🤣 content yako iko juu onami
Kazi fiti Ibra. Kuna church inaitwa True Jesus Church, unajua mahali iko na Texas.
HUKU YUES keep them coming
GABU is a great chef. 😃😂😅 We want more contents of cooking
.I love food 😃
Gurba maant arman sii baas😂
ivo sasa umethink👏👏
Onami my guy, may God always bless you. Because of you I knew about Dv lottery and applied
I love the vibe bro next year am kwoming 🙏👊😂
Na enjoy saana ukiwa na gabu na omenga keep it up
Safi sana mmekutana na mnaishi wote kwa amani
I like the way you guys are clean. You gained a follower today
Si Beshte yako Gabu anaharibu maji 🙊🙊🙊 hadi naskia tu kufaint 😂😂😂
😂😂😂
Yues maji ni free
@@jaykemmy7097 ata kama ni free. Save the planet. Use sparingly.
@@jaykemmy7097 water is not free in US you pay on monthly bill
Well done.kip it up
Enyewe wasee hukapitia kabla waomoke, I'm encouraged
Buda....content yako iko legit...Raw and original...Keep it up.....
Huko yues tunaweza fika aje,,, kainvite joh 🎉
Huku yues Kumbe Pia kuna motura 👍👍
Jamani.mnatutamanisha.Asante kwa video😍😍😍👍👍
Huku yues no.1 TH-cam in Kenya
the reaction ya ibra na omwenga after kuskia kamba 'kambaaa!'🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
adicted to this channel. unatupeleka moja kwa moja ki dj afro.
From Tanzania 🇹🇿 huku yues 👊
Tunapika Tako...😂😂😂ground beef
This team is so amazing 🙏🙏🙏I can't sleep without your shows 💪💪💪💪🔥🔥🔥🇶🇦
Qatar strong 💪 🇶🇦
@@derrickmbogo4231 we are here🇶🇦🇶🇦🔥🔥
Huko Yues life ni nywee but summer bunnies here are telling us different story.
hiss video ziko noma, ametaja K.U. huko KM 🙌🏾😂🇰🇪❤
John omwenga ni cool kid😂😂
I love this unity Onami, I wish you all the best, we watching you from East coast USA
Eih this has been fun 😂😂😂🤣🤣🤣 nimecheka yangu yoote, hii rende noo noo, Okemwa hajakuwa huku why 🤣🤣🤣
hahahaha KM!! Nilikua huko juzi. base ngori sana.
Hahahaha tabia za wakenya..... All cutlery na vitu ka hizo, kabati moja
very nice content..
ata sasa bass ueke gari mafuta uanze kutravell ukituonyesha various places huko Yues..
si menesota pekee💪
Yoh i love how you roast each other 😅😅🤣
Napenda hizi zenye mko mastory na maboyz...I feel like am there with u guys
Kitchen ya wanaume 😂😂😂😂weeee wanashika nyama wanashika cabinets
🤣🤣 boys will remain to be boys
John omwenga is the best hype man here .give him a thumb up to this gentleman on my behave,Tell John omwenga to reduce a Tummy just drink more "Chang'aa" or "kupiga tizi"..wananume na mmehasla mbaya sana.. keeping on hustling guys.
Lol. Naanza pap!!
John OMWENGA 😅
Huyu ni Honorary member
@@HukuYues172 gotea huyo msee.unibamba Kwa vida zako.
@@farajomer harakisha msee😂😂
Love love nothing but love Ibrahim 💜 could NVR miss ur videos at a nkichelewa...nice one✔
Unado poa.great work tembea nikupikie mutura
All the best guys I admire your friendship u make such a great team, I enjoy watching ur content
buda 20 years majuu na bad mi huitisha well done.. him mambo ya nyama haijaiva haiku lol
Braza umeanza a revolution of content bila hata kupanga. Big up sana. Seeing huku from so many countries nasmile sana hii revolution itawaonesha afrika vitu iko kwa ground majuu.
Gabu ni wewe uliniuzia sheet nusu River Rd? 🤣😂🤣 (true story). But seriously you guys are too funny... you got me cracking up.
Gabu alifanya ile kitu 🤣
Extra well-done 😂
Napenda hio vida ya dakika 44 mazee sikuizi huduu quickie😅😂😂maze congrats
Aki mi huamka kama nimeingia TH-cam kuwatch new post za ibra
Much love from Lebanon
kweli nyama ziko kwa wingi hapo hahaha...... Napenda videos zako sana!
Exemplary work you do ibrahim...keep the fire burning
Very educative now naeza pika mturaa apa doha🤪
😮pombe ni apple juice Subhnllah
Onami's content just flows freestyle 😂😂. I love this
Team maboringo mko yuues 💪🏼💪🏼💪🏼😂😂😂hati ukaspankiwa
Mpo vizuri sana ampoi wala hamboi story Zenu simesimama very good
Amazing content i love the vibe
twanga pepeta maboringo 😂😂😂😂😂😂😂😂
Nmechega buana😂😂😂😂😂, ati rasa nyangwedho
Gabu you look familiar, I was in KU too and I remember you......comrade.
I just like the dishes rack niambie ulibuy wapi😅😅😅😅😅
Manze nyi wasee huninyce maan,,,the gang gang, the family, I just came back to KE from a similar setup in Europe, I miss the vibe, the perspective, the hang outs, I will be coming over to that side next year and I love your P.O.V...Mnanipaa nostalgia wallahi!
🙏🙏🙏🇰🇪 much love nimeona msee ajaribu kkuiga bt salute brother you are at your own level 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
Three men relating so well happy Kenyans true friends keep it up
i just love this team,feels like im part of it bana.
Unity is strength I like you guys kip it up.
😂 hapo kwa the Beatles mnapiga story za jaba😂😂😂
leo mnaniua na kicheko😂😂😂
I hope am among shortlisted for green card I like USA somuch
good job bro we real love your content keep it up
You guys are having a guys moment making mutura wow such fun!!
Nyabwetho ni nini 😂😂😂 mazeeee I've been laughing all through
Maboringo
Loving your show
Mutura tamu ni kuwa na uchafu kidogo😅 Hiyo yenu ni safi
Big ups raia mnafanya works freshy barida
Aii Gabu hujamaliza kukatakata kitunguu🤣🤣
Maboringo za mbuzi Gabu alizimaliza 🤣🤣🤣
the only long youtube video i have watched without forwarding, kudos majamaa. mwache kula seed oil, sukari na wheat mtatoa hizo vitambi. but processed food kila mahali uS poleni
Yes my fellow warrior I see you😅
Hiyo sio apple juice unakunywa unafunga macho...😂😂😂😂
Ka-jameson bana
😅😅😅😅😅😅😅