MZEE MASATU AMVAA MAGORI"ATUOMBE MSAMAHA" | YANGA HAINA UBORA HUO | SIMBA BINGWA MSIMAMO NDIO HUO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @moshiwasua5749
    @moshiwasua5749 3 วันที่ผ่านมา +4

    Wanao sema Camara anatuchoma ni mashabiki wa nyuma mwiko. Tafadhali tusiingie kwenye mtego wa kuwalaumu wachezaji wetu. ,halafu tukiwa acha. Utopolo anawachukua. Anaelaumu wachezaji wetu. ,,huyo ametumwa na nyuma mwiko. Waache ujinga. Refa ndiyo ametuumiza

    • @MzeewaYanga-hm8jq
      @MzeewaYanga-hm8jq 3 วันที่ผ่านมา

      Kwahy magori nyuma mwiko

    • @yunusimchala6569
      @yunusimchala6569 3 วันที่ผ่านมา

      Magori nyuma mwiko?

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 วันที่ผ่านมา

      Unaumwa UTI ya ubongo nini wewe? Magori ni nani?

    • @sittandaki2135
      @sittandaki2135 3 วันที่ผ่านมา

      Unateseka ukiwa wapiii Kolozidadi????? Mlijikuwa mnajitapa sana

    • @sittandaki2135
      @sittandaki2135 3 วันที่ผ่านมา

      Mmebakia kulalamika tu 😂😂😂😂😂🤣👆😂😂

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 วันที่ผ่านมา +1

    MECHI KANYOKO GOLI KANYOKO USHINDI KANYOKO 😂😂😂 KANYOKO FC 😂😂😂

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 3 วันที่ผ่านมา

    Mzee masatu alikuwa anasema anaitaka Yanga ameiona sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @moshiwasua5749
    @moshiwasua5749 3 วันที่ผ่านมา +1

    Beki alipoteleza ndani ya 18. Camara amesevu. Camara ni nyota ya mchezo Mabululu wa Tripol alishindwa. Michomo alio okoa Camara dhidi ya Tripoli ndiyo iliyo tuingiza makundi. Kumbuka kipa tulio mleta toka Moroco. Mechi za mwanzo uliona hafai baadaye tulimpeda. ,,, ndiyo maana nasema tusiingie kwenye propaganda za nyuma mwiko

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 3 วันที่ผ่านมา

    Hovyo kabisa mzee huyu!

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 3 วันที่ผ่านมา +1

    Refa Ali sawazisha mchezo

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 3 วันที่ผ่านมา

    Amjasema mpaka mseme na mtasemaaaa bwana asifwe amee milele na milele kolo akipita teketeketeke kuleee😂😂

  • @ExzaudIpyana
    @ExzaudIpyana 3 วันที่ผ่านมา

    Mzee masatu kuhusu manula kubu denis hawa watu nikweli kabisa bila kuondoka hao ni balaa tu.wachawi sana drisha dogo waondoke

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SIMBA VIONGOZI WETU NIWAZEMBE SANA ,KWANINI MRILUHUSU ATEBA AONGEE NAVYOMBO VYA HABARI YAKUA ATAIFUNGA YANGA ???

  • @tresphoryngao2367
    @tresphoryngao2367 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hili jamaa linakimbiliaga kuposti ila kufanyia kazi tatizo la sauti haaaa

  • @JumamusaOmar
    @JumamusaOmar 3 วันที่ผ่านมา

    Ao wa wazee wamekua machawa wa mama

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 3 วันที่ผ่านมา

    We magori mara nne yote hujaamin? Acha ubishi

  • @OmarJoho
    @OmarJoho 3 วันที่ผ่านมา

    Kibu haondoki ramda ww una ham mana ww ninyuma mwiko

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 3 วันที่ผ่านมา +1

    Camara katuchoma, kipa mwenye uwezo lazima ajue milingoti yake ya goli iko wapi

  • @Amne_ggg6
    @Amne_ggg6 3 วันที่ผ่านมา

    Mzee wangu umemaliza yote, Yanga wana nguvu mpk yawatu wazito kuifunga sasa tusahau

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 3 วันที่ผ่านมา

    Mwambieni akaangalie video mpira uligusa kwenye chaki haukutoka😂😂😂😂😂

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 3 วันที่ผ่านมา +1

    Magoli hajakosea lolote hii mechi ya pili mfululizo Camara anatuchoma

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 วันที่ผ่านมา

      Kamsajili Magori huyo huyo!

  • @mtalemwadenis1500
    @mtalemwadenis1500 3 วันที่ผ่านมา

    Mzee masatu kila mala mnasema mvua ikinyesha ndo mnapata magoli Leo unalalama kuwa ubora ulikosekana kwa sababu ya mvua

  • @EliaTish
    @EliaTish 3 วันที่ผ่านมา

    mm Simba ila Camara anatuchomesha toka mechi na cost nazan hamuelewi ila mtaelewa 2 mechi ya pihri anafanya makosa tunaazibiwa kupitia makosa yake

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 3 วันที่ผ่านมา

      Na anapookoa je inakuwaje? Mkubali tumefungwa na tuone nini kimetukosesha ushindi licha ya kosa kama lile la kimchezo la kipa

  • @drvaxminja2133
    @drvaxminja2133 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe mtangazaji hujitambui, unasema Simba ilimiliki mpira dakika 45 za kwanza kivipi wakati ball possession Yanga 51-49 Simba
    Second half Yanga 54-46 Simba
    Ni vipi useme Simba walimiliki mpira?
    Halafu nafasi ya Ateba ilikuwa offside.

    • @wispoti_tv
      @wispoti_tv  3 วันที่ผ่านมา +2

      Shukrani kwakutukumbusha wew ni familia

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 วันที่ผ่านมา

      Jamaa siku zote huwa fala sana! Huwa ana maswali ya kijinga,introductions za kijinga,i mean he is sh...t

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@wispoti_tvMECHI KANYOKO PIRA KANYOKO USHINDI KANYOKO GOLI KANYOKO 😂😂😂 KANYOKO FC

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 3 วันที่ผ่านมา

    Wakumbusheni mbona hawwsemi offside ya ateba na red card na penati ya Msonda hawasemi. Mechi ya dodoma jiji penati hamsemi mliyopewa na sio. Mechi na cost hamkuongea 😂😂😂😂😂😂

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 วันที่ผ่านมา

    Simba wamecheza vizuri kwa sababu HAWJAFUNGWA NYINGI!😂😂😂😂Yaani ,simba imekwisha! Timu ilicheza for A DRAW! KUPOTEZA MUDA,KUJIANGUSHAANGUSHA ! Kwa hiyo mvua ilikua kwa simba tu!?😂😂😂😂KIKOSI KIBOVU!

  • @KapeLoBoY
    @KapeLoBoY 3 วันที่ผ่านมา

    hahahhahahaha team hakuna mlalamikia marefa na tff acheni hzo tieni hela acheni kuchukua wachezaji wa bei rahisi

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 วันที่ผ่านมา +1

      WEWE NI WALE WALE TIMU KANYOKO PIRA KANYOKO GOLI KANYOKO USHINDI KANYOKO 😂😂

  • @totimusmodest8241
    @totimusmodest8241 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe umenufaika na michezo km miwili kwa penati za wazi mbona lawama hazikuwepo

    • @SalvatoryMtunga
      @SalvatoryMtunga 3 วันที่ผ่านมา

      Mmejifunga wapi? Sema mmefungwa.