#Live
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
- #arisendshinetanzania #2024mwakawambinguzilizofunguka #mwamposalive
#tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania#dar#tanganyika#ubaloziwambinguni#kawe
Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
From Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.
WATCH ARISE AND SHINE TV
AZAM CHANNEL 469
STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.
Ee mungu mfungue mme wangu na Mimi Leo Nataman nishuhudie na Mimi amina
Bwan yesu asifiw namshukulu mung mchumba wangu ameniludia
Kupitia ibada ii piliod yangu itakat na mimba yangu ikuwe Salam na imesha tendeka kwa jina la yesu kristo
Eee mungu mfungue baba yangu apone asikatwe mguuu apone katik jina la yesu
ameen
Ameeeeen
Ameen
❤
Kupitia ibada hii nina imani ya kuwa nitapata kazi na nitaajiriwa ndani ya miezi miwili hii
Niombee namimi niishi kwaaman
Jamn siskii sauti n simu yangu tu a
😢😮
Nataka niolewe
Y
E mung nijalie lililo jema
Mabosi waniongezeeshara
Mung nifungulie biashar yang
Mtumishi mimi mbona mumewangu wandoa alinikimbia miaka mengi naomba uniombee aludi mumewamgu naimani ukiniombea ataludi
Nataka dastan mbuko afike muda huu