MZEE MAGOMA YANGA HATUNA UWEZO WA KUMFUNGA AL AHLAL/AVUA KOFIA KWA UHAKIKA YANGA TIMU HAIJATULIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 22

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    WANAJIFANYA HAWAMUELEWI,,, ILA HIKI KICHWA KINAWACHANA UKWELI TUPU

  • @aloycebabene6239
    @aloycebabene6239 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Huyu mzee ni mtu mwenye akili kubwa ila yanga hawamuelewi...😊

    • @anthonymilinga8696
      @anthonymilinga8696 17 นาทีที่ผ่านมา

      Hakuna mchawi alie wahi kukubali kuambiwa ukweli kuwa yeye ni mchawi, hiyo ndio yanga Sasa.

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mzee Magoma anawasanuakitu kikubwa Lin washamba hawaelewi. Dakk za mwisho mtamkumbuka magoma kwa hizi nasaha.

  • @kalolokisanga4943
    @kalolokisanga4943 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We Mzee magoma timu ya yanga sio ndugu yako ihame acha kuhujumu timu

    • @bone102
      @bone102 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na wewe ndo kijana taifa linakutegemea yaani wala hujiuliz Yanga inawanachama na muwekezaji sasa kwann kuna kiongozi wa Muwekezaji hakuna kiongozi wa wanachama wa Yanga hujiulizi unasema anayehoji hiko kitu anahujumu timu daah 😂😂

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    UPO SAHIHI MAGOMA

  • @GodwinMtungi
    @GodwinMtungi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee tuachie timu yetu iktokea baya utakamatwa wewe

    • @anthonymilinga8696
      @anthonymilinga8696 28 นาทีที่ผ่านมา

      Mzee anaongea ukweli ila hampendagi kuambiwa ukweli. Ipo siku mtakuja kumuelewa na mtakuwa mmesha potea mazima.

  • @matiankomola2391
    @matiankomola2391 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa Akili zako, zinazofanana na Huyo bwana

  • @SULEIMAN-l8v
    @SULEIMAN-l8v 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani hii timu c mlikuanayo miaka75 na mz akilimal sasa wao wafanyeje

  • @SilemaniAli
    @SilemaniAli 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyumzee yuposahihi lakiniakisema ukweli kunawatu watakosakula nawengine furahakwaonimuhim kwamaanahio wachatumuonechizi lakini yuposahihi

  • @hamisitoky6724
    @hamisitoky6724 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ok

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    akuna aja ya kumpigia mtu magoti sasa sasa apo apo unataka mtu awajengee uwanja je mta mueshimu kweli aaaaaaa

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wakwanza usipite bila ku like

  • @elvisnzovu8282
    @elvisnzovu8282 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli huyu mzee magoma ni kichaa kabisa.

    • @bone102
      @bone102 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ukimuona huyo mzee kichaa basi jua wewe ni kichaa na mtakuja kumuelewa ikitokea mmezingua msimu huu subiri utayaona

    • @anthonymilinga8696
      @anthonymilinga8696 21 นาทีที่ผ่านมา

      Kichaa ni wewe hapo ambae hujui kitu anacho kiongea huyu mzee, siku moja mtakuja kumuelewa, ngoja mpasuliwe mkojo kwenye mechi za CAF ndio mtaelewa.

  • @CathelineMagawa
    @CathelineMagawa 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Mzee Hana maana.mchawi tu.

    • @johnsmwandu7338
      @johnsmwandu7338 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uchawi wake upo wapi kusema ukweli?

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zungumzia ya kwenu sisi simba tuna uwanja weti

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yang wangekuwa Wana watu watatu kama huyu mzee wangefka mbali lakin ote waliobki ni mbulula Awana akili