Nay wa Mitego: 'Watu tu hawakujua, 2015 hii iliniumiza sana'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 27

  • @zuhuraali9983
    @zuhuraali9983 9 ปีที่แล้ว +3

    duhhhh wanawake kuna muda tunakuwa tunasahau tulikotoka jamani pole sana ney

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 7 ปีที่แล้ว +3

    Sijui mengi kuhusu huyo jamaa ila ni mkweli. Kuna watu wengi sana huonekana wakorofi lakini wanaroho safi sana, nadhani huyu ni mmoja wao. Kuna watu wana damu yakusingiziwa kila jambo baya nadhani pia ni mmoja wao. Pole sana Nay wee songa mbele chunga watoto.

  • @anithaasajile1321
    @anithaasajile1321 9 ปีที่แล้ว +4

    so touching jaman kwel watu wanakuchukulia mkorofi,bt me I believe kila mtu ana gud side yake.,ur a man n Mungu aendelee kukubariki ucjal unapata mke mzur I blv so one day.....Millard kazi njema dear luv u

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  9 ปีที่แล้ว +1

      +Anitha Asajile Thanks for watching Anitha, asante kwa love yako pia.... nakupenda pia

    • @mwamininajim3031
      @mwamininajim3031 9 ปีที่แล้ว +1

      thanks Millard Ayo kutuleta abari tafauti. I love you so much. from London

    • @kildokiza925
      @kildokiza925 6 ปีที่แล้ว

      +Millard Ayo tv

  • @mariammahaba5661
    @mariammahaba5661 9 ปีที่แล้ว

    pole sana ney.ucjali MUNGU atakupa mke mwema.yy alichukua haraka.akauachia baraka.thanx millard

  • @martinwayne9852
    @martinwayne9852 9 ปีที่แล้ว +4

    ney watu hukuona kuwa we mkorifi kwel tofauti

  • @phatmahjuma8455
    @phatmahjuma8455 9 ปีที่แล้ว

    Nay leya wanao chunga usije umizwa tena u are a real man Congra

  • @jacksonlema9475
    @jacksonlema9475 9 ปีที่แล้ว +1

    you're so perfectly than others artist in Tanzanian don't look again back focus your goals

  • @ninabebz37
    @ninabebz37 9 ปีที่แล้ว +1

    seriously uv gone through a lot Nay wa Mitego ' just don't loose hope it shall be well inshaallah. Thanks Millard Ayo

  • @hawahamisi6237
    @hawahamisi6237 9 ปีที่แล้ว

    mmmh ney nishidaaah, ayo shkurani.

  • @hawarajabuinalilahwainaila1895
    @hawarajabuinalilahwainaila1895 4 ปีที่แล้ว

    Safi Sana ney

  • @alikiba1527
    @alikiba1527 9 ปีที่แล้ว +3

    #millard_Ayo first i thank you for the hardworking keep goin my bro,, then please nataka kumwona alikiba kwenye interview yako uongee naye kuhusu ishu ile ya ben pol uliomfanyia intervie ben pol

  • @jacksonlema9475
    @jacksonlema9475 9 ปีที่แล้ว

    ney your so perfectly than others artist in Tanzanian don't look again back focus your goals

  • @magrethmzava873
    @magrethmzava873 9 ปีที่แล้ว

    Good job #Millard Ayo nakupenda Mungu akutangulie katika kazi yako 😍

  • @naurumnazaleti6774
    @naurumnazaleti6774 6 ปีที่แล้ว +1

    kwel watu wengi wanajua ney mkorofi

  • @mamawanyumba103
    @mamawanyumba103 8 ปีที่แล้ว +1

    aawwwwch Nay pole unaujasiri

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว

    😘

  • @leticiambilinyi1708
    @leticiambilinyi1708 9 ปีที่แล้ว

    Pole ney ake ndo ukubwa huo khaaaaaaa wanawake sisi ni majanga same time

  • @babycombo2635
    @babycombo2635 9 ปีที่แล้ว +1

    haaa kula ujana

  • @swalehali6809
    @swalehali6809 9 ปีที่แล้ว

    milad ati doh

  • @assadmajaliwa2524
    @assadmajaliwa2524 9 ปีที่แล้ว

    sijutii kukusapot na kukusikiliza millard ayo

  • @elizabethmligo3180
    @elizabethmligo3180 6 ปีที่แล้ว +1

    naomba namba ya ney

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      Uwiiiiii my love ukipata naomba namm leo hiii 2022 nampenda sana Nay tena sana