MCHAMBUZI GEOFF LEA DIARRA NI BORA ZAIDI YA CAMARA/BOKA KULINGANISHWA NA SHABALALA SI SAWA NI MAPEMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2024
  • #alikamwe #azizki #mayele #hersisaid #yanga #yangaleo #yangatv #live_ #msuva #yangasc

ความคิดเห็น • 5

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Utataja Yanga na Simba siyo Simba na Yanga. Diarra siyo wa kulinganishwa na huyo Camara

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu geof kumbe ni mwanajeshi au,naskia jamaa anamwita kamanda.

  • @JohnB-ws3ib
    @JohnB-ws3ib 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jefu niginius anajua mpira mwandishi kuwa makini

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ata tff waliompa tuzo ya kipabora wa msimu uliopita matampi ukiwaambia wachague kati ya matampi na diara chagua mmoja wanachagua diara msimfananishe diara na makipa wenu

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mamelod kufungwa na Yanga siyo jambo la ajabu kikubwa ni maandalizi tu hata Mamelod hakuzuka ghafla alianza taratibu kupata umaarufu kama hatua za kiumbe yeyote katika makuzi yake hadi kupevuka