NISHER AMCHANA DIRECTOR KENNY NA HANSCANA/HATUMII AKILI YAKE NI AKILI YA DIAMOND/NI CAMERAMAN TU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 มิ.ย. 2021
- 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Sema Nisher Wakishua Sana!
Rip director ,hii interview naiangaliaga Mara nying San,nacheka mno,,,,mungu ampe kauli thabit
Nisher mshenzi sana 😁😁😁 naitwa keny saiv @KENNY
Mi ni kenny mi naweza😂😂😂😂😂
Director ni Mtu ambae anatakiwa akione kitu kabla watu awajakiona kisha anakiweka wazi kupitia video Mtu akione (vision) ndio kama hiyo iliyotokea kwa G nako wimbo director alisikiliza akaona,akaweka,watu waone na leo imekuwa iwe milele mama yoyo yoyoooo milele mama yoooooh you lock my world .. kizazi sana Nisher
Watu wanamponda ila ukweli ni kwamba music video nyingi ni utumboooo.hakuna ubunifu
Ila nisha mbna umesuka kama diamond kaka
Kasema yuko in baba levo mode
Karogwa huyu au itakuwa hana radhi za wazazi wake, njaaa mbaya sana 🤣🤣🤣 mda mwingine muwe mnatuletea watu wenye akili timamu.
Wewe humjui Nesha wala hana njaa nesha ni wakishua baba ake tajiri
Lakini hii nimeipenda inachangamsha game
Shout out kwa duwe santana na thisisaaliyaah na refresh kwa ujumla na wasafi media kwa kazi nzuri 🤝👏👏
Kenny anafata Akili za Diamond lkn Na ww Umesuka Kama Diamond 😂😂 HATERS BHNA 😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Nisher alidirect 13 ya Young killer kama movie vile
Kenny my brother ukiona adui kakushangilia ludi nyuma fikilia umekosea wap lakin ukiona adui Anakusema vibaya jua umemshinda unacho Fanya kimefikia na kuona wewe n bora kuliko niulize 2 kwa nn ww Kenny my dream team zoom extra Kenny kanjomaster grey4d dallas enok end I vote for @diamondplatnumz simba 💎💎💎💎💎💎💎
King NISHER 🏆
#Nisher tatizo lako unazarau sana, ndio mana upepo umekukata....
Una nyodo kama demu asee..
Huna lolote
rest in peace 🙏💔 kwake Ila watz mkiambiwaga ukwel mnanunaa
Nisher kama angeendelea ku direct video angekua mbali Sana Sema ndo hivyo Jamaa ametoka Familia bora dats why yupo kimya
Mbona mshamba hakuna mafanikio ya mtu yanayokuja bila usaidizi wa mtu,hata Diamond anasaidiwa ndio kafika hapo,acha wivu😂🤣
Unaweza ukasaidiwa hata wewe unaye saidiwa laxima uonyeshe juudi zako ili anaye kusaidia apate nguvu ya kuendelea kukusaidia huna juudi yoyote nani apoteze muda wake kusaidia mtu asiye jiweza hata mond kufika hapo alipo ni kujituma kwake sasa nyiye bwetekeni kwa kulalamika
Watu wenye walishaga feli kwenye gm basi hawaishiwagi kulala Mika sasa uyo nae amekuja na kumdandia Kenny achana na Kenny kufa kivyako
Unamjua nisher wew bwege
Dah na saiz n r.i.p kwel
rest in peace 🙏💔 😢kwake Ila nisher ndyo alkuwa director mkal klko awo wengne ktambo tuu alishaaanza ktoa vdeo kali
We ni mwanga sio?
Huyu anatafuta kichapo cha Gnako kiki yake inaenda mbali
Wengi hamjamuelewa huyu..ingawa nae sio director mzuri ila anaona madirector wengi hawana ubunifu na wnabebwa na wasanii
Huyu alikua director mzuri sana acha uongo
@@gendaekafilmproduction4678itakuwa alkuwa amfatillii
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dah kweli hii ni vibe ya baba levo
Kwa wenye elimu watakua wamemuelewa uyu jamaa...na sio kuongelea ushabiki tu kwenye ukweli tuambiane ukweli
Kwani Kenny anasemaje?
Hanscana hana set Sana nowdays anashoot video poa Sana Sana it's like movie
Kenny kapewa challenge ,ko kazi kwake,, Diamond ana I dea nyingi sana hta Level alishawai sema kuwa Mond ana complicate sana kwenye video mpka zinakuwa ghali sana
Mwanaume haufai kua mbea hivi mwenye wivu
Kama humuelewi Kenny ni wewe bro pambana na hali yako bro
Haha ni kweli lakini nisher videos hua nikiziona hua zinanistua sana, no one like nisher katika hii bongo...
@@qadinacci Tena Nisher ni Mboga kumi na Nane, hana Dhiki kabisaaa huyu jamaa anafanya Video production kama starehe ndio maana kazi zake ni Moto🔥🔥🔥
Kaka usimtukane KENNY pambana na hali yako !! Tunaikumbuka story yako na weusi kwny nyimbo ya AROSTO ikarudiwa Director mwingine usijikute unasahau!! Au irudiwe hatukuwepo!! 😂😂😂😂
RIP mkali wao Nisher
RIP Director Nisher
sema some how umeongea Point always location zenye reality uwa zinakua powa zaidi editing nying zinaboa na pia wasanii wa Bongo wanaigana saana location zao sijui ndo hvy madirector ni hao hao But all in all ndo utandawaz hakuna namn...BUT location zeny reality inakua Powa zaidi.
Fact man, Nisher Mnyama sana🏆
Me ni kenny
RIP GOOD DIRECTOR
Director kenny anaweza San shida wivu unakusumbua bro
naona mnaendelea kupita mulemule kwenye kudiss wcb ili mrudi mjini.kenny amekuwa mpaka wakongwe wamemgeukia.asee ogopa kufulia.
Nampenda sana Kenny lakini Nimemuelewa nisher japo anaongea nadharau lakini kuna ukweli ndani yake
Huyo kasuka kama daimond,anaonekana amelewa
Haha haha haha haha, nisher bhana umeingea point kinyama, ni kweli Mzee baba, ndio maana video zako kila Siku n zile zile yaan hamna ubunifu kabisa
Ukweli wenye wivu ndani yake 😁
r.i.p mwamba
Eti sauti imebadilika 😂😂😂😂😂
Nisher anataka kulidi Town kimtindo 😁
Huyu jama amelewa
Yeah ni kweli umegundua hilo.?
Tatizo kideo Cha nisher huwa kina kiza kiza flan watu wengi huwa hawakilewi
Uyu kalewa,mbona
Huyu jamaa ni mkundu
@@user-uk8pk5vn9b 🤣😂🤣
Ni ushauri mzuri kutoka kwa Nisher, Kama huelewi Basi wewe mbishi tu
Mimi ni Kenny🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sema Nisher ni mgomvi sana
Nisher kama Omah lay
Umeon e
R i p, jmn😢 mkaka mzur
Very true
Hakuna aliyefaulu pekeyake kwa bidii yake binafsi. Mwanadamu sio kisiwa. Ukitaka kwenda tu nenda peke yako, ukitaka kwenda mbali nenda na wenzako. Hili Nisher halifahamu naona
Keeny 🔥🔥🔥🔥🔥
Utoto mwingi sana,ukiskia mtu anatanguliza mimi kunayoshida,
Huwezi kutoboa kwakutamka wengine wamefanyaje
Kiukweli Mm Nasapoti Saana Mziki Wa WCB But Kwenye Hili Alilosema Nisher Japo Anaonekana Ana Ka Chuki Fulani Kwa Kenny ... But Kasema Ukweli Mtupu Videos Za Set Zinaboa Saaana Me Kiukweli Ma Director Wangu Bora Watabaki Kuwa Wale Wa Zaman HK Vision ,Adam Juma , Na Wengine Nimewasahau Yule Aliyengeneza Video Ya sumalee Na Noorah ,Yule Wa Video Wa Nyota Yang Na TID Nadhan (2eyes Production) ,Wa Kina Ali Remtulah Aliyetengenez video ya Nataka Kulewa Ya Chibu ,Na Hata Nisher Mwenyewe He Is The Best ..Ningekuwa Mm Ndo Chibu Ningemchukua Nisher Directly Awe Director ...Nisher Ameshawah Kuipeleka Nyimbo Ya Ben Pol-Jikubali Channelo O ... Kukiwa Technology Haijakua Wala Nn ..Poor Location But It Was 💥💥💥 ..He Is So Talented
Ommy4k Napigwa East West Na south Video zake amehangaika mwenyewe aiseee e
Una nae niwivu tu kashapotea
REMTULAH HAKU DIRECT NATAKKA KULEWA ALISIIMAMIA MAVAZI
Broh unachuk sanaa
Due kama due 🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
Hatmae Due karudi 😁
Anytime someone says the truth sijui mbona watu wanaona ni chuki mi namwelewa Sana...video mingi zinafanana tu
Sa c kila m2 na idea zake....au huna akili wewe
Hapo kwa Kenny naeza kubaliana na Nisher lakini Hanscana ni chuma, from Kenya but i rank Hanscana top
Jamaaa uyuuu tatzoo
Nice
Nilivyo ambiwa nisha nimtoto wanabiii mkuu joo dev sikuamin had nilipo sikia nabiii mkuu anahojiwa namiladi ayo akasema nimtoto wake wakumzaa
Nisher nimkali sana
NA WEWE UKASAIDIWE KWANI DHAMBI MHHHHH HADI AIBU SI KWA JEALOUS HIYO 😡
😢 mungu amrehem
ilo uno la ZUCHU ni moto 💥💥
Ety amesha kufa jamani MUNGU ilaze roho yamareem maala pema peponi🙏😔🙏
Umeishi maisha ya dhambi alafu uende peponi
UKweli ndio uo
Mimi ni Kenny, naweza. 😄 🤣 😂 😆 😄
RIP Nisher🙏
Jamaa kaongea kwel
WCB 4life
Hata wazungu pia nao wafanya video chumbani ila utafikiri jangwani kwa upunifu
Huyu jamaaa kuma sana kumbe wivu ndio unamuumiza kumbe mwenzie akipata anaumia sana
Wivu unakusumbua brooh
Duweee
Kwa kwel hizo video za maua mara mataaa ni za kiwakiiii ....... Director kenny video aliotengeneza nzr ni jeje.... Tu location safi ila hiz zingne ni uduanziiiii tuuuu
Nikweli kbsa jamaa alichoongea
Rip💔
Nachukia sana watoto wa wachungaji wanasuka kama mond mnisamehe Sanaa😂😂😂
Ugonvi nini aswa
Najua ni wachache tumeelewa
Nisher bana shooting footage za makaburini umemtapeli chali usije ukatukana mabosi zangu nikakuumbua
Eti hata kuongea hahahaaaaaaa,🤣🤣🤣🤣
Nisher Kwanini lakini umenichekesha hivi 😂😂 ndo haipo duniani😥
Mbona km hayuko sawa hivi au ndivyo alivyo
Ommy4k Anafanya Kazi mwenyewe
Hahaha uwii jmn
Uyu fala kumbe
Huna jipya
Ww unalo sibasi
Mnyamwez sana huyu jamaa
Anaongea kama #PAKA RAPA.... A.K.A #KIJUKUU
Hii inadhihirisha video vixen wanapigwa sana kwenye huko kurekodi
Lakin mnabisha nini diamond huwa anasema kabisa nishoot saa,shoot viatu ndo anavyoshut diamond ukiona mtu anaongea jambo jua kabisa kuna chembechembe ya kumjua mtu.Wewe angalia video nyingi za diamond saa na viatu lazima vionekane yani ni kweli diamond huwa ana direct video yeye.
Nisher vmchalii ya Arusha Toto ya Mfalme Geordevie
Hujui kitu tulia
Acha wivu wakike
Ndio maana hawaja pata tuzo hao ma director kumbe ni kwa ajili ya kutembea na idea ya mtu mwingine 🤔😃😃😃
Haters dont live longer
He is gone bro
But how u know this coming bro?
Kenny anajua
Ken bwana mdogo usimjibu huyo nisha mpotezee anataka kiki