Yaan zuu na zatiti wanaigiza uharisia sanaaa movie zotee hongereni nawaoenda sana Mungu awatunzeee jaman kwa ajili ya jamii na taifa letu kutuelimishaaaa 👏👏
Batuli anajifanya tajir mbona mavazi yake mabovu ata zatiti anamshinda kuvaa na kusuka pia ualisia wA kitajiri ana😂😂😂 tajir kavaa kilembaa masikin ndo kapendeza movie 😂😂😂😂😂
Kwani sibo una shida gani wewe kufika tu hata hujakaribishwa unajisemesha kama chizi kaona mkate jalalani jamani nawe kai litakukuta jambo kwa batuli na mama yako kashakuambia hivyo endelea,zatiti pole sana wala hata usilie ila kai atakukumbuka
🎉🎉jaman zatiti mungu amlinde .kila mda anamajonzi tuu .batuli amuachie kai zatiti🎉🎉🎉🎉 team zatiti like zenu bx
Huyo Kai acha amdharau Zatiti juu ya Batuli ila ipo siku atataman uwepo wa Zatiti na hatoupata
Acha tumpe muda kai ipo siku atajuta maana hataki ata kumsikiliza mama ake
Subiri kai kikirambe,😂😂😂sikitambo😂😂😂
@@PurityDida zamu yake itafika tu y machozi
Anaweza akakutana na Mr Tasha tena
Ila zatit kenye vipand kam hiv anawez san anayemkubali zatiti tump 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Anamachozi ya kutosha anaweza kujaza ndoo
@@abidandastanmaliyatabu1373 🤣🤣🤣🤣
Mwenyezi munguvawalinde wote mnaoo fuatilia my mother ❤❤❤❤❤
Amina
Ameen❤❤❤
Amen
Amiin yarrab na ww pia❤
eimeniiii
Kwakweli mtu akimuumiza zatiti natamani ningekuwa karibu nimpige nampenda sana zatiti mtaratibu mzuri mtoto wangu angekuwa mkubwa angemuowa zatiti
Apo kwa kumuowa umenifurahsha wallah😂😂😂
Asannntii😅😅😅
Nipe mm uy mwanao❤❤
Wenye tunaomba kai kimrembe mkono juu ✋ Yani anafanya Zatiti wetu akilia Sana eeh hiyo macho unakondoa utakondoa hdi kifo kumbafffff zngu 😀😀
Zatiti urembo wako nimeupenda bureee huna baya🎉❤❤❤unajua kuvaaaa unajua kupangilia mavazi❤❤
Wapi kusemaza ukweli zatiti nimzuri zatiti mauwa yako aawee nimzuri jusifu wasikidanganye wano kunganha hii nikweli hhhhh
Zatiti mbona mpofu jamani kma una saport scene ya zatiti welka like jman team felus 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Team strong in Oman
💪💪💪🇴🇲🇴🇲
Jamaan zatiti anafeli wapi 🎉🎉🎉🎉
Furusii😂
Yaan zuu na zatiti wanaigiza uharisia sanaaa movie zotee hongereni nawaoenda sana Mungu awatunzeee jaman kwa ajili ya jamii na taifa letu kutuelimishaaaa 👏👏
Wanaopenda jinsi ambavyo zatiti anamtreat mamake hebu tujuane❤❤❤
Batuli usnitesee zatiti wangu please,,kai utajuta kumpoteza zatiti batuli si mwanamke ni shetani
Basi analijuwa ilo atajuta sana
Atakuja kuwa kama chiko.huyu amtamani zatiti
Zatiti akiwa analia naumia sana jamani
@@MalkaNinik atananza kurewa ndipo atakumbuka kuwa kurikuwa mwanamuke arikuwa anamupenda kweri subiri
Wow ndo mm wapi term gulf tuendelea kujifunza
Batuli achana na zatiti sisi twaipenda sana 🎉🎉🎉🎉
Batuli Ungekuwa unajiona tena usingejaribu Kumfanyia za titi hivyo sikupendi
Sasa humpendi watu wanaigiza au unajua ni uhalisia?😅
Anaigiza jaman mwacheni dada wa watu
Daaah zatiti hongera mpaka mume wangu kaaaaaa si
Nmemuona mganga wa hause girl kumbe unasaut nzr ivi
Utakayesoma hii comment,,,uwe siku njema na mungu akupe lidhik ya alali inshalaa,,,🤲🤝🤲🤝🤲🤝🤲🤝🤲🤝🤲🤝
Ameen
Ameen na ww pia jaman
Amin kwasoteee
amen
Santi😍
Jamani mna kawiza sn my mother
Batur Sula bovu usitulizie zatiti wetu
Halafu bovu sana😢😂😂😂
Shape nd yamubeba hallo wanaume nakupenda nyashi 😂😂😂😂😂
Mr Tasha muone zatiti muwe pamoja jaman😢😢
Honger mam kwa maneno ya barak asten wazazi kwa barak zenu
Katika wasichana walio nikosha kwenye hizi muvi zatity nampenda sana ❤❤
Katika watu sipendi kuona kweny hii move ni hili et sibo 😏😏😏😏
Kiuhalisia batuli n mmbaya kama........ Na jiroho lake
Kazi nizuri sana tunawapenda wahigizaji wetu
❤❤❤❤ila kai sasa mbona jicho kwa zatiti umemuona yupo na mzee wa suti. 😂😂
Ila zatiti mrembo bhana asikwambie mtu🎉🎉🎉🎉
Ila sibo we mshenzi sana😂😂 nmecheka sana! Ati Mungu Akupe nn...muombe pepo🎉🎉🎉
😂😂😂 uumbaji mzuri kuwah kutokea kwenye uso wa dunia
@@NyagawaEmmanuel haki ya Mungu
Ni kwel hii ni movie ila kwenye maisha ni vitu ambavyo vipo kila siku ....Mungu awabariki BUSATI 🎉🎉❤❤
Zatiti anaekupenda pendana nae😂❤❤❤
vp itakuaje hali ya Kai kumuona zatiti akiwa na mpenzi aliemchumbia na kumkatalia .tunaofatila busati Busati TV
Ila sibo wewe unachekesha sana ushapata maokoto
😂😂 maokoto muhimu
Zatiti nakupenda sanaa jmn❤❤❤
Jamani wangapi hawampendi batuli
Jamani mapenzi yanauma hasa pale umpende mtu asie kupenda daah inauma mno pole kipenzi changu zatit
Ila kai ipo siku utamkumbuka zatiti wetu
tatizo batuli unaforce na sura yako kama kona ya sitingroom😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤nawapenda
Jaman mapenzi mapenzi acha tu
Zatiti wew Liya tu siku moja mungu hatakuregesha kai🎉🎉🎉🎉pokeya basi mauwa hacha kulia, mwanamuke sie mutu wa kulia ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Move on zatiti..muache Khai atakujakutafuta mwenyew na machoz kwa juu ..move on mamaa
Zatiti kubali ombi LA huyo mwashi,na Kai hujakodoa macho vizuri😂😂😂
Batuli ww unajichosha bure haupendezi hata kwani ilogauni naicho kitamba ulifunga kichwani njo vyakuogerea 😂😂😂
Nawapenda sana ❤❤❤
Lkn kai anampendaa zatiti❤❤
Batuli bado nipo nawewe badilisha ilo kava la simu ndugu😂😂
Jaman muache kuigana misuko mnanikera jaman waigizaji
Mnapenda zatiti akiwa analia Kila wakati 😭Mungu awalinde wote watakao andika Amina 🙏🙏
Batuli anajifanya tajir mbona mavazi yake mabovu ata zatiti anamshinda kuvaa na kusuka pia ualisia wA kitajiri ana😂😂😂 tajir kavaa kilembaa masikin ndo kapendeza movie 😂😂😂😂😂
Umeniwahi kwakweli😅
Ila Kai anaenjoy na batul jaman kama kweli vile, Kai anataman hii movie isiishe kabisa😂😂😂😂
Naomba kwenye hii movie zatiti alipwe tofauti na nawengine kwasababu mnamliza sana 😢😢
jamani zatiti pole sana
Kweli Kai kipifu mama Yako alikuwa sahihi kukwambia ww kipofu na upo na kipofu
Zatit❤❤ hun bay dad
Wanaume kama sibo wapo wengi sana mtaan kwanza mia hawana anadanga ndio apate hela ya kuhonga😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Nimekutana nae kama hiyoo nilivomwona sibo nikahic ni yeye mpaka nikaogopa
Ila sibo me napenda unavyo munyoosha candy😂😂
😂😂
Jaman chiko tinamuombea mam dua atapona kua n Amani Kila kitu kitakua saw
Huyu sido mbona kama ndotabia yake😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢
😂😂😂😂 kuigiza bhana
Kai unanikera kweli hufanani kabisa nahali hii kamwe😭😭😭😭😭
Batuli anamaringo nanyumba anayoishi nikama chooo 😂😂😂😂
Sibo na ww umenishinda tabiya
😂😂
Ila jamnii uwiih nishawah kutana na jinaume kama siboo Yani !!!!Yan happy alipokuwa anaongea na sibo kama namuona Yan mpaka nimeogopa🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 Sibo na huyo mwanaume wa jamaa ako tupo vizuri 😂
@@NyagawaEmmanuel khaaaah ila wanaume mna viti vyenu mbinguni asee🤣🙄🙄
Wow Leo ngonde katisha kumbe n mtanashati vile😂😂
Zatiti nimeipenda hiyo 🎉 🎉 ❤ nn ss khai unatumbua mimacho😂😂😂😂😂
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
😢😢😢😢😢😢Jamani zatiti zatiti zatiti utalia mpka lini Woooiiiiiii pole lkn ni mapenzi hayo
Pole kpnz zatiti🎉🎉🎉
Yani batuli ndo angekua nitajir kweli mhmhmh uyu anaroho mby sana mungu msaidie zatiti wetu kila kona yey niuzuni tuu jmn
Ina maana chiko alimtoa mamake Kafara ili awe tajiri nambari moja duniani,maana c kwakutimuliwa huko😂😂..nawafuatilia kutoka 254
Next harry jmn imeishia patammmm
😂😂😂huyu sibo umalaya siyo mtu mzuri
Bt mm naomba mwendelee kutuletea mapema na mapera❤❤❤❤
Hivi Chiko sio ndio kamroga mama yake kweli ila anaogopa kusema ukweli
Eti batul kaenda kumpa Kai gold wakat yeye anatumia infinix
Zatiti sipendi kuona unalia wewe nimwanamuke mzuri sana hupaswi kulia hivo
Nampenda Sana zatiti sipendi ulie
Hawezi kunizidi
Makofi mengi kwa busati jamani chikoo ananichekeshaa😂😂😂😂
Yani sibo unahongwa pesa na yoland na wew unakuj kuhong ten jaman
😂😂😂
Umalaya tu kulewa mwanae aah😂😂
Batuli mungu akulani kwa kumliza zatiti
Kai naona kikikulamba hivi karibu bt utakumbuka zatiti na utapata ameolewa kuingine
Mapenzi Si PESA mapenzi nihisiya 😅😅
Kwani sibo una shida gani wewe kufika tu hata hujakaribishwa unajisemesha kama chizi kaona mkate jalalani jamani nawe kai litakukuta jambo kwa batuli na mama yako kashakuambia hivyo endelea,zatiti pole sana wala hata usilie ila kai atakukumbuka
Siboooo dah 😂😂😂😂tausi sibo
Baturi haendani na kitengo hicho alicho wekwa.
Yan sibo rahm akikufuma wew utajut
😂😂😂
Me leo sibo ndio kanichekeshe mzhenzi zake huyu😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Kumbe uyu sibo ni tapeli maneno mengi kufanya kz ahaa😂
😂😂😂😂
Khai na Batuli mkome kumtesa Zatiti wetu
Mbona imeanziya hpo ilipo ishiya sipo imeishiya kina candy n mpenzi wk
Endelea kujifanya unqpendwa na kai batuli utakuja kulia isivyo kawaida na zatiti atakufanyia hivyo hivyo unavyomfanyia wewe na batuli
Ama kwel wambaya hawaj
ijui batuli hajijui
Mnamfanya zatiti kila siku analia mm sipendi
Unashangaa nn.kai muache zatiti nae.ale.bata😂
We batuli kuzimie ni ndogo kufaa 😂😂
Himv mwanzo niliachakuifatilia lakini now amazing
jamani kizur hakikosi kasoro batuli shepu unayo lakin sura hamna maringo mingi tu
Sibo wew nikabila gani
We batuli unaurembo gani wakumzidi zatiti jamani 😅😅
Nice movie ❤❤❤❤
Mimi namchukia uyu batuli anatabia mbay
Yani kumbe kai bado wampenda zatiti umemuona macho yamekutoka