BABA MZAZI wa FREDY KILUSWA ASIMULIA ALIVYOSHUHUDIA MWANAYE AKIAGA DUNIA HOSPITALINI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @MajidOthman-g5s
    @MajidOthman-g5s หลายเดือนก่อน

    Pole sana mzeee umefanana sana na marehemu

  • @kamarhelo
    @kamarhelo หลายเดือนก่อน +1

    Daa wanaume mna mioyo bwana baba kauzu kabisa sijui mama alisha zima mara ngapi subhannallah

    • @MikidadiSalim-xk9dc
      @MikidadiSalim-xk9dc หลายเดือนก่อน

      Kamarhelo..ukauzu wa mzee hapo upo wp??naomba kukuuliza kumbe inamaana mtu mwenye uchungu nimpaka atoe machozi alie?? Wafiwa poleni sn na msiba wa mpendwa wetu Fred..sisi wote ni wa Mungu nakwake ndio marejeo yetu....😢

  • @MonikaNjoolay
    @MonikaNjoolay หลายเดือนก่อน

    Poleni sana baba

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji หลายเดือนก่อน +4

    Manshallah kafanana sanaa baba ake

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 หลายเดือนก่อน

      Mmh utakuwa hujamuona mama yake wewe, ni copyright

  • @FrankOsward-r2o
    @FrankOsward-r2o หลายเดือนก่อน +1

    Polen ndugu wafiwa

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 หลายเดือนก่อน

    Pole baba kwa msiba😢

  • @Magreth-f2j
    @Magreth-f2j หลายเดือนก่อน +4

    Jamani mzazi mwenzangu umetuumiza sn kwa kilichokutokea mloganzila hiyo hosp inatuua mama yet Samia ebu itazame hiyo hosp c huyu mzee tu ni wengi waliopeleka wagonjwa wao pale malalamiko ni hayo tu wahudumu hawajali wagonjwa.

    • @menalikechildren8836
      @menalikechildren8836 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabisa dada mm pia hilo linanishangaza, Mloganzila wengi wanaoingia wanatoka maiti

    • @mrmindboom2058
      @mrmindboom2058 หลายเดือนก่อน

      Kumbuka ili uingie mloganzira ujue imeshindikana kwenye hospitali za kawaida Wagonjwa wanaopelekwa hapo huwa Mara nyingi wako kwenye hali tete kwahyo uwezekano wa kufa ni 50/50

    • @bhokesaid3264
      @bhokesaid3264 หลายเดือนก่อน

      Shida sio 50/50 shida mgonjwa akiwa katika hali hiyo ndio asipewe ​ treatment nzuri?@@mrmindboom2058

    • @ariphkimani3790
      @ariphkimani3790 หลายเดือนก่อน

      Hospitali nyingine hawafi?

    • @milkahappyphanus8823
      @milkahappyphanus8823 หลายเดือนก่อน

      ​@@menalikechildren8836hiyo hosp wanaoingia huko asilimia kubwa ni watu wakubwa wenye pesa zao na majina yao ndy maana mnaona km watu wanakufa sana hapo lkn hata hiyo hosp nyingine tunazoingia watu wa kawaida watu wanakufa sana jmn ni sababu tu hawana umaarufu

  • @HiltrudaIlomo
    @HiltrudaIlomo หลายเดือนก่อน

    hapana jamani baba ni huyuhuyu kwenye exclusive zote labda kabadilisha nguo

  • @VanessaMwandu
    @VanessaMwandu หลายเดือนก่อน

    Masikini kwaiyo kabakiza 2 jaman 😭😭😭

  • @user-xk5we1iz6c
    @user-xk5we1iz6c หลายเดือนก่อน

    Jamani mbona wasanii wa tz,vifo vya haraka,pressure, 😢ghafla tuu wote wanakufa,tunawaombea wtz jmn vifo vimefatiliza mno kwadza kwa wasaniii😢

  • @AnithaMutalemwa
    @AnithaMutalemwa หลายเดือนก่อน

    Jmn Ata mm nilimuona baba mwingine adi nimecheka

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 หลายเดือนก่อน +1

    Ni vyema kuangalia afya mapema kila mwaka walal High blood pressure ni silent killer

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 หลายเดือนก่อน +3

    Mloganzila inaua sana hili lifikishwe kwa wahusika

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢😢una uhakika ndug yngu

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 หลายเดือนก่อน

      Siku ikifika hàkuna namna

    • @ariphkimani3790
      @ariphkimani3790 หลายเดือนก่อน

      Hospitali nyingine hawafi wagonjwa?

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th หลายเดือนก่อน +2

    baba mbona hueleweki mara moyo mara strock

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n หลายเดือนก่อน +4

      Sasa huelewi nin km hvyo vyote vinashabihiana??unafahamu strock inatokana na nin??hyo alikuwa anasumbukiwa na moyo,moyo inapelekea presha na strock ndyo inatokea hapo

    • @kabulapatrick2765
      @kabulapatrick2765 หลายเดือนก่อน +2

      Haelewek nn? Baba msomi kbx anajua nn anaeleza we sema ujawai kufiwa ndg ndo maana unasema

    • @ariphkimani3790
      @ariphkimani3790 หลายเดือนก่อน

      @@LindaMbilinyi-n3n Kwanza ni stroke sio strock

  • @AishaSalaga-rv7sb
    @AishaSalaga-rv7sb หลายเดือนก่อน

    Kwani ana baba wangapi?jana niliona baba mwengine

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji หลายเดือนก่อน +2

      Mtoto anamama mmoja baba ni wengi chukua hiyo kama akiba😅kwan hata sura huzion dear

    • @joslinchuwa1298
      @joslinchuwa1298 หลายเดือนก่อน

      Ni huyu my dear

    • @joslinchuwa1298
      @joslinchuwa1298 หลายเดือนก่อน

      Hapa kavaa suti

    • @joslinchuwa1298
      @joslinchuwa1298 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza maongezi ya jana na leo yanafanana

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n หลายเดือนก่อน +1

      Hta baba wadogo ni baba acha kukurupuka,huoni hta kafanana nae sanaa