Asante sana kwa somo hili! Hizi ni sentensi zangu i) Kaka yangu ni mrefu kuliko mimi. 2) Kitanda hiki ni kizuri kuliko kile 3) Mwanafunzi huyu ni mdogo kuliko wote. 4) Kitabu hiki ni kibaya zaidi ya kitabu chako. 5) Ni zaidi ya mwalimu. 6) Yeye anaandika stori kushinda wote. 6) Mwanariadha huyu ni mrefu kushinda Yule. 7) Nyinyi ni wapole kushinda wao. 8) Sisi tulikuwa warembo kupita nyinyi. 9) Mwalimu ni mzuri kupita wote. Je, unaweza kunipa mfano na neno ‘bora’? Asante sana!
Hi all! Did you enjoy this video? If so, please leave us a comment, like, subscribe and share. Also, download the transcript and audio, read the subtitles with the help of a pop-up dictionary and stats while watching the video, all for free at Language Crush: languagecrush.com/reading/course/1853