NIMEANGALIA KWENYE KITABU CHA IBN TAYMIYYAH UKURASA HUO ULIYO UTAJA 295. اقتضاء الصراط المستقيم SIJAONA MANENO HAYO ULIYO YADAI .. NIAMBIE HAYO MANENO YAKO WAP ? ENYI MAWAHABI
Unaonekana una kilema cha elimu, hebu soma utapata ushahidi kutoka kwa mtume na sahaba zake wakisoma kwa kupiga makundi na kupeana zawadi. Allah hasamehi majahili.
Mashindano ya quran ni bidaaa hili mbona mnalitetea pia kuigawa tawheed ni bidaaa ovu kabisa katika akida lakin hamsemi hiii inaonesha jinsi mlivyo na chuki dhidi ya watu fulani lakin akina Al imamu suyyuti hamjawsikia wanavyoyasema vizur maulidi
Unaonekana una kilema cha elimu. Hebu soma utapata ushahidi kutoka kwa mtume na sahaba zake wakisoma kwa kupiga makundi na kupeana zawadi. Abu jahal yuko motoni sababu ya mabishano baada ya kudhihiri haqqi.
@@thefoodshaikh811 huenda naww ukawa miongoni mwa akina abuu jahal lete uwo ushahid wakuthibiti mashindano ya quran na uwe katika mtindo mnaofanya nyinyi
@@thefoodshaikh811 lete izo dalili tuone kama sio naww utakuwa kilema ulipitukia mipaka na utuambie wakt wa mtume na maswahba nani na nani walikuwa majaji wa mashindano hayo na nani alikuwa akipanga mshndi wakwanza anapewa zawad fulan wapil had watatu alaf wengine wooote wameshindwa nasubiri dalili
ALLAH amuhifadhi SHEIKH ABUU KHAWLAH
Allah amhifadhi abuu khawlah
Aaaamin
Hehehheheheehheheheheheheehhehe umaarufu umepoteza dini wallah
Wazushi wakumsingizia Allah na mtume wamezowea kuzua.
Kama nawaona wakikata viuno hapo
MAWAHABI NI VICHAA KABISA
NIMEANGALIA KWENYE KITABU CHA IBN TAYMIYYAH UKURASA HUO ULIYO UTAJA 295. اقتضاء الصراط المستقيم SIJAONA MANENO HAYO ULIYO YADAI ..
NIAMBIE HAYO MANENO YAKO WAP ? ENYI MAWAHABI
Alaf kutokufanya maswahaba jambo sio hoja ya kielimu, tuambie wapi maswahaba wemekusanyana wakaweka majaji na zawad kisha wakawashindanisha watu kusoma quran?
Unaonekana una kilema cha elimu, hebu soma utapata ushahidi kutoka kwa mtume na sahaba zake wakisoma kwa kupiga makundi na kupeana zawadi. Allah hasamehi majahili.
Mashindano ya quran ni bidaaa hili mbona mnalitetea pia kuigawa tawheed ni bidaaa ovu kabisa katika akida lakin hamsemi hiii inaonesha jinsi mlivyo na chuki dhidi ya watu fulani lakin akina Al imamu suyyuti hamjawsikia wanavyoyasema vizur maulidi
Unaonekana una kilema cha elimu. Hebu soma utapata ushahidi kutoka kwa mtume na sahaba zake wakisoma kwa kupiga makundi na kupeana zawadi. Abu jahal yuko motoni sababu ya mabishano baada ya kudhihiri haqqi.
@@thefoodshaikh811 huenda naww ukawa miongoni mwa akina abuu jahal lete uwo ushahid wakuthibiti mashindano ya quran na uwe katika mtindo mnaofanya nyinyi
@@thefoodshaikh811 lete izo dalili tuone kama sio naww utakuwa kilema ulipitukia mipaka na utuambie wakt wa mtume na maswahba nani na nani walikuwa majaji wa mashindano hayo na nani alikuwa akipanga mshndi wakwanza anapewa zawad fulan wapil had watatu alaf wengine wooote wameshindwa nasubiri dalili
@@thefoodshaikh811 ukijibu hilo tutaingia katka bidaa ya kuigawa tawheed
Majibu ya mashindano ya Quran, th-cam.com/video/kAWlvNVOBAw/w-d-xo.htmlsi=L7bu76S451j6TeNm
Wewe hebu jaribu kuandika angalau uchambuzi wa haditj moja uwe na kitabu chako ndio tutajua wewe unajua ila kukaa kukosoa maulama ni ujinga
Neenda ukalime tafuta halaali Haramiya wewe. unawafundisha ugaidi wananchi. gaidi mkuba weye.