Tunutu Nzige Parare Madumadu_Pastor Helatano | Mwanza Meetings 🇹🇿

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 62

  • @clevershukrani7847
    @clevershukrani7847 ปีที่แล้ว +3

    ❤❤❤❤❤Amina Amina, Mungu anazidi kujifunua kwetu Sisi Watoto wake kupitia Watumishi wake….🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @waaminio
      @waaminio  ปีที่แล้ว +1

      🙌🙌

  • @SolomonKariuki-l4e
    @SolomonKariuki-l4e 7 หลายเดือนก่อน +1

    The voice of God today is in the tape we are in the ministry of the son of man

    • @petermichael1862
      @petermichael1862 6 หลายเดือนก่อน

      What about Five Fold Ministry that Brother Branham taught us about, a bride must both listen to tapes and keep her spiritual ears to Five Fold Ministries...
      I am saying this because Satan brought a doctrine of listening to tapes only, that is 100% SATANIC

  • @MagrethKalelwa
    @MagrethKalelwa 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha malefu chungaji wetu hakika tuna Mungu wote asante Mungu kwaajili ya mchungaji Heratano❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nabalikiwa kwakweliii

    • @waaminio
      @waaminio  5 หลายเดือนก่อน

      🙌🙏

  • @ZipporahSuleyman
    @ZipporahSuleyman 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen

    • @waaminio
      @waaminio  5 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

  • @EliyahRobert-us3mx
    @EliyahRobert-us3mx 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikwe pastor songa mbele shalom

    • @waaminio
      @waaminio  11 หลายเดือนก่อน

      🙌🙏

  • @WestonSinkonde-x2s
    @WestonSinkonde-x2s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu wa Branham

    • @waaminio
      @waaminio  2 หลายเดือนก่อน +1

      Amen bless you bro 🙏

  • @JacintaMaiyu-ed2mh
    @JacintaMaiyu-ed2mh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen. Capstone faith ministry

    • @waaminio
      @waaminio  3 หลายเดือนก่อน +1

      Amen 🙌

  • @JacintaMaiyu-ed2mh
    @JacintaMaiyu-ed2mh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen. Pastor Ela

    • @waaminio
      @waaminio  3 หลายเดือนก่อน +1

      Amen 🙌

  • @eunicenjambi4329
    @eunicenjambi4329 ปีที่แล้ว +1

    To the choosen one,this is totally the truth.he is one of the true five fold ministry,nimemusikiza na anaongea neno.God bless you and kip shining for the lord pastor.

  • @JacintaMaiyu-ed2mh
    @JacintaMaiyu-ed2mh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Victory ⭐️ 🙏🏻 🕊

    • @waaminio
      @waaminio  3 หลายเดือนก่อน +1

      🙌

  • @imanikiza
    @imanikiza 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏

    • @waaminio
      @waaminio  11 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @JacintaMaiyu-ed2mh
    @JacintaMaiyu-ed2mh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shalom ✝️

    • @waaminio
      @waaminio  3 หลายเดือนก่อน +1

      🙌

  • @gracemuthoni6466
    @gracemuthoni6466 ปีที่แล้ว +3

    ALLELUIA.AMEN

  • @JacintaMaiyu-ed2mh
    @JacintaMaiyu-ed2mh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Only believe all things are possible 🙏🏻 ✨️

    • @waaminio
      @waaminio  3 หลายเดือนก่อน +1

      Amen 🙌

  • @CatchtheVision107
    @CatchtheVision107 ปีที่แล้ว +1

    Bibi-Arusi
    Hayo anayo hubiri mpendwa Helatano na ushuhuda wake wote. Ni juu yake na Mungu na Ndugu Branham hausiki na chochote. Kama hawa press and Play ni uhamuzi wao na Mungu. Bali Bibi-arusi anaijua Sauti ya Ujumbe.

  • @SolomonKariuki-l4e
    @SolomonKariuki-l4e 7 หลายเดือนก่อน +1

    God has one way to reveal himself that is by his vidicated prophet pastors are voted in by laity to preach whatever they want

    • @waaminio
      @waaminio  7 หลายเดือนก่อน +1

      Ok

  • @OliverAndrew-ob1vn
    @OliverAndrew-ob1vn ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @JacintaMaiyu-ed2mh
    @JacintaMaiyu-ed2mh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Joel 1-4 ☆

    • @waaminio
      @waaminio  3 หลายเดือนก่อน +1

      🙌 🙌

  • @FrankMwananjela
    @FrankMwananjela ปีที่แล้ว

    Amen amen amen

  • @CatchtheVision107
    @CatchtheVision107 ปีที่แล้ว +1

    52 Sasa, unaona, wakishika vyetezo, moto ukioka harufu nzuri mbele za Mungu, na mikono hiyo ikishika hivyo, hata hivyo wakaangamia wakiwa na vyetezo hivyo mikononi mwao, kwa sababu walikuwa wakijaribu kufanya jambo fulani kwa uaminifu, hata hivyo, ni kinyume cha Neno la Mungu, wakijaribu kuunda madhehebu. Kasema, “Unajiinua sana. Wewe ni nani kusema una Neno lote la Mungu?”
    53 Walishindwa kuona ya kwamba Musa alikuwa ni m-mjumbe wa saa hiyo. Unaona, alikuwa na BWANA ASEMA HIVI. Hapakuwapo na mtu duniani kama yeye. Alikuwa na Ujumbe, na watu walikosa kuona jambo Hilo. Naye Musa alikuwa na BWANA ASEMA HIVI hasa. Hakika. Vema.
    62-1111E - "Kwa Nini Ninachukia Dini za Kimadhehebu"
    Rev. William Marrion Branham

  • @JacintaMaiyu-ed2mh
    @JacintaMaiyu-ed2mh 3 หลายเดือนก่อน +1

    🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊

    • @waaminio
      @waaminio  3 หลายเดือนก่อน +1

      🙌 🙌

  • @kimkimk-fe6td
    @kimkimk-fe6td 11 หลายเดือนก่อน

    Kawadanganya huyo anastahili kuzaliwa mara ya pili kwanza kabla ya kwanda mimbarani. Samahani Sina ubaya ila nilile nimeona na kusikia hayako sawa na ujumbe wa mwisho.

  • @athumanmpagama6259
    @athumanmpagama6259 ปีที่แล้ว +1

    Wandugu ni wakati wa kupress pray mbona bado mko kwenye kuhubiriana

    • @lucasjoseph3126
      @lucasjoseph3126 ปีที่แล้ว

      Mnaichukuwa vibaya mpendwa

    • @athumanmpagama6259
      @athumanmpagama6259 ปีที่แล้ว

      @@lucasjoseph3126 maana kusikiliza kanda za ndugu W.Brahnam ndio mapenzi makamilifu ya mungu au baada ya hayo kuhubiriana ndio mnapress pray

    • @athumanmpagama6259
      @athumanmpagama6259 ปีที่แล้ว

      Soma hii barua kutoka kwa ndugu JOSEPH BRAHNAM
      *TAI WANAKUSANYIKA PAMOJA*! Tarehe 09/09/2023. Jumamosi.
      Mpendwa Bibi-arusi wa Kanda,
      Ni siku ya namna gani tunayoishi! Ni wakati mkuu jinsi gani! Zile siri, mafumbo, yote yanayofunuliwa kwetu kila siku. Hatuoni tu yale ambayo tumeyapita, tunajua ile saa hasa tunayoishi na yale hasa yaliyo mbele.
      Tunaambiwa mstari kwa mstari kile kitakachotokea. Yeye anatuambia waziwazi sisi ni nani, ni akina nani watakaokuwapo kule, na hata kile tutakachofanya. Wale Wayahudi 144,000, lile kanisa lililotakaswa kwa Dhiki, watenda kazi katika mashamba ya mizabibu ambao watakaoleta heshima na utukufu wao katika mji ule.
      Lakini basi anatuambia huyo hatakuwa wewe…loo la, wewe ni Bibi-arusi Wangu, uko pamoja Nami katika Mji ule. Wewe hutakuwa huko nje ukifanya kazi katika mashamba ya mizabibu, wewe ni kipenzi changu. Wewe u Malkia Wangu pamoja Nami, Mfalme wako. Ninyi ndio wale moja ya mia ya hao moja kwa tano niliyowachagua kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu. Nimepatengeneza Mahali hapa KWA AJILI YENU TU...NA JINSI TU MNAVYOLIPENDA.
      Kuwazia tu, tunakusanyika kuizunguka Meza yake anapozungumza nasi wiki baada ya wiki, siku baada ya siku, saa baada ya saa, akitufunulia Neno Lake lote la ajabu. Yeye anatuambia tena na tena sisi ni nani; jinsi gani Yeye anavyotupenda; kile kilichokuwa, kile kilicho sasa, na kile kitakachotukia.
      Hakuna maneno ya kuelezea jinsi inavyomaanisha kwetu, ama jinsi tunavyojisikia wakati tunapomsikia Yeye akituambia mambo haya. Wakati Tunapobonyeza Play na kuisikia Sauti hiyo, tunaondoka katika ulimwengu huu na mara moja tunaketi katika ulimwengu wa Roho pamoja Naye. Nafsi zetu zinafarijiwa. Tunajisikia Roho Mtakatifu akijaza utu wetu wote kwa Roho Wake. Ni furaha isiyoweza kuelezeka. Mungu anazungumza NASI. Kila Neno lililonenwa kwenye kanda hizo, Yeye alinena kwa ajili yetu. Yeye anajua hasa kile ambacho tungehitaji kusikia na wakati ambao tuliyohitaji kulisikia… na mara nyingi tunahitaji kulisikia tena na tena…. na kila wakati HUFURIKA NAFSI ZETU.
      Sisi hatuchoki kumsikia yeye akituambia kuhusu Maono, Ndoto, Bwana Asema Hivi, ng'ambo ya pazia, akituona sisi tumevaa nguo ndefu nyeupe, Mvuto wa Tatu, kuwaumba kindi, Ule Upanga wa Mungu uliyoenea mkononi mwake barabara, chakula kilichohifadhiwa, akiwa amewekwa mbele ya Meza, Ngurumo, Malaika wenye nguvu wakija na kumtwaa juu, yule malaika wa saba wakipekee aliyemaanisha kitu cha zaidi kwake, ishara ya milele ya vilele saba vya milima vinavyoendeleza herufi BRANHAM, semeni tu hasa yale yaliyo kwenye kanda hizo, ninayo Maneno ya kutoweza kukosea, Yeye ameitiwa wito wa juu zaidi, nitawaambia UFUNUO WANGU, Mimi ni Sauti ya Mungu kwenu, shikilieni kabisa hayo mafundisho ya kanda, nitawaita BIBI-ARUSI, aiko, iyo, dafuta... sisi tunayapenda YOTE.
      Hili ndilo ono langu. Sauti ya Mungu iliyo kwenye kanda ndio Mapenzi makamilifu ya Mungu, MWISHO WA MANENO. Kuzicheza kanda ndio Mapenzi makamilifu ya Mungu, MWISHO WA MANENO. Wewe unaweza kuwasikia wahubiri, waalimu, mitume, manabii, wachungaji, LAKINI kanda ndizo, na zinatakiwa kuwa, Sauti iliyo muhimu sana unayotakiwa kuisikia, MWISHO WA MANENO. Sauti iliyo kwenye kanda ndio Sauti pekee ambayo Mungu Mwenyewe aliyosema, MSIKIENI YEYE, MWISHO WA MANENO.
      Ndugu na dada zangu, simpingi mtu ye yote, Mimi niko kwa ajili ya Sauti hiyo tu. Inatupasa, na mimi, nawapenda wote wanaotangaza kwamba wanapenda na kuamini Ujumbe huu. Hata kama mnajisikia kwamba ninawaambia watu vibaya kuwaambia kubonyeza play, Ninawapenda na ninaamini mnanipenda. Sote tunataka kuwa katika Mapenzi yake Makamilifu. Tafadhali endelea kufanya yale Mungu aliyokuitia kufanya; hubiri, fundisha, kuwa mchungaji, wewe liambie tu kundi lako ni Sauti gani iliyo muhimu sana wanayotakiwa kuisikia.
      Ni Sauti hiyo tu iliyo kwenye kanda isemayo jambo lile lile KILA WAKATI. Haibadiliki kamwe. Bibi-arusi anaweza TU KUSEMA AMINA kwa kila Neno lililo kwenye kanda, lakini Bibi-arusi hawezi kusema AMINA kwa kila neno ambalo mwanadamu ye yote asemalo, MWISHO WA MANENO.
      Kama huamini jambo hilo, wewe si Bibi-arusi. Ikiwa unaamini jambo hilo, basi hutakuwa na shida kuwaambia kundi lako kwamba kuzisikiliza kanda ndiyo Sauti iliyo muhimu zaidi wanayotakiwa kuisikia.
      Kwa Mimi kutoa kauli hizi nimesikia kutoka kwa wahudumu wengi tofauti ambao wanasema kwamba ninawaambia watu wasiwasikilize wachungaji wao na kuyaacha makanisa yao, HIYO SI KWELI. Siwezi kusema jambo hilo na siamini jambo hilo.
      Ni kweli wengi wanasema mambo ambayo sijawahi kamwe kusema, wala kuamini. Siwezi kuwajibishwa kwa ajili yao, lakini tu kwa yale niliyosema na yale ninayoamini. Nimezungumza waziwazi na kuyaweka katika mfumo wa barua yale ninayoamini. Wao / ninyi mnapindisha kwa manufaa yenu yale ninayosema /na ninayomaanisha.
      Bibi-arusi wote watakuwa wakisema jambo lile lile. Hakuna watu wawili wasemao jambo lile lile. Sauti Moja. Nabii mmoja. Bibi-arusi Mmoja.
      Mimi Siamini kwamba yakubidi kuusikia Ujumbe kwa wakati mmoja kabisa, kama wanavyofanya waamini wengi ulimwenguni kote, ili uwe Bibi-arusi Wake, lakini Naamini unapaswa kuisikia Sauti ya malaika-mjumbe wa saba Jumapili asubuhi…ipe hiyo sauti nafasi ya KWANZA.
      Unaalikwa kusikiliza pamoja nasi: *_Muhuri wa Saba 63-0324E_*, Jumapili saa 06:00 SITA MCHANA, saa za Jeffersonville, ( _ni saa 1:00 MOJA JIONI ya Afrika Mashariki_) Wakati sehemu ya Bibi-arusi kutoka kote ulimwenguni watakaposikia Sauti hiyo kwa wakati mmoja kabisa.
      Ndugu. Joseph Branham

    • @lucasjoseph3126
      @lucasjoseph3126 ปีที่แล้ว

      ​​@@athumanmpagama6259mpendwa Jambo la kusikiza kanda halikatazi kuhubiri, kuhubiriana tu: hakufai kusikia kanda tu hakufai kitu; Kanda aiwezi kumbatiza mtu, kwa maji Kanda aiwezi kumfungisha mtu ndoa, mpendwa mpendwa Kanda aiwezi kukutawaza miguu mpendwa ,
      Lakini Ni vyote vikienda pamoja ili watu wasitoke kwenye ono la Nabii

  • @micahgathuri8192
    @micahgathuri8192 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @Shimi-zv2es
    @Shimi-zv2es ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @PhilemonBasso
    @PhilemonBasso ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @pennymuthui2999
    @pennymuthui2999 11 หลายเดือนก่อน

    Amina

    • @waaminio
      @waaminio  11 หลายเดือนก่อน

      Amina