God bless those uploading MUSA IDI's gospel online..... I'm getting revived..... I Was missing these teachings so much and did not know how to get it.....
Jamani hili neno kutoonyeka ni mbaya jamani.Bibilia inasema chukulianeni na neno la onyo,hata kama una mali ngapi! kubali kuonyeka hata na mtoto mdogo,unaenda wapi?usiende,huko usiende,kaa Kwanza, tulia kwanza, subiri kwanza.Huyu mtu anatii maonyo.Haya heshima itakuja kwako kama ni kuolewa! (utaenda mji ambao hungeenda!)×2 maana umeonyeka.Na nyinyi ambao hamkuonyeka,leo! una mwanamume hata hakusikii!hata ni mnyama mwenyewe,hata ukamwambia shida zako,wengine hata mmekata tamaa,unajishughulikia mwenyewe,kusomesha wanao'ni kama mume aliaga dunia na yuko humu analewa tu! na ni mwizi mwizi tuu maana ulikuwa huonyeki. Ukaenda kwa mtu kwa nguvu zako na akili zako.Lakini wanaoonyeka wataheshimiwa!
Nice man of God 🙌 nitamkumbuka kwa mazuri maneno yake
God bless those uploading MUSA IDI's gospel online..... I'm getting revived..... I Was missing these teachings so much and did not know how to get it.....
I don't get tired watching this,may our evangelist continue resting
Amen mungu wa mama mwanzilishi atukuzwe
Wonderful message. Lala salama mzee.
A very powerful message from the great man of God.=
KeepupinGod
Mungu Ni mkuu hiyo injili imenikumbusha mbali
Great message. Am blessed for sure.
Wonderiful message ,may God bless his church
Amen Amen nimebarikiwa
who still watch this in 2022
Rest in peace man of God..I wish ningekujua kabla hujafa mahubiri changed my life
The great man of God Rev. Musa Iddi
Neno la mungu tamu sana
always inspired with mrfpc
Shukran
Am blessed 🙏🙏
Good trial
keep it up
nyimbo hii ilivuma sana na bado yavuma....Mungu wa mama awabariki
ujumbe umenijenga....Mungu wa Mama Mwanzilishi aniajalie nisizifwate njia za mataifa
Neno la kweli...Amina
Amen
Amen
congratulations
The massage lives on.
Ujumbe hai
amen
Mungu atufungulie kulisikia na kulitendea kazi neno lake
Jamani hili neno kutoonyeka ni mbaya jamani.Bibilia inasema chukulianeni na neno la onyo,hata kama una mali ngapi! kubali kuonyeka hata na mtoto mdogo,unaenda wapi?usiende,huko usiende,kaa Kwanza, tulia kwanza, subiri kwanza.Huyu mtu anatii maonyo.Haya heshima itakuja kwako kama ni kuolewa! (utaenda mji ambao hungeenda!)×2 maana umeonyeka.Na nyinyi ambao hamkuonyeka,leo! una mwanamume hata hakusikii!hata ni mnyama mwenyewe,hata ukamwambia shida zako,wengine hata mmekata tamaa,unajishughulikia mwenyewe,kusomesha wanao'ni kama mume aliaga dunia na yuko humu analewa tu! na ni mwizi mwizi tuu maana ulikuwa huonyeki. Ukaenda kwa mtu kwa nguvu zako na akili zako.Lakini wanaoonyeka wataheshimiwa!
admin kindly naomba utuekee haya mahubiri
Very true. Tuwe watu wa kuonyeka
Ameen
Wema wa Mungu wa Mwanzilishi, ndiyo umetuweka huru. Jina lake litukuzwe milee yote.
Good trial
keep it up
Amen
Kubarikiwa kabisa