ULIMI 1A/ JACKLINE WOLPER/FRAK MWIKONGI/MBOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • ULIMI 1A/ JACKLINE WOLPER/FRAK MWIKONGI/MBOTO

ความคิดเห็น • 105

  • @zainabumaulidi1030
    @zainabumaulidi1030 3 หลายเดือนก่อน +7

    Shokamoo mapenz😂😂😂😂 sasaivi simuamini kiumbe kama mwanaume😢 2024 km unatizama gonga👍

  • @MwanaidiMatary-cp2rf
    @MwanaidiMatary-cp2rf 4 หลายเดือนก่อน +3

    Haki mimi movie akichezaga wolper ni 🔥🔥🔥🔥💯💯💯 na wamekutana dada jack na mboto kopo na mfuniko 🥰🥰🥰🥰nawapenda Bure haki ila mmefanya movie imekua 🔥🔥so poa 👏👏👏

  • @user-hx1ny1me7x
    @user-hx1ny1me7x 4 หลายเดือนก่อน +17

    Unachukua gar yangu nilionunua kwa pesa zangu,wewe kama nani daah wanawake tutafute magar yetu tuepuke na dharau kama hizi wallah😢😢😢

    • @user-jk2ov7qs3k
      @user-jk2ov7qs3k 4 หลายเดือนก่อน

      We bro fala sana wewe

    • @KelvinWaturi
      @KelvinWaturi 3 หลายเดือนก่อน

      N kweli ukiwa n vyako lazima uheshimike, nko hapa Nairobi Kenya

  • @Asma-m1j
    @Asma-m1j หลายเดือนก่อน

    Waigizaji wa mwaka 2000 wengi wamechuja ila frenki na visent bado wapo bomba

  • @subbyraibrahimu250
    @subbyraibrahimu250 4 หลายเดือนก่อน +3

    ila nyie wolper kiboko kanikoshaaa bigup sanaa😆😆😆👏👏

  • @user-gg8kt2jm5y
    @user-gg8kt2jm5y 4 หลายเดือนก่อน +5

    C kupaona tu ata kuckia kuna mbinguni wanaume ilo mlitoe akilini mwenu😮😮😢

  • @kevy254
    @kevy254 8 หลายเดือนก่อน +2

    So beautiful jacky, nawapata vizuri nikiwa Kenya Nairobi ❤❤❤

    • @NoorEesa
      @NoorEesa 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kenya Mombasa ❤❤❤

    • @kevy254
      @kevy254 4 หลายเดือนก่อน

      Mmmh ❤❤❤

  • @zeynabuhussen8740
    @zeynabuhussen8740 4 หลายเดือนก่อน +2

    haki ya mungu wanaume sijui wanatakaga nn yaan mkeo mzur kuliko ata uyo mchepuko mm nikija kuolewa na nikafanyiwa ivi sijui nitakuwaje wallah🥺😭😭

    • @LucyRafeali
      @LucyRafeali 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wapo wanaume wa hivi wengine sanaaa

    • @JuniorMahamoudkyabila
      @JuniorMahamoudkyabila 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😅😅

  • @AdejaAhmad-uq4wj
    @AdejaAhmad-uq4wj 3 หลายเดือนก่อน

    Nice move hongereni sana ❤❤❤nawapenda

  • @MamaAbdul-c5i
    @MamaAbdul-c5i 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂🤣😂🤣😂🤣😂 wanaumeeeeee 🙌🙌🙌

  • @PacifiqueNiyonkuru-p1l
    @PacifiqueNiyonkuru-p1l 4 หลายเดือนก่อน +2

    Uyujama Franck nikiwembe kabisa 😂😂😂😂😂😂😂

    • @LucyRafeali
      @LucyRafeali 4 หลายเดือนก่อน

      Mi Nawapenda wote

  • @mwanadieshehe9969
    @mwanadieshehe9969 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni ❤ from Kenya

  • @RehemaChande
    @RehemaChande 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaume ni watu wajabu sana awaridhiki hataaaa uwape nn

  • @IdrissaBalqis
    @IdrissaBalqis 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waume Shida kbs kwa Ku cheat ndo tusiseme😂😂😂

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wueeeeeeeeeee kweli watu hutoka mbali, chidi huyo wolper 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 หลายเดือนก่อน

    Muvimzuli

  • @Florence-hd2sj
    @Florence-hd2sj 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaume mbinguni mko na moto wenu😢😢

  • @JoyceNasumaye
    @JoyceNasumaye 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa wanaume si wakuani

  • @aishaaisha7097
    @aishaaisha7097 4 หลายเดือนก่อน +1

    Awo ndio wanamume

  • @RizikiShee-j2w
    @RizikiShee-j2w 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hakuna mwanaume anatosheka na mwanamke mmoja tusidanganyane ladies 😢😢Ata umpatie nn atatoka tu😂😂😂

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 4 หลายเดือนก่อน

      Kbs

    • @RajabuHayyan
      @RajabuHayyan 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sijui lile gonga limepakwa nin halishibi 😅😅😅

    • @PrettyMasha-cs8iv
      @PrettyMasha-cs8iv 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@RajabuHayyan😂😢

    • @EsherHashim
      @EsherHashim 4 หลายเดือนก่อน

      @@RajabuHayyan 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @DicksonKimoso-ds4xw
      @DicksonKimoso-ds4xw 4 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli

  • @fatmaabdallah-sg1rk
    @fatmaabdallah-sg1rk 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmhhhh wanaume bwana

  • @SuzanDithenya
    @SuzanDithenya 4 หลายเดือนก่อน

    Ni hatariiiii ogopaaaah😂😂😂😂

  • @chunaamina878
    @chunaamina878 3 หลายเดือนก่อน

    Hao ndio wanaume baba yao mmoja Ila mama tofauti

  • @user-rk7wo2df8c
    @user-rk7wo2df8c 3 หลายเดือนก่อน

    Pole dada ndio maisha ya ndoa

  • @rachaelmwamlanda7616
    @rachaelmwamlanda7616 4 หลายเดือนก่อน

    Big up Wolper😮😮

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 หลายเดือนก่อน +2

    WOLPA MUACHENI KAMA ALIVYO,,UYO JINI

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume wahongo sana

    • @JujuJuma-b5u
      @JujuJuma-b5u 3 หลายเดือนก่อน

      Tena kama utamsikia mtu hanasema wanaume wakweli mtie kofi uyo mtu

  • @ModesterSeverin-rq5uo
    @ModesterSeverin-rq5uo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yan mijanaume sijui ipoje ata ungeipa nn hailiziki yan sijui imeumbwaje

    • @RajabuHayyan
      @RajabuHayyan 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅ndio maan lile dude lipo wima muda wote

    • @Mwanamisihamisi-ys4wn
      @Mwanamisihamisi-ys4wn 4 หลายเดือนก่อน

      Mammy umecomment na asira kweli kweli 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @JuniorMahamoudkyabila
      @JuniorMahamoudkyabila 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Mwanamisihamisi-ys4wn😂😂😂😂😂😂😂🎉❤❤😂😂😂

  • @Channelque890
    @Channelque890 4 หลายเดือนก่อน +1

    Niache nifanye kazi yangu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @user-jf9pt8bu5j
    @user-jf9pt8bu5j 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 wanaume aki

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 3 หลายเดือนก่อน

    Anajua kuchaga karata zake nyoooo

  • @FrankPetro-wb2qn
    @FrankPetro-wb2qn 4 หลายเดือนก่อน

    Nice 👍 movie

  • @JujuJuma-b5u
    @JujuJuma-b5u 3 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kugundua kama wanaume sio wazima mkewe nyumbani mzur kule nje sasa mh😅😅😅 viumbe mmbwa kweli awa

  • @azizachungu4002
    @azizachungu4002 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wanawake tukutane jioni tuna kikao cha dharura 😂

  • @QuenDidah
    @QuenDidah 4 หลายเดือนก่อน

    Tonyyy😂😂😂❤❤❤hongera yko

  • @VicentSadick
    @VicentSadick 4 หลายเดือนก่อน

    Hahahahahah et sauti Iko tumboni ni kisima asee umetishaa. Tonny.

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mboto😂😂😂😂😂😂

  • @FrancisWilliam-l4n
    @FrancisWilliam-l4n 4 หลายเดือนก่อน

    Wanaume hoyeeeee

    • @JuniorMahamoudkyabila
      @JuniorMahamoudkyabila 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂umbea uwo sasa dhu aisé 😂😂😂😂😂

  • @evalyinesalama2535
    @evalyinesalama2535 4 หลายเดือนก่อน

    Good job ❤❤❤

  • @KamamFestoo-kb5jc
    @KamamFestoo-kb5jc 4 หลายเดือนก่อน

    Vile mm nasikia kuna mbinguni....wanaume mjue,,,hamtawai sikia😢😢😢😢

  • @Rukia-g2l
    @Rukia-g2l 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanaume siyo wa kumuamin

    • @AbelFrancis-ww7cb
      @AbelFrancis-ww7cb 4 หลายเดือนก่อน

      Namwanamke je😂😂😂

    • @munadifyonza809
      @munadifyonza809 4 หลายเดือนก่อน

      Hila usimuoneshe kuwa umuamini

    • @JuniorMahamoudkyabila
      @JuniorMahamoudkyabila 4 หลายเดือนก่อน

      ​@AbelFrancis😂😂😂😂😂❤❤😂😂😂-ww7cb

  • @user-by8wd2fy9r
    @user-by8wd2fy9r 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu wangu ndo tabia zake za videm nabaki kumcheka tuu wala cjali😂😂😂

    • @fatmamrihani6828
      @fatmamrihani6828 3 หลายเดือนก่อน

      Kama ujari mshaur sana atumie Kinga utaletewa Magonjwa nilishuhudia mdada akipewa ukimwi na mume wake

  • @RashidRashid-lh6xs
    @RashidRashid-lh6xs 4 หลายเดือนก่อน

    Hongeleniiii

  • @AbelFrancis-ww7cb
    @AbelFrancis-ww7cb 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wenye wivu wanachiti kinom

  • @sentsent1484
    @sentsent1484 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aliye msaliti Yesu ni mwanaume je wewe uwe nani usisalitiwe na wanao comment sana kwa hii movie ni wanawake Aya twendeni nalo😂😂

  • @HamisNkindwa
    @HamisNkindwa 3 หลายเดือนก่อน

    Wanaume ni sungura wa mchongo

  • @user-nb3tp4it5l
    @user-nb3tp4it5l 4 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wabaya

  • @TeclaFesto
    @TeclaFesto 3 หลายเดือนก่อน

    Iv mapenzi kama hay bado yap jaman duuuu

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 3 หลายเดือนก่อน

    Tenaaa

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 4 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤

  • @davinaadam7896
    @davinaadam7896 4 หลายเดือนก่อน +1

    mboto🤣

  • @ancillarneema
    @ancillarneema 8 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wote mbinguni mtapaskia tu😂😂😂😂

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 4 หลายเดือนก่อน

    Et wee ni mtata na kwenye utata umepita wima wee ni matatieshen😂😂😂

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un 4 หลายเดือนก่อน

    Wanaume mbinguni mtapaskia 😢

  • @nginambilu5045
    @nginambilu5045 3 หลายเดือนก่อน

    Nitakutafuta😢

  • @لويسلويس-ص6ر
    @لويسلويس-ص6ر 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂jman huy derev na story zke za saut inatoka kwenye kisima tumbon

  • @fahidashishi255
    @fahidashishi255 4 หลายเดือนก่อน

    Joman freak yuko wap

  • @MariarafaelHalisi
    @MariarafaelHalisi 3 หลายเดือนก่อน

    Mume anauma jamani
    27:59

  • @hadijahkarine4658
    @hadijahkarine4658 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤😊

  • @fatmaabdallah-sg1rk
    @fatmaabdallah-sg1rk 3 หลายเดือนก่อน

    Hili ni tatizo kubwa ambalo lipo ktk ndowa sijui nini hii jamani

  • @RamlaTumbaNitschke
    @RamlaTumbaNitschke 4 หลายเดือนก่อน

    wanaume Magumegume😅

  • @magrethkapala726
    @magrethkapala726 4 หลายเดือนก่อน

    ngome ya kifo

  • @FrancisWilliam-l4n
    @FrancisWilliam-l4n 4 หลายเดือนก่อน

    Mwanaume sifa kuwa na mchepuko

    • @JuniorMahamoudkyabila
      @JuniorMahamoudkyabila 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😅😅😮😮😅😅😅😊😊😊

  • @munabalushi2964
    @munabalushi2964 4 หลายเดือนก่อน

    Wanawake tutafuteni hela

    • @JuniorMahamoudkyabila
      @JuniorMahamoudkyabila 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 aisé 😂😂 kwanini mwatu jukia Jamani 🤷😂😂😂

  • @hafsaaman908
    @hafsaaman908 4 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢😂😂😂😂😂

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 4 หลายเดือนก่อน

    😂Mboto😂😂😂😂

  • @NaziaMudi
    @NaziaMudi หลายเดือนก่อน

    Wasoma comment msinikanyagee

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 4 หลายเดือนก่อน

    Si huyu bwana ndiye ali swear in the name of jesus!! Hato cheat???

    • @TeclaFesto
      @TeclaFesto 3 หลายเดือนก่อน

      Laan inamtafun kwa hil jin alilo apia

  • @nasrahassan2260
    @nasrahassan2260 8 หลายเดือนก่อน

    Good job❤❤❤