Amina Amina Amina mtumishi ubarikiwe sana kwa Neno. Asante kwa kusimama katika kweli ya Kristo inayosaidia na kuwafungua wengi. Usiangalie matusi wala maneno watakayo kutupia wanadamu bali mtazama Kristo Yesu pekee.
Mwinjilist hakika kwangu umekuwa ni role model wangu tangu mwaka 2014 licha ya yote yaliyokupata hapa katikati bado sikuyumba finally nakuona tena ukiendelea kuushika mwenge wa moto kuhakikisha nuru ya injili inataradadi.
Mungu atusaidie tuepukane na kiburi cha uzima. Lkn pia kuna wakati kumbe Mungu anaweza akaacha kumwinua mtu kutokana na tabia hizi za akina hawa malimbukeni wa utajiri. Mungu akikubariki basi jitahidi kuwa humble. Lkn mara nyingi watu ambao wanapata Mali kwa njia ya giza dalili yao kubwa ni kujikweza na kujionyesha mtaani wanapokuwa na hela, lkn nyuma ya pazia wanapitia wakati mgumu sana pamoja na hela zote wanazokuwa nazo. Kwa kifupi hao ni watu wa kuwaonea huruma ila watu hawajui.
Natena mimi nimefuatilia hakusema eti yeye ni Yesu Alitumia neno huenda neno huwenda nikwamba ni kitu ambacho hakina uhakika please twambie mambo mengine Ahsante
YESU hafananishwi YESU halinganishwi na chochote ukisema Ni kitu ambacho hakina uhakika wakati yeye alisema namnukuu YESU alisema anakuja lakini lini hatujui naweza nikawa ndo Mimi, kwa hiyo anatuaminisha kwamba yeye anaweza akawa Ni YESU kwa sababu ya Mambo yake ya kipepo anajiona ana nguvu Kama za YESU msipelekwe kuzimu huku mkiwa mnaona shetani yupo kazini msikilize vizuri Tena kwa makini😢😢
Huyo kijana ahana hela ila ni wakala wa ibilisi aliye mtuma hapo TZ ili ateke wengine,kuna matajiri ambao awasemaki hivyo,huyo ni ibilisi aliye tumwa katika inchi ya tanzania
Subhanallah wabihamdih subhanallah llaadhiim ❤❤❤
Daah kaka nashukulu Sana maan Kuna mda nakaa nafikilia kuhu utajili Ila nimejifunza kityu kutoka kwako
Asante nimejifunza mtumishi
Amina Amina Amina mtumishi ubarikiwe sana kwa Neno. Asante kwa kusimama katika kweli ya Kristo inayosaidia na kuwafungua wengi.
Usiangalie matusi wala maneno watakayo kutupia wanadamu bali mtazama Kristo Yesu pekee.
😍😍😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏aamen
mungu atusaidie sana
Mwinjilist hakika kwangu umekuwa ni role model wangu tangu mwaka 2014 licha ya yote yaliyokupata hapa katikati bado sikuyumba finally nakuona tena ukiendelea kuushika mwenge wa moto kuhakikisha nuru ya injili inataradadi.
Ubarike mtumish wa mungu endelea kutoa neno watu wamgeukie Mungu
Mungu atusaidie tuepukane na kiburi cha uzima. Lkn pia kuna wakati kumbe Mungu anaweza akaacha kumwinua mtu kutokana na tabia hizi za akina hawa malimbukeni wa utajiri. Mungu akikubariki basi jitahidi kuwa humble. Lkn mara nyingi watu ambao wanapata Mali kwa njia ya giza dalili yao kubwa ni kujikweza na kujionyesha mtaani wanapokuwa na hela, lkn nyuma ya pazia wanapitia wakati mgumu sana pamoja na hela zote wanazokuwa nazo. Kwa kifupi hao ni watu wa kuwaonea huruma ila watu hawajui.
Mizeee Wew mwemyew nomwenye Zambi kwani mukutengeneza kanisa hakuna zingine kanisa zilikuwepo mbona huku abudu kwamakanisa Aliyekuwepo uka amuwa kutengeneza kanisa lako wew mwenyew huja okoka
Natena mimi nimefuatilia hakusema eti yeye ni Yesu
Alitumia neno huenda neno huwenda nikwamba ni kitu ambacho hakina uhakika please twambie mambo mengine Ahsante
YESU hafananishwi YESU halinganishwi na chochote ukisema Ni kitu ambacho hakina uhakika wakati yeye alisema namnukuu YESU alisema anakuja lakini lini hatujui naweza nikawa ndo Mimi, kwa hiyo anatuaminisha kwamba yeye anaweza akawa Ni YESU kwa sababu ya Mambo yake ya kipepo anajiona ana nguvu Kama za YESU msipelekwe kuzimu huku mkiwa mnaona shetani yupo kazini msikilize vizuri Tena kwa makini😢😢
Pole sana mtumishi acha kuhangaika na chief godlove siyo saiziyako endelea tu kuhubir injiri tuku changie sadaka
Acha ujinga , huyo Ni mtumishi Wa mungu, kuonya,kufundisha Na kushauli
Ni sehemu ya kazi yake bila kujali hadhi ya mtu
Fata cha kwako
mtumishi ukweli usemwe
Mtumishi wa mungu Cassian siku zote unaongeaga ukweli hakika hio ndio injili tunayohimisi kwa Sasa Cha manabii feki
Aamen utukufu kwa Bwana
Hana hela, Ni uongo wake
Hao watu wadanganyifu mweee jamani tuwe makini
Tunahisi mwanao amelipia kafara zako
Huyo kijana ahana hela ila ni wakala wa ibilisi aliye mtuma hapo TZ ili ateke wengine,kuna matajiri ambao awasemaki hivyo,huyo ni ibilisi aliye tumwa katika inchi ya tanzania
Hana hela
Tuonyeshe na ww unavyo wasaidia wasio jiweza ili tujue unapesa
❤🎉
kwani wewe unaongelea kila kitu kama dudu baya mna nini nyie lakini kwani wewe ni mhubiri au motivator
Kipindi yuko anasaidia yatima na wajane mbona hamujasema leo hii ameongea Yesu mumesimama acheni maneno ya kuungaunga
Yatima gani ambaye aliwasahidia kama unawajuwa wataje kwanza
🫢🫢🫢🫢
😍😍❤
Mtumishi uko sahihi sana maana jicho la tatu ni 666 yaani pembe tatu