Maalim ningependa kuuliza kwa mwenye kujua,je swala hii huswaliwa vp kama ile ya safar ama inakuaje,na jee mvua ikikata saa nane na huku umeshaswali kwa pamoja wkti wa dhuhri je unaweza kuswali alasir au ndio basi,maana kikwazo ilikua nvua na imemalixa
Zaswaliwa bila kupunguzwa, yaanza ilotangulia, kisha Iqaama, kisha yasimama ingine. Ikitokea mvua imekata kabla ya muda wa swala ingine, ndo imeshaswaliwa, hakuna kuirudia (kwa ufahamu wangu kidogo na ambavyo tumekuwa tukiswali wakati wa majira ya mvua (masika).)
Jazzakallahu khayra
Mashallah tabaaraka rahman njoo Tanzania shekhe
Masjid iko Tanzania wapi?
Jazakallah kheir
MaashAllah shk duktur Islam kwa ilmu
مطرنا بفضل الله و برزق الله
Jazakallah khair
ALLAHU BAARIK 🤲
Maalim ningependa kuuliza kwa mwenye kujua,je swala hii huswaliwa vp kama ile ya safar ama inakuaje,na jee mvua ikikata saa nane na huku umeshaswali kwa pamoja wkti wa dhuhri je unaweza kuswali alasir au ndio basi,maana kikwazo ilikua nvua na imemalixa
Zaswaliwa bila kupunguzwa, yaanza ilotangulia, kisha Iqaama, kisha yasimama ingine. Ikitokea mvua imekata kabla ya muda wa swala ingine, ndo imeshaswaliwa, hakuna kuirudia (kwa ufahamu wangu kidogo na ambavyo tumekuwa tukiswali wakati wa majira ya mvua (masika).)
@@tawakalally9074 ahsant ya sheikh