mda mrefu Dj mafuvu hukuwa kwenye media there is a lot of things a changed so unaitaji kusikiriza radio Na TV kuangalia ilikujua watoto kwa sasa wanafanya nini coz hiki sasa sikizazi chako sina maana kimekupita hapana unaitaji kucop nacho ili uone wanataka nini alafu kizazi hiki hakiujui kabisa nyimbo zakizazi chako mzee nitafute 0713363634 nikupe ushauri zaidi naili ucop unaitajikujishusha kusikiliza opinions Za watu I hope in feature u ll be nice Dj to us
#zer0 mzee ume uwa i wish nnge kuwa TZ walai wte mnge kuwa down
kwa hapa Zero kaamsha zaidi😀😀, but still Mafuvu ni the best DJ in tz
Shikamoo DJ zero moto wako hakuna wakuuzma shikamoo tena hahahaha km loteee hv alaaah
Zero ulibidi upige kitu kipya Rara coz ulijua ni hit itapendwa but FUVU huyu ni Mwalimu.but wote🔥🔥🔥
Achana na watu wenye hasita na kazi
Mafuvu umeotewa 😂😂😂😂
Playlist imemuangusha mafuvu ila anajua sanaaaa huyo jamaaaa
Ziro alimfundisha mafuvu u dj ila mafuvu anajua na ziro anakili
Mashabik wenyewe hawaelewek..... Kwa Zero shangwe.... Kwa mafuvu shangwe😊
Dj zerooo unajua mix ila kwenye scratch huyo mafuuvuuu baba yaooooo..hata kuingizaaaa nyimbo na kuitoaaa yukoo on fire mafuvuuuu kama woteee
Yeah wewe unajua sana japo napata shida kujua nowaldays ubora wa dj uko katika nini hasa maana tech imeniaca kando
Baba sio kweli ume tupiga apo
Zerooo huuu unyanyasaji WA kivibe aseeee
Fuvu kakosea kuchagua ngoma
Dj zero noma sana
umedhalilika mafuvu aiseee
ngoma za zaman zinaamsha sana
Zero nakukubali sana uckose mwanza mwanza
Hahahaaaaa Mafuvu Chali...... Zero kiboko
Mpaka hapo zero kachelewa sana Dj unaanza kuongea maneno badala ya kuscratch huyo zero mtoto Mdogo sana
It song ndy zinambeba ziro lkn mafuvu mkali
jamani mafuvu namkubali sana
Mafuvu kaplay za zaman sana wakati fans wengi hapo ni kizaz hikiiii cha ankooo
Ili kumuelewa zero inabidi utulize ushabiki na uwaze kwa jicho la tatu!
Fuvu iz baddest
#Halafu inaonekana kulikuwa na mbinu chafu za Zero
Dah Zero kamfunika Mafuvu
Zero mnyama nyiinyiii....hee
Wote wakali, salute cloudz
Zero nouma
mafuvu umeniangusha sio kinyonge show love atakama tumeanguka
Fuvu baby ze biggest hip hop Dj in bongo
Zero is the best
Mm huwa namkubali fuvu ila kwa hapa zirooo kaumiza to be honest
zero mtu mbad kbsaaa oyoo kama mie viwisseee
ziroo nomaaa
hapa mafuvu kakaaa mzeee.....yani hapo chaliii kama Corne McGregor😂😂😂😂😂
Zigidii ni zerooo vibe kama loteee
Mafuvu number one
Zero you the best dj
mleteni summer tz muokote mizoga wenu
Fuvu mwanzo mwisho
.vibe kama lote mafuzu kiboko
Good mwana
Fuvuuu nomaaa tuuu...
DJ zero🙌🙌🙌
Acheni kumringanisha zero na vitu vya ajabu
Zero, ni 🔥 🔥
mafuvu ka kaaaaaaa
dj zero umuwezi mafuvu ata uplekwe marekan
Kweli bobu
Fuvu nyoko mazee
Leo.....
Wanao Mjua mafuvu tunajua sio mtu wa sport. Sport
fuvu anajua anacho kifanya ata alivyo anza kupiga unajua kabalisa kuwa jamaa ana vitu simu
Ziro kafunika kama kote
xanaaa djs
Tecnically Zero rudi shule mafuvu sio level yako
huyu zero sio wa kawaida
Fuvu noma huwez kumxhindanixha na zero
mda mrefu Dj mafuvu hukuwa kwenye media there is a lot of things a changed so unaitaji kusikiriza radio Na TV kuangalia ilikujua watoto kwa sasa wanafanya nini coz hiki sasa sikizazi chako sina maana kimekupita hapana unaitaji kucop nacho ili uone wanataka nini alafu kizazi hiki hakiujui kabisa nyimbo zakizazi chako mzee nitafute 0713363634 nikupe ushauri zaidi
naili ucop unaitajikujishusha kusikiliza opinions Za watu I hope in feature u ll be nice Dj to us
Fuvu ata ukitoa boko tupo pa1 hapa ni Fuvu tu
Mwenye vibe ni 0000000
adam amempa zero support ila zero hamuwezi mafvu milele
Kumbe na ww umeona. Fuvu habari nyingine sema zero anaskika sana redioni ndo maana hajabamba kivile pia fuvu kaanza na ngoma iliopoa sana
Zero 👏👏
Mafuvu ni Mkali sana ila ziro ananyota.... Pia na namna ya ufikishaji wa ngoma umemuangusha mafuvu so mi shabiki wa mafuvu ila heshima iende kwa ziro
Zero ndio nini hvyo kumfanyia fuvu jaman vibaya umeamua kumpga tatu bila
Mafuvuuu mkaliii sanaaaa
zero nomaaaa
Mimi no ni dj rich b nataka. bato nadj zero
zero kapata 100
ziro
hapa Mafuvu kakalishwa japo mimi shabiki yake
Hpoo katsha dj zero kwakweli
Only djs can understand y Dj zero won ......
Zeroooo mnyamaaaaa
Fuvu noma
Kwa apa zero kamfunika mafuvu
Zigidi zeroooooo
DJ Mafuvu mkaliii
Ziroo mashine kama mm
fuvu mi mdao wako mkubwa lakni u need to pull up brother maana ni hatari
fuvuuuuu🔥🔥🔥
DJ mafuvu ni nomaa
mafuvu,,,, we mic you.
Zerooo🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Zerooo DE danger
Fuvu konyo sana
Zeeeerooo
Dj zeroooo
Then mafuvu nae akakimbilia naija kumbe kachelew zeroo kashateka kijiji
ziroo umetisha hahaaaaaaaaa
Zero zeroooooo
Wasoma comment akili zenu ni Zero..... Jamaa aa kauwaaa mafuvu yako pelekaaa kwenu makale na mkeo💀 😡😡
mafuvu on fire
kiduara atari
Dj zero kawasha
mafuvuuuu aisee
Mchomvu alivutia home
Zero katisha
zeerooooo kauwaa
Fuvu baby jambazi sharobalo
Hahahahaaa sufuri hatareee
zero danger
zero peleka kwa watoto wa shule
Fuvu mtu mbaya %99
Zero umeua kmmke
ila fuvu hatar bhana si umechek alivyo Dance na raia
mbona mafuvu Ana baniwa
fuvu balaa miakaaa