[07.07.2024] KONGAMANO KUBWA LA KUFUNGUA NJIA SABA ZILIZOFUNGWA KWENYE MAISHA YAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • 07.07. 2024
    Tufatilie mubashara - Mkesha wa makuhani wa YESU KRISTO MUNGU Mkuu aliye Nuru Halisi ndani ya madhabau ya ngome ya YESU KRISTO.
    Tufuatilie Live JEHOVA JIRE TV kwenye King'amuzi cha Azam Channel 006 Upande wa Other Channels na kwenye Startimes Antenna 445 pia TH-cam channel.
    #livestream #matendomakuu #mezayamakuhani #kuhanimusa #matendomakuu gospel #jesus #god #bible #love #christian #faith #church #o #jesuschrist #worship #music #gospelmusic #christ #prayer #christianity #deus #holyspirit #godisgood #bibleverse #pray #hope #blessed #truth #grace #scripture #amen #believe #biblestudy #praise
  • ภาพยนตร์และแอนิเมชัน

ความคิดเห็น • 9

  • @HamidaFrancis-f6c
    @HamidaFrancis-f6c 3 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na ibada ya leo tarehe 7 mwezi wa 7 kumwomba Yesu kufungua baraka zangu na familia yangu.pia kuwateketeza watu wote waliofunga baraka zangu na familia yangu kuazia leo baraka 7 zifunguliwe na madhaifu 7 kutoka familia yangu yafungwe kwa jina la Yesu.Aminaaaa

  • @penwelinatimothy9057
    @penwelinatimothy9057 4 วันที่ผ่านมา

    Ameen papaa,God bless you,you're full of energy. Kama alivyo kuhani,ndivyo na watu wake watakavyo kuwa. ❤❤❤

  • @UpendoDaniel-ts7wp
    @UpendoDaniel-ts7wp 2 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha mm na uzao wangu katika IBADA ya Leo ee mungu wa Nuru halisi angaza na kwetu🙏🙏🙏

  • @InjeeAa-vd4ez
    @InjeeAa-vd4ez 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙌🙌

  • @PendoMpoma
    @PendoMpoma 2 หลายเดือนก่อน

    Najiunga na ibadani Leo🙏🙏🙏

  • @PhilemonPaulo
    @PhilemonPaulo 3 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na ibada ya leo kutoka spring fellowship kimara temboni

  • @MariaYohana-m5k
    @MariaYohana-m5k 2 หลายเดือนก่อน

    Najiuganisha na Ibadan yaleo tarehe 7 na mwezi 7

  • @PendoMpoma
    @PendoMpoma 2 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na ibadani leo

  • @PendoMpoma
    @PendoMpoma 2 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na ibadani leo