@JamilaJumanne-u7q kila kitu alah akbar, lugha ya waarabu iyo acha utumwa. Mukiongea kwa kiarabu ndo mnahisi mmeabudu kumbe mmeongea. Si useme tu Mungu Mkubwa dada ake. Mmerithisha dini mpaka lugha, aah kwakweli waislam wamepatikana.
Kipindi Hicho Mazinge akiwa Mpigania Dini kweli kweli ila kwa sasa ni Mpigania Tumbo.. Inshaallah Allah atamuongoza na atarudi katika njia sahihi.. Allahummaamin.
@@rayisadesigns2646 Wewe ukijua itakusaidia nini.. Halafu Dini haitaki Waislamu wanafiki huo ni ukweli kwa hiyo huu ujumbe wangu ukionekana huenda ikawa ni sehemu ya yeye kubadilika.. Sio kwa ubaya na ndomaana tunafundishwa kusema ukweli hata kama wenye kuumiza..Inshaallah.
@@SadamSarita-t7z Dini yetu ya Uislam haitaki Waislamu wanafiki huo ni ukweli kwa hiyo huu ujumbe wangu ukionekana huenda ikawa ni sehemu ya yeye kubadilika.. Sio kwa ubaya na ndomaana tunafundishwa kusema ukweli hata kama wenye kuumiza..Inshaallah
@JoramAljabry-bo3bd wivu tu mumeo a sikukuu ya christmass ni kubw duniani kuliko sikukuu yenu ya idd mnayo budu mwezi ndipo mmeona mlete chochochoko n vita dhidi ya ukiristo dini ya Mungu wa kweli Jehova muumba mbingu na ardhi
Imani yenyewe ya kikrosto inatafautiana kuhusu yesu maana yake kua kuna ukweli umefichwa kuhusu yesu Wengine wanasema ni mungu mwenyewe Wengine ni mwana WA mungu Wengine ni mtume WA mungu Wengine ni mungu Kwa umbile la kibinadamu Ila ukweli yesu ni mtume WA Allah na alizaliwa Kwa neno lililotoka Kwa Allah Kwa miugiza kutoka Kwa Maryam bikira na alipewa injili
Imani isiyo wahusu achaneni nayo mnapoteza muda wenu bure kufatilia imani ya ukiristo isiyo wahusu hebu igeni wakristo walivyo smart wana akili na wanajitambua wanazimama na imani yao tu hukuti mKiristo m hungaji au Padre wanahangaika kujadili imani ya uislamu isiyo mhusu mana ndivyo walivyo agiza na kiongozi wao yesu kristo kwamba mpende adui yako km nafsi yako waislamu ni maadui wa ukiristo lkn wakristo wanawapenda hivyo hivyo kutokana na maagizo ya kiongozi wao yesu kristo
Amewapata wa kuwadanganya maamuma wapo kimya, jua kua id ni neno la kialabu linamanisha sikukuu kwa iyo sikukuu gan maana sikuu kwenye biblia zipo nying pasaka,vibanda,kutabaluki, kuwen na maalifa nyinyi
Wewe Bado ni mtumwa wa dini siku ukijitambuwa huu ujinga utacha... Unapiga kelele Kwa dini zenye zililetwa.. wakati wenye walileta hizo dini wanapigana na kuwanaa kweli wafrika sisi Bado ni watumwa
@hemedmbondejr we umejuaje kama kitabu changu kina kataa kama sio umbea unakusumbua unaacha kuhangaikia ya kitabu chako kinacho ruhusu kufuga majini na kufilana kama wanavyo filana makka unakuja kuangalia kasoro za kitabu changu wakati kitabu chako cha quran kina kasoro nyingi ndomana kinatumiwa mpk na waganga wa kienyeji kuagulia.. jibu swali huko makka mnaendaga kufanya nini na kwanini mnavuaga nguo zote mnabaki mnavaa Sanda na kwanini msali kwa kutumia lugha ya kiarabu kwani Mungu wenu hasikiagi kiswahili? na kwanini mnaposali mnaelekeza vichwa vyenu uarabuni na kwa nini mtumie mavazi ya asili ya kiislamu kanzu na majuba kama sio kuabudu mila na tamaduni za kiarabu bila kujijua
Ni kweli kusherehekea krismas ni makosa na ndio maana kwenye Biblia haipo. Wapo wakristo wengi hawasherehekei Krismas kwa vile hawaioni kwenye Biblia hiyo tarehe 25/12. Ila waislamu wana makosa ambayo yako kwenye quran na hadith za Muhamad wao. Mwislam kumwonyesha makosa mkristo ni sawa na mvuta bangi kumkosoa mvuta sigara. Ni kweli sigara si nzuri kwa afya, ila anaekosoa ana makosa makubwa mno kuliko hiyo sigara
Kwataarifa yenu warabu walio Waletea dini ya uislamu huko uarabuni kwao wanaritadi mamia kwa mamia kuingia kwenye ukiristo na katika nchi zinazo ongoza kusherehekea christmass ni nchi za kiarabu halafu nyie huku na makanzu yenu mmekazana kuichukia sikukuu kubwa christmas ambayo warabu wenyewe waliwaletea uislamu wanasherehekea
Ulifanya kusoma Kwa quran lakin wenye walileta hicho kitabu Afrika ni kina nani., wewe Bado ni slavery tu, wenye walileta hizo dini wanapigana sisi wafrika kelele i@@FunnyJumpingSpider-bz9dr
Sisi hatuhangaiki na siku, hakuna tarehe inayoeleza yesu alizaliwa lini, kikubwa tunaadhimisha kuzaliwa kwa mwokozi wetu. Tunaweza kuadhimisha tarehe yoyote
Umejibu kwa logic,jambo ambalo linawashinda wachungaji wengi.wengi hung'ang'ana kasisitiza kuwa ndiyo tarehe ya kuzaliwa Yesu.lakini we umejibu kwa mantiki.nakupa kongole
Sasa mazenge mbona awali ulikuwa unapigania dini ya Allah vizuri...iweje kipindi hichi unashikana na Firdausi kijana mshirikina ... kutafuta pesa mbovu .,...Rudi kama awali Masha Allah.. Allah atusamee sote allahuma ameen 🤲
Mbona nyie waislamumnaenda kutalii makka kwwnye arkaba ambayo walikuwa wakienda wapagani kuhiji na nyie ndio mnaitumia hiyo hiyo kwenda kutalii kwaiyo na nyie niwapagani mnaabudu sanamu ya jiwe km ambavyo wapagani walikuwa wakiabudu sasa mnawasema wakiristo wakati na nyie mnaabudu sanamu ya jiwe jeusi la makka
Acha kudanganya watu. Christmas manake ni Christ's Mass kweli lkn neno X-mass ni neno lenye asili ya kigiriki. Christ kwa kigiriki ni Christos na inatamkwa chiristos. Herufi chi kwa lugha ya kigiriki ni herufi ya 10. Kwahyo waingereza ndo walikua wa kwanza kufupisha neno la kigiriki Christosmass na kuandika X-mass . X ikisimama kama chi ambayo ni herufi ya 10. So kusema mataifa 10 yalikaa ni uongo.
Huyu ndo mazinge tunamjua sio yule wa mwijaku 😂😂😂
Mazinge ameisha sana skuiz
Prof Mazinge ❤❤
Mashaallah ALLAH hatuogoze
Huwezi kuielewa Biblia ikiwa Walimu wako wameshindwa, Wewe endelea kumfuata Muhammad mbakaji wa mtoto wa miaka 6.
@@Jamal22-o5nSubuhana llah afu et jamal 😂😂😂 kasome vzr au nimasomo ya machiz wenye akili timam hawaelew???
@@JamilaJumanne-u7q kwa iyo uanakataa kuwa Muhammad ajaoa mjukuu wake wa miaka 6? Kataa tumjue mwendawazimu ni nani. TAKBIRRRR
@ allwah aqbaru nabado naww atakuoa mapema tu mana huna kaz ya kufanya
@JamilaJumanne-u7q kila kitu alah akbar, lugha ya waarabu iyo acha utumwa. Mukiongea kwa kiarabu ndo mnahisi mmeabudu kumbe mmeongea. Si useme tu Mungu Mkubwa dada ake. Mmerithisha dini mpaka lugha, aah kwakweli waislam wamepatikana.
mazinge mashaalah anafurahisha jazakalahu keyri
Huo ndy ukweli Allaah akulinde
Kipindi Hicho Mazinge akiwa Mpigania Dini kweli kweli ila kwa sasa ni Mpigania Tumbo.. Inshaallah Allah atamuongoza na atarudi katika njia sahihi.. Allahummaamin.
Ndonini umeongea 🤔
Ochu wewe umepigania nini ktk Uislam?
@@rayisadesigns2646 Wewe ukijua itakusaidia nini.. Halafu Dini haitaki Waislamu wanafiki huo ni ukweli kwa hiyo huu ujumbe wangu ukionekana huenda ikawa ni sehemu ya yeye kubadilika.. Sio kwa ubaya na ndomaana tunafundishwa kusema ukweli hata kama wenye kuumiza..Inshaallah.
@@SadamSarita-t7z Dini yetu ya Uislam haitaki Waislamu wanafiki huo ni ukweli kwa hiyo huu ujumbe wangu ukionekana huenda ikawa ni sehemu ya yeye kubadilika.. Sio kwa ubaya na ndomaana tunafundishwa kusema ukweli hata kama wenye kuumiza..Inshaallah
@@SadamSarita-t7z kwani alichosema uongo??
Asante kwa elimu
Shukrani sana Shelkh
Kamuulize sasa hivi .. Natarajia majibu tofauti.
Maasha Allah
Hyo haijalish tunachojua yesu alizaliwa lini mwez,au mwaka hlo haijalishi
Kitabu chako haitambui xmass. Sasa kaka unapingana na biblia hilo utajua wewe na wafuasi wenzako 😅😅
Waislam tuacheni acheni ukorofi
Wewe Mazinge acha ujinga mambo imani ya ki kristo huyawezi .wewe shughulika maulidi.
Wwe unalazimisha ukaingie motoni kwa lazima akiamungu tena hata ukashukiwa na malaika bado utakataa ukweli
@@MohamedHozi-p1u apombane na Imani yetu achene na Imani za wengine
QURAN 3 : 55 NA QURAN 4 : 57 INAMKATAA YOYOTE ANAEPINGA YESU KRISTO MASIHI HAKUFA MSALABANI NA HAKUFUFUKA.
TAKBIRRRR
Nukuu uone uongo wako
@@husseinkiruta1712hatonukuuu mbka qiama. Huyo Hana elimu ila anachuki
Mashaallah ❤❤❤
Sasa ivi hilo andiko neno IDI halipo😁😁
Manyumbu yamekusanyika msikitini yanamsikiliza nyumbu mwenzao🤣🤣🤣🤣🤣 eti hiyo ndio ibada yao msikitini yakujadili sikukuu isiyo yao 🤣🤣🤣🤣🤣
Uyo ruka mara wamkatae uyo uyo wanamtumia tena, mungu ni fungo la iman
Kanywe juice nakuja kulipa my brother
Wwe ni kama yule mdudu taa hata ukiona ukweli lazima ujiingize kwenye moto..ujiulizi biblia ilipewa nabii nani bado tu unazubaa kwa upotovu
Tunakufungua akil ww juha umuabudu mungu aliyekuumba usije ukja kujuta cku ya kufo chako
@JoramAljabry-bo3bd wivu tu mumeo a sikukuu ya christmass ni kubw duniani kuliko sikukuu yenu ya idd mnayo budu mwezi ndipo mmeona mlete chochochoko n vita dhidi ya ukiristo dini ya Mungu wa kweli Jehova muumba mbingu na ardhi
Uongo mkubwa sana tafsiri Yako uliyotoa ya krismas acha uongoooo
shekhe hakufurahishwa na ulivyo kuwa una kichafua kitabu cha biblia takatifu
Enzi izo mazinge mashallah lakini sasa kishazama kwenye maushirikina ya watoto wa 2000 wakina firdaus
Kama hujapenda mada yake usikoment ujinga kaa kimya
Mobile tambua kila unachokisema utaulizwa siku ya hukumu. Chunga ulimi wako!!
Akuna jipya mumepambana sana ukrito upotee kujilipua kuwaua lakin unakua tu din zipo nying tujaona kuwazungumzia waindi,wachina nk
😂😂😂 masufi bwana unawasema wagalatia umesahau mawlid naww ni uzushi tyuuh ngoma droo usimxheke mkristo wakati na ww mawlidi imepachikwa
Kafiri yupo kazin hapo anajua kuna ela awajui maana ya id
Sasa km ni mungo maana ya x kwakirumi ni ngapi?
Yeremia 52-32
Hivi kwa mjibu Qur'an muislam anao uwezo wa kumfunsisha mkristo?😂😂
Imani yenyewe ya kikrosto inatafautiana kuhusu yesu maana yake kua kuna ukweli umefichwa kuhusu yesu
Wengine wanasema ni mungu mwenyewe
Wengine ni mwana WA mungu
Wengine ni mtume WA mungu
Wengine ni mungu Kwa umbile la kibinadamu
Ila ukweli yesu ni mtume WA Allah na alizaliwa Kwa neno lililotoka Kwa Allah Kwa miugiza kutoka Kwa Maryam bikira na alipewa injili
Imani isiyo wahusu achaneni nayo mnapoteza muda wenu bure kufatilia imani ya ukiristo isiyo wahusu hebu igeni wakristo walivyo smart wana akili na wanajitambua wanazimama na imani yao tu hukuti mKiristo m hungaji au Padre wanahangaika kujadili imani ya uislamu isiyo mhusu mana ndivyo walivyo agiza na kiongozi wao yesu kristo kwamba mpende adui yako km nafsi yako waislamu ni maadui wa ukiristo lkn wakristo wanawapenda hivyo hivyo kutokana na maagizo ya kiongozi wao yesu kristo
Yesu ni Mungu yani ndio boss wa hii dunia na mbingu. Soma Isaya 9:6, inaonesha Yesu ndio Mungu mwenyewe
Ikiwa yesu ndio Mungu mwenyewe atazaliwa vp na binadamu cz mamake ni Mary hiv Mungu anazaliwa?
Ikiwa yesu ndio Mungu takua yy ameubwa na Nani?
Na Mungu alikufa akafufuka?Mungu ww vp huyo?
Mungu alizaliwa na binadamu??
Amewapata wa kuwadanganya maamuma wapo kimya, jua kua id ni neno la kialabu linamanisha sikukuu kwa iyo sikukuu gan maana sikuu kwenye biblia zipo nying pasaka,vibanda,kutabaluki, kuwen na maalifa nyinyi
Wewe Bado ni mtumwa wa dini siku ukijitambuwa huu ujinga utacha...
Unapiga kelele Kwa dini zenye zililetwa.. wakati wenye walileta hizo dini wanapigana na kuwanaa kweli wafrika sisi Bado ni watumwa
Story za jaba hizo
Huyu naye ni scholar 😢?
MUNGU
Shekhe hao makafiri washapigwa mihuri ya motoni
mazinge 14:16 hakuna neno Idd ila kuna neno sikukuu acha kuongopea watu.
Hahahaha soma kaka uijue dini yako ya mazingaombwe. Dini yenye miungu wa tatu. Iddi ni neno la kiarabu lenye maana ya sikukuu.
Bibilia ya asaiv imetolewa neno iddi
Mkristo ukimuuliza biblia ilipewa nabii nani hana jibu sasa mtaendelea kupotea mpaka lini wakati yesu biblia haitambui yye alipewa injili..
Na idd imetokana na maneno mangapi? 😂😂😂😂mmekalia chuki tu na sikukuu za wakiristo zisizo wahusu
Soma kaka unaonekana hata alifu hakuna kichwani. Idd ni neno la kiarabu lenye maana ya sikukuu.
@hemedmbondejr nisome nini
@hemedmbondejr mbona wewe ndo huna elimu umekalia majungu na chuki za kuichukia ukiristo
@ sio dini kitabu chako kina kataa kua ukristo sio dini.
@hemedmbondejr we umejuaje kama kitabu changu kina kataa kama sio umbea unakusumbua unaacha kuhangaikia ya kitabu chako kinacho ruhusu kufuga majini na kufilana kama wanavyo filana makka unakuja kuangalia kasoro za kitabu changu wakati kitabu chako cha quran kina kasoro nyingi ndomana kinatumiwa mpk na waganga wa kienyeji kuagulia.. jibu swali huko makka mnaendaga kufanya nini na kwanini mnavuaga nguo zote mnabaki mnavaa Sanda na kwanini msali kwa kutumia lugha ya kiarabu kwani Mungu wenu hasikiagi kiswahili? na kwanini mnaposali mnaelekeza vichwa vyenu uarabuni na kwa nini mtumie mavazi ya asili ya kiislamu kanzu na majuba kama sio kuabudu mila na tamaduni za kiarabu bila kujijua
Mtapambana na cc hamtoweza
Wamaanisha nn ukisema yesu ni mwokozi WA wakristo?
Ni kweli kusherehekea krismas ni makosa na ndio maana kwenye Biblia haipo. Wapo wakristo wengi hawasherehekei Krismas kwa vile hawaioni kwenye Biblia hiyo tarehe 25/12. Ila waislamu wana makosa ambayo yako kwenye quran na hadith za Muhamad wao. Mwislam kumwonyesha makosa mkristo ni sawa na mvuta bangi kumkosoa mvuta sigara. Ni kweli sigara si nzuri kwa afya, ila anaekosoa ana makosa makubwa mno kuliko hiyo sigara
Kwataarifa yenu warabu walio Waletea dini ya uislamu huko uarabuni kwao wanaritadi mamia kwa mamia kuingia kwenye ukiristo na katika nchi zinazo ongoza kusherehekea christmass ni nchi za kiarabu halafu nyie huku na makanzu yenu mmekazana kuichukia sikukuu kubwa christmas ambayo warabu wenyewe waliwaletea uislamu wanasherehekea
Wewe unaota ndoto za asubuhi .dini haijaletwa na waarabu imeletwa na mwenyezi mungu .

Unahangaika tu hakuna kitabu cha kuwafanyawatu wawe wakristo waarabu wengi sio watu wakuwafanyia mazingaombwe ya mwamposa wakuelewe
Ulifanya kusoma Kwa quran lakin wenye walileta hicho kitabu Afrika ni kina nani., wewe Bado ni slavery tu, wenye walileta hizo dini wanapigana sisi wafrika kelele i@@FunnyJumpingSpider-bz9dr
Sisi hatuhangaiki na siku, hakuna tarehe inayoeleza yesu alizaliwa lini, kikubwa tunaadhimisha kuzaliwa kwa mwokozi wetu. Tunaweza kuadhimisha tarehe yoyote
Funguka macho kaka tarehe haziwekwi isipokua kuna jambo nyuma yake, karibu katika uislam wengi tulikua uko tumefunguka macho😊
Umejibu kwa logic,jambo ambalo linawashinda wachungaji wengi.wengi hung'ang'ana kasisitiza kuwa ndiyo tarehe ya kuzaliwa Yesu.lakini we umejibu kwa mantiki.nakupa kongole
Umefeli ww zamani
Sasa mazenge mbona awali ulikuwa unapigania dini ya Allah vizuri...iweje kipindi hichi unashikana na Firdausi kijana mshirikina ... kutafuta pesa mbovu .,...Rudi kama awali Masha Allah.. Allah atusamee sote allahuma ameen 🤲
@@aminabdalla7824 tambua kila unachokisema utaulizwa siku ya hukumu. Chunga ulimi wako!!
Mbona nyie waislamumnaenda kutalii makka kwwnye arkaba ambayo walikuwa wakienda wapagani kuhiji na nyie ndio mnaitumia hiyo hiyo kwenda kutalii kwaiyo na nyie niwapagani mnaabudu sanamu ya jiwe km ambavyo wapagani walikuwa wakiabudu sasa mnawasema wakiristo wakati na nyie mnaabudu sanamu ya jiwe jeusi la makka
Ibrahim alikua mpagani ?
Elimu ndogo inakutatiza....acha kupinga Kwa elimu ya kushindana pasi na maandiko
@@managermipango2843 ibrahimu ( Abraham) ni alikuwa myahudi hakuwa mwarabu acheni kujikomba kwa wayahudi
Acha kudanganya watu. Christmas manake ni Christ's Mass kweli lkn neno X-mass ni neno lenye asili ya kigiriki. Christ kwa kigiriki ni Christos na inatamkwa chiristos. Herufi chi kwa lugha ya kigiriki ni herufi ya 10. Kwahyo waingereza ndo walikua wa kwanza kufupisha neno la kigiriki Christosmass na kuandika X-mass . X ikisimama kama chi ambayo ni herufi ya 10. So kusema mataifa 10 yalikaa ni uongo.
tatizo hapo mbumbumbu wanaitikia tuu hata kama wanadanganywa akili za waislam ndugu yng