PENZI la BIBI MIAKA 60, KIJANA MIAKA 27 LAKOLEA, WATANGAZA NDOA ya KIFAHARI, WAISHI MJENGO wa KISHUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 259

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +4

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU Ingia kwenye simu yako📲NAMBA YA KAMPUNI 553111 KUMB NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1000 Utapata ujumbe wa USHINDI

  • @angelanather9640
    @angelanather9640 ปีที่แล้ว +3

    Nawaombea kila la kheri. Wanadamu hawana jema. Mungu awatie nguvu ❤

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 ปีที่แล้ว +1

    Wewe kijana muongo na mungu atakulani sana mungu atakuadhibu vibaya kumuacha mkeo na mtoto

    • @zaidasalumualute6437
      @zaidasalumualute6437 ปีที่แล้ว

      Amefuata Kitonga,lakin nakuhisabia miaka 3 mbele,tutapata jibu,eti mjengo wetu mimi mumewe.

    • @happybajuta9769
      @happybajuta9769 ปีที่แล้ว

      Kabisa huyo ambay Adi watoto wanamsaport huyo atakuw kafara nyumba ziendelee kujengwaaaa yaan mwanaume jasiri hawez ishiii Kwa mwanamkee

  • @BenjaminHenry
    @BenjaminHenry ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji uko vizuri sana kwenye kuhoji

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 ปีที่แล้ว +5

    Nilisha mwambia mama yangu siwezi ita baba wasio jielewa kwa hilo namshukuru Mungu haikuweza kunitokea hata kwangu namuomba Mungu isinitokee

  • @JamesBond-vz4fr
    @JamesBond-vz4fr ปีที่แล้ว +2

    Mwanangu we mwandishi habari unajua kuoji sana safi kazi unaiweza

  • @NanaNadine-o5d
    @NanaNadine-o5d ปีที่แล้ว +1

    Kila ndege hutuwa mti awupendao 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢

  • @eunifredmutua2426
    @eunifredmutua2426 ปีที่แล้ว

    Naomba anipatie kazi ya kumshonea hizo viti covers,

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 ปีที่แล้ว +1

    eti wa kwenu pamoja kwendaaaa!!!!!

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b ปีที่แล้ว

    Gabi mtazania ongera bro wangu ,much love fto jordan

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว +5

    Ukweli Watu Wengi Vijana Wakubwa Wanaume Kwa Wanawake Baazi Yao Wanasema Hoo Bibi Azai Kijana Atakosa Mtoto Lakini Ukweli Ukianza Kuchunguza Utagundua Watu Wanapenda Kuongea Lakini Watu Hao Hao Wanajifanya Awajui Makosa Yao Ususa Wanaume Zaidi Kwanini Ukisema Uchunguze Kuanzia Kaliakoo Mpaka Kimara Mwisho Umo Njiani Utakutana Na Watoto Wengi Sana Wenye Mama Zao Lakini Awana Baba Yani Mababa Wamekimbia Majukumu Yao Kama Baba Lakini Ikitokea Habari Kama Hi Mtandaoni Mtu Uyouyo Bila Aibu Kikubwa Yuko Na Simu Kubwa Aoni Aibu Kumkemea Kijana Uyu Eti Anaoa Mke Ambae Azai Wakati Huo Yeye Amemkimbia Mpenzi Wake Siku Ya Kwanza2 Alipompa Habari Kua Siku Zangu Sizioni Mapenzi Yakaishia Apo Apo Lakini Atasimama Kumponda Uyu Kijana Napia Anayejua Kama Uyu Mzee Ni Mungu2 Mungu Ndio Anajua Kila Kitu Kama Kuzaa Au Kutokuzaa Hoo Siku Zake Zimekata Je Wewe Uliusika Kumuwekaga Izo Pedi Nasasa Pedi Zinaalibika Bule Upendo Auka Mipaka Kwani Serikali Yetu Imetunga Mipaka Ya Ndoa Kwenye Uzee C Wametunga Kwenye Utoto2 Miaka18 Sasa Hawa Sio Wa Kujadiliwa Kwa Ubaya Upendo Ni Mpango Wa Mungu Kwani Ameona Vijana Wangapi Kikubwa Joto Anakura Vizuli Mama Na Kijana Mdogo Mbegu Zake Mbolea Tosha Bibi Atanawili Na Kua Mama Kwanza Mkumbuke Kila Binadamu Kuna Levo Ikifika Akili Zinaludi Utotoni Sasa Ukifikia Levo Ambao Udogoni Ulikua Geti Kali Nilazima Utafanya Vilivokupita Enzi Izo Mtoto Kwa Mama Na Baba2 Bibi Na Babu Kwa Waliowazaa Wazazi Wako2 Na Watoto Kuanzia Miaka18 Kuja Chini Basi

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g 25 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji unanichekesha sana unajua kuhoji kiuzuli. Unayanogesha mambo

  • @elizabethmwende9353
    @elizabethmwende9353 ปีที่แล้ว +15

    😂😂😂😂alipokula kile chakula ndio ulikua mtego wake huyo bibi alikua kesha kitengeneza ,hayo sio mapenzi alipotezwa akili kijana wa watu

    • @JulietaAckermann-gk4hl
      @JulietaAckermann-gk4hl ปีที่แล้ว +2

      Hata mm naonanhiyo chakula ndo ilimteka waaah bibi mwerevu😅😅😅

    • @naomikyonike2359
      @naomikyonike2359 ปีที่แล้ว +1

      Ahahahahaha Apo uhakika kawekewa limbwata ila nyie ahahsha

    • @JulietaAckermann-gk4hl
      @JulietaAckermann-gk4hl ปีที่แล้ว

      Waaaah makubwa🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mariamngolo7114
      @mariamngolo7114 ปีที่แล้ว

      Yaani dhambi jamani kamtega vibaya kwenye msosi duuh!!?

    • @susankaburu4527
      @susankaburu4527 ปีที่แล้ว +1

      Kube kijana akapewa uchawi yawa

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t ปีที่แล้ว

    Hii filamu ni nzuri kweli duuh

  • @citymwacheo4497
    @citymwacheo4497 ปีที่แล้ว +24

    Mbona wanaume wazee wakioa wasichana hamusemi

    • @bezalelihalisi6593
      @bezalelihalisi6593 ปีที่แล้ว

      Hata Mimi nashangaa

    • @elizabethizengo4163
      @elizabethizengo4163 ปีที่แล้ว +2

      Wanafamilia jitahidini bac kumweka vzr huyo kijana ili aweze kufananafanana na hiyo move yenu, kila siku anakaptula na vitishirt vya ovyo ovyo. Anaonekana kama kijakazi fulani hivi, jitahidini kumpa PAMBA ili afanane hata mnayoyasema pamoja na mijengo mnayompitisha, tumechoka kumwona na Kaptula

    • @FarhatSeif-p3t
      @FarhatSeif-p3t ปีที่แล้ว

      Inakua haichushi. Na mwanamme anao uwezo wa kutia mimba. Ila mwanamke mzee hazai. Huyo bb mwanga au mchawi

    • @FarhatSeif-p3t
      @FarhatSeif-p3t ปีที่แล้ว

      Bb anakiranga huyo. Si bure na kiranga cha uzeeni noma kweli

    • @amisibilly5084
      @amisibilly5084 ปีที่แล้ว

      Umenifuraisha. Ngombe aizeeki maini

  • @jeysceymackxhy3470
    @jeysceymackxhy3470 ปีที่แล้ว +1

    Wauuu ❤❤ nice uyo ni wako usiwache❤❤🎉

  • @welcomeorange7357
    @welcomeorange7357 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji umenogesha kweli hongera

    • @welcomeorange7357
      @welcomeorange7357 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaaaaaaaaa umeshinda mtangazaji umechimba sio kawaida unastahili hongera nimecheka hadi basi hahahahaaaaaaa

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t ปีที่แล้ว +3

    Mie naona hii ni COMEDY sio kweli tunaliwa mabando yetu tu.

    • @malkiawanguvu3150
      @malkiawanguvu3150 ปีที่แล้ว

      Ni kweli tupo wote! Tunawaza wote!
      Kama ingekuwa sio Kiki wamehojiwa saana! Akiwa Kama mama mtu mzima asingekubali saana kuhojiaa na kila Media ! Kunakitu wanataka Hawa!

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 ปีที่แล้ว

    Duh...!🎉🎉🎉 Dereva simama nishuke

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 ปีที่แล้ว +3

    Kwa intelligence yangu,hapa hakuna ukweli

  • @justaalphonce9183
    @justaalphonce9183 ปีที่แล้ว +1

    Kwani kuna ukweli gani!! Ngoja tuingize GB

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 ปีที่แล้ว

    Usichana wake ale na nani uzee wake amalizie kwako hawezi kuzaa uzazi amemaliza kwengine we umemucha mkea alie nakizazi mungu atakuadhibu Tu! Ngojea kiboko chako chaja kwmola

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 ปีที่แล้ว +1

    Uongo hii nyumba ni ya mwarabu sisi ndio majirani wa hapa global mmeshirikiana kututapeli mb

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว

    Hilo jumba lote jamani halafu unaishi pekayako mbona ni stress mwacheni mamayetu

  • @EsterBernardoVumo
    @EsterBernardoVumo ปีที่แล้ว

    Wewe Kijana Huyo Bibi AmekutengenezeaDawa.Bibi Aibu Mm

  • @rasependopendo8096
    @rasependopendo8096 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kila la kheri

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 ปีที่แล้ว +1

    Jaman mapenzi yapo.

  • @stellamwasha1409
    @stellamwasha1409 ปีที่แล้ว +6

    Tena yawezzekana kuna vijana wanatembea na watu wenye umri mkubwa tena kwa siri na wala hawaoni shida bora hata huyu alosema ya moyoni

  • @Malik12king
    @Malik12king ปีที่แล้ว

    Jameniii bangi sio nzuri bas

  • @mamawamireille4872
    @mamawamireille4872 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji nmempenda anajua kuhoji

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 ปีที่แล้ว

    Hapa ni movie linaendelea, nyumba sio yao na hiyo sehemu kila siku ni hapohapo ndani hawaingii

  • @matlidaemmanueli3785
    @matlidaemmanueli3785 ปีที่แล้ว +1

    huku kwetu kuna mzee kaoa binti wa miaka 20 yeye ana miaka 70 tumwambieje

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 ปีที่แล้ว

    Wewetulia Tu! Utajionea majabu ya mungu huyo Bibi atajioneamwenyewe kitakacho mkuta huyo Bibi aliyemdhulumu kijana na kumuacha mke na mtoto wake

  • @MaryMbugua-wd3ev
    @MaryMbugua-wd3ev ปีที่แล้ว

    Sio vizuri mtoto kuuona uchi wa mzazi,ndiyo maana adamu alitangulia kuumbwa so mume afaa awe mkubwa

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g 25 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji nimekupa 100 hiyo kazi unaiweza

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t ปีที่แล้ว +1

    Huyu bb hakuelekea kuwa na pesa. Kachoka kama mama ntilie

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji mnoma Sana!!

  • @MisFatema-k8s
    @MisFatema-k8s ปีที่แล้ว

    Mbona hamuonyeshi ndani au filamu yenu inatakiwa mkae nje

  • @FRANSISIMWANSISYA-xw1jf
    @FRANSISIMWANSISYA-xw1jf ปีที่แล้ว +3

    Ananifurahisha mtoto mkubwa wa bibi..

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t ปีที่แล้ว +1

    Duuh waongo hawa kila wakihojiwa wana story mpya.

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 ปีที่แล้ว

    Huyo bwana ni raia wa UAE na kilemba kwa pensi

  • @eunifredmutua2426
    @eunifredmutua2426 ปีที่แล้ว

    Mnakosea kusema,mtu akiamua ata anaeza enda na wa 20yrs,kijana na mm niongee wa miaka 70,nko na 35

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 ปีที่แล้ว +3

    Jamani kwani Rais wa ufaransa alieola mwalimu wake wamepishana mika 34 mbon hamshangai au kisa wazungu??????

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 ปีที่แล้ว

      Asante ,eti kelele nyingi !!!! Wivu umewajaa.

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 ปีที่แล้ว +7

    Msiseme mama dada huyo mbona wazungu vibabu wanaoa watoto wadogo kwendeni zenu. Dada yanguu enjoy kula maini makongro siku izi hatuli hatuyatakiii

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 ปีที่แล้ว +1

      Huyu Dada hataki kula makongoroo anakula maini. Shhikamoo Dada 60 siku hizi Dada tu sio wazee wazee kuaanzia miaka 90😅😅😅

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 ปีที่แล้ว

      @@priscambwambo1030 SAHIHI kabisa 💯✔️

    • @joycekaguo8476
      @joycekaguo8476 ปีที่แล้ว

      😅

  • @LouiseEbasomba-g6w
    @LouiseEbasomba-g6w ปีที่แล้ว

    Mmm
    Apoasinaneno❤❤❤❤❤❤
    Nawatakiandoajema

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 ปีที่แล้ว +1

    Hilo nyumba sio la huyo bibi hii Ni Kiki Yan Global cc tunawaamini lakini mkianza Kiki mtatupoteza

  • @joyceabasi
    @joyceabasi ปีที่แล้ว +9

    Nimewapenda bule kwani umri unatatizo gani Kaka mlee Mama acha maneno ya walimwengu pesa siyo moyo kwani wewe ulijua km tajir, nawatakia baraka njema na ndoa yenye amani na upendo

  • @Nelly-s8p
    @Nelly-s8p ปีที่แล้ว

    Mwaay Wana wak wa siku iz wazumbuf ❤❤❤ uyo Kijan na mupenda bur

    • @ashaomary5558
      @ashaomary5558 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂❤❤

  • @AloyceMartinKiria
    @AloyceMartinKiria ปีที่แล้ว

    Duh😢😢😢!!

  • @jumannemtawa4535
    @jumannemtawa4535 ปีที่แล้ว

    Nahisi ni kiki.Story ya kutengeneza

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t ปีที่แล้ว

    Bb usisahau kuweka na meno ya juu.

  • @dppd4219
    @dppd4219 ปีที่แล้ว

    Hii media nayo ishaanza kuweka habari za uongo maana nilikuwa naiamini lakin kwa hiri !!

  • @mishikombowato1457
    @mishikombowato1457 ปีที่แล้ว

    Subhan Allah mie sisemi nikamaliza ila mi nasimama na baba wa kijana siungi mkono tamaa za kijinga na uvivu unaenda kujieka chura kwa bibi mzee😢

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji umekonaleo

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 ปีที่แล้ว +1

    Kijana atafute kazi sio kumuowa mtu mzima kumshinda mama yake na baba yake mwehu

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz ปีที่แล้ว +2

    Gabby 😂😂😂😂nakupenda bureeee

  • @fikiriseleman3460
    @fikiriseleman3460 ปีที่แล้ว

    Penz gan Hilo mnalitangaza Kila media kama sio kiki Nini,

  • @Gloria-vh5bz
    @Gloria-vh5bz ปีที่แล้ว +2

    Nyumba waliyoonesha siku ya kwanza ipo tofauti na hii so wanatufanyia maigizo mpk global ninavowaamini Leo na nyie mmetekwa na ujinga huu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Pengine wana nyumba nyingi

    • @susankaburu4527
      @susankaburu4527 ปีที่แล้ว

      Amesema ako na nyuba kalibu saba , unaweza aje kua na nyuba na hujui ni gapi.

    • @Gloria-vh5bz
      @Gloria-vh5bz ปีที่แล้ว

      @@susankaburu4527 hiyo sura ni yakua na nyumba Saba surely? Hebu akajambe mbele huko huyo bibi, Hela inaleta mng'ao bt ngozi bado km Tako la lokole halafu aje kutudanganya ajuza mzima

    • @susankaburu4527
      @susankaburu4527 ปีที่แล้ว

      @@Gloria-vh5bz kweli huyu athani sisi ni bonoko😂😂

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t ปีที่แล้ว

    Kila siku anatoa story tofauti.

  • @YusraAlly-mn2cr
    @YusraAlly-mn2cr ปีที่แล้ว +2

    Bibi nimekupendea bule jamn ni mrembo

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t ปีที่แล้ว

    Kila siku huyu kijana anatoa story nyengine.

  • @josephnjella4919
    @josephnjella4919 ปีที่แล้ว

    Kijana amelogwa

  • @fikiriseleman3460
    @fikiriseleman3460 ปีที่แล้ว

    tunajuwa mnatafuta kutrend kiki hyo sijui mnatowa nyimbo

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t ปีที่แล้ว

    Huyu bb alisema yeye ndie alomwambia anampenda. Mara leo anasema vyengine.

  • @gloryluvofa8832
    @gloryluvofa8832 ปีที่แล้ว

    Sioni tatizo wapenzi 🇰🇪

  • @komlaakomlaa7465
    @komlaakomlaa7465 ปีที่แล้ว

    Iyi kiki

  • @ziadaissa9607
    @ziadaissa9607 ปีที่แล้ว +1

    Unabebwa huna haya unamuwangia mtto wa watu ngoz ya uzee imetepet

  • @elizabethmbugua-uk3pj
    @elizabethmbugua-uk3pj ปีที่แล้ว

    Aiiiii huyu naye hata akitaka kuwafunga midomo,aise ni mkongwe sana

  • @mashampya-dc8nq
    @mashampya-dc8nq ปีที่แล้ว

    Meno hana awe tajiri ivyo waongo tupishen

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว

    Tuna subiri Alibamu ya shini itoke😊😊😊😅😅

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 ปีที่แล้ว

    Kharous itafanyikia wapi hahahahaà tuende kula kupungaaa

  • @preciousjohn9405
    @preciousjohn9405 ปีที่แล้ว

    Hii kiki Sasa imetosha towen bidhaa sokon wateje tununue

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 ปีที่แล้ว

    Waoane tu

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 ปีที่แล้ว +1

    Kufunga midomo nini dunia imefikia mwisho hawana aibu wote si uyo bimkubwa si uyo mtoto mjukuu wake hamna mapenzi tamaaa

  • @robysonpaul1958
    @robysonpaul1958 6 หลายเดือนก่อน

    Hana wazazi kwani hicho chakula sio salama anahitaji msaada

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t ปีที่แล้ว

    Mumewe alikufa kwa presha ya kuchukuliwa mkewe na mtoto mdogo.

  • @amoonatnzani9834
    @amoonatnzani9834 ปีที่แล้ว +1

    Chezea upwiru weeee

  • @brantywilson1347
    @brantywilson1347 ปีที่แล้ว

    Hiyo so mbona inawekwa kila mahali hata hapastahili? Kiingereza kaz kwel kweli

  • @AnnAn-b2x
    @AnnAn-b2x ปีที่แล้ว

    😢😢 ngaiiiii dunia simama ann ashuke

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 ปีที่แล้ว

      Shuka utupishe tuinjoy sisiiii!!!

  • @tato8979
    @tato8979 ปีที่แล้ว +5

    Nikiki au sielewi😂

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 ปีที่แล้ว

    Clobal mnaaminika mmeshajenga jina kwanini mnafanya kiki tuseme mlikuwa hamjui kama hii ni kiki mtapoteza mmashabiki mnaondoa uaminifi

  • @hellenyyusuph3790
    @hellenyyusuph3790 ปีที่แล้ว +2

    Mbona huyu mdada kama ni muugizaji Hawa wanaigiz na huyu bibi ni muigizaji

  • @LevinaMichael-oy8cu
    @LevinaMichael-oy8cu ปีที่แล้ว

    Huyu kijana anaonekana nimjanjamjanja sana bibi atakuja kupigwa na kitu kizito hatoamini yaani huyu kijana roho yangu mm mhhhhh imekataa hamna mapenzi hapa

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t ปีที่แล้ว

    Milioni 6 kwa gauni lipi hilooo. Duuh waongo sana hawa.

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 ปีที่แล้ว +3

    Gabby🤣🤣🤣 Yaani nimechekaaaaa😂😂😂😂

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 ปีที่แล้ว +4

    STORY YA KWANZA YA BIBI ALIYO ITOWA. MWANZO WAO WA LIVYO KUTANA. NI TOOFAUTI NA YA LEO ALIYO ITOWA KIJANA. DAAH. HII STORY SI YAKWANZA. KUNA NYINGI MWISHOWE. TUKAWAPATIA WAIGIZAJI. BIG MAARUFU HAYAA NA HAO PIA WATAUPATA

  • @neemandunguru3473
    @neemandunguru3473 ปีที่แล้ว +1

    Kiki za Ezii zimeisha mmeazisha nyingine

  • @jeysceymackxhy3470
    @jeysceymackxhy3470 ปีที่แล้ว

    Uyo kijana ajiamini kumuona mama mzee

  • @Muhamed_mo
    @Muhamed_mo ปีที่แล้ว

    Anti mjengo huo auachee .ata mm najipa raha mwengine

  • @Muhamed_mo
    @Muhamed_mo ปีที่แล้ว

    Mazoea na mitego ndani yake sasa kibenteni kimo ndani kinachezea vigozi vyakeee

  • @MaryMbugua-wd3ev
    @MaryMbugua-wd3ev ปีที่แล้ว

    Hiyo chakula sio bure aliekewa kitu,aache kusema ni chakula tu,ndiyo mama alinfuatilizia na simu ajue kama amekula asha mnasa mtoto wa watu ole wake

    • @JulietaAckermann-gk4hl
      @JulietaAckermann-gk4hl ปีที่แล้ว

      Limbwata

    • @abdallahmsangi4054
      @abdallahmsangi4054 ปีที่แล้ว

      Yaan katik vyote kijana umepoteza dira yuyo bib sura chakavu mchaw kbs mtoto huyo atakua katengwa naukoo mzm mwone

  • @AnaAnaelle-p6r
    @AnaAnaelle-p6r ปีที่แล้ว

    Mapepo na uchawi ya aka ka bibi kazee sumu

  • @mashampya-dc8nq
    @mashampya-dc8nq ปีที่แล้ว

    Uyo mtt wake anaonekana pia ananjaa ebu tupisheni

  • @joycekaguo8476
    @joycekaguo8476 ปีที่แล้ว

    Mbona mnauliza maswali ya ndan

  • @EsterBernardoVumo
    @EsterBernardoVumo ปีที่แล้ว

    Hao Na Watoto Watoto Wake Hiyo Bibi NiMalaya

  • @EstherMaina-hg8fv
    @EstherMaina-hg8fv ปีที่แล้ว

    Hata mimi naitaji mwanamme kutoka Tanzania

  • @margaretkaranja1864
    @margaretkaranja1864 ปีที่แล้ว

    The way to a man's heart is his stomach.. greedy men watajua hawajui

  • @duniadunius2330
    @duniadunius2330 ปีที่แล้ว

    Mhh niatali sana 😂😂😂😂

  • @mariamanzazi2696
    @mariamanzazi2696 ปีที่แล้ว

    Dah wabongo nyinyi ndo mumepata kazi ivyo

  • @MisFatema-k8s
    @MisFatema-k8s ปีที่แล้ว

    Ngoja tuone mwisho wa muvi utakuaje