Mansha Allah sheikh othuman malim Allah akulipe kila lakheir kutembelea mji wetu wa bujumbura, Allah akupe umri uzidi kutupa dawa ya roho zetu, tuwe wote pepo firdausi
MaashaAllah tabarakallah sheikh wetu Allah akupe umbri mrefu weny heri na manufaa ndani yke,,,bado tunafatilia darsa lako hili hadi leo2023 alhamdulillah
Masha Allah shekh Allah akupe umri Zaid na Zaid insha'Allah 🙏 na hakika nimejifunza kitu muhim Sana katika maisha insha'Allah nitayazingatia Allah anifanyie wepes Amin ya'allab 🤲🤲🙏
Shukran sana sheikh,nimeelumika vzr hapo penye dhulma kwani nami ni mmoja nilie dhulumiwa kiasi cha fedha niliyo ipata kwa kazi ngumu sana ila namuomba MUNGU anitatulie tatizo hilo. Nawe vilevile ALLAH akupe umri insha Allah🤲🤲🤲🇰🇪
@@mwanaishahussein2635 watu wankosa hofu na Allah wanasahau cku ya malipo wajaijutia twamshtakia Allah pia twaombeana her dia pole subra yako atakulipia muumba
sheikh Allah amekupa zawadi yakupendwa sana na mimi ndani yawenyekukupenda Allah atukbaliwa swaumu zetu atukutanishe hapa duniani na kesho peponi ya Rabbi
Maashallah nipo hapa ramadhan Kareem 2023 allihamdulillah kher na baraka kwa wote na tujaaliwe mwisho mwema na kukumbushwa na Allah kufanya yaliyo mema🤲🤲🤲🤲
Barakallahu shekhe wetu mawaidha matamu. nikweli mimi nime dhulumiwa. safari mbili tafauti na watu tofauti. nili mulilia Allah. wakwanza alikuwa jirani. wapili ni selekari. imenidhulumu ploti yangu nime nunua. pesa zangu. ilinidhulumu muda wa myaka mbili. baada ya dua juu ya haki yangu. week mojo waliniita nakunirudishia. ploti yangu. jirani yeye alinidhulumu pesa muda wa myaka 4 nahazikose na wakati hiyo nilikawa. munyonge wanjaa. ya watoto. wakati nilimulilia Allah. asubuhi yake mwenyewe alikuja kunitafuta nakuniambia kama usiku amekosa amani na usingizi juu ya pesa zangu. ntangu apo akanilipa Nikamshukuru Allah anajibu. wanyonge wake
(Dua ya kuingia msikitin na kutoka msikinitini) 1)dua ya kuingia..... bismillahi wassalaatu wassalaamu Alaa rasuulillahi allahumma ftahalii abewaaba rahmatika 2) yakutoka..... bismillahi wassalaatu wassalaamu Alaa rasuulillahi allahumma inniy as aluka min fadhilika allahumma A'aswiminy minash shaytaani rajiyim. Love you all from 🇰🇪🇰🇪
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akuzidishie umri mlefu uzidi kutupa vitu vizur Aamiin Nas Allah atufanyie wepes iltuyazingatie tupate kuyafanyia kazi mambo ya akhera Aamiin
ma sha Allah jazakallah kher sheikh wetu Allah akupe afya njema akupe umri mrefu Allah akupe mwisho mwema IN SHA siku kam ya leo last Ramadan nikisiliza mawaidha yako sheikh wetu Alhamdulillah
MashaAllah Sheikh kazi yako ni nzuri kweli kweli.Juhudi yako haitopotea
#upendokwawote
❤❤❤❤
Alhamdulillah rabillallahmin ,Yarabi mpe umri mrefu kipenzi chetu maalim wetu shekhe wetu othman maalim na umpe vilivyo vya kheri amiyn
Aaaamin
Mashallah, Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim, Allah akulipe Jannah inshallah 🙏
Mansha Allah sheikh othuman malim Allah akulipe kila lakheir kutembelea mji wetu wa bujumbura, Allah akupe umri uzidi kutupa dawa ya roho zetu, tuwe wote pepo firdausi
Karbu 255 Tanzania
Amiin inshallah
Alhamdulillah.. Allah. Akusamehe wewe na wazazi wako wawili shekhi wetu . tunafaidika saana na mawaidha..jazaka Allahu Khayra...
Mashallah, miongoni mwa Mashekh wenye tashwishi sana katika viswa, mwenyezi Mungu akupe umri mrefu shekh uthman Maalim.
#upendokwawotechannel
MashaAllah nampend sana huyu sheikh wallah natamani awe miongon mwa familia yang .
Mashalllah nimejifunza mengi kupitia kwako na Namuomba Allah akupe ujiraa wako Amiin🤲
Isha Alla, ALLA atuja'alie nyoyo zetu zikinai ya dunia tutafute ya kesho aakhera 🤲🤲🤲🇰🇪.
Mwenyezi mngu akuweke sheikh wetu mwenye sauti iliyejaa upole nabusara uzidi kutuzindua mashaallah
MaashaAllah tabarakallah sheikh wetu Allah akupe umbri mrefu weny heri na manufaa ndani yke,,,bado tunafatilia darsa lako hili hadi leo2023 alhamdulillah
maashaallah Alllah akuhifadhi shekh wetu kipnz
Masha Allah shekh Allah akupe umri Zaid na Zaid insha'Allah 🙏 na hakika nimejifunza kitu muhim Sana katika maisha insha'Allah nitayazingatia Allah anifanyie wepes Amin ya'allab 🤲🤲🙏
Bad up nairob
Mashaallha mungu akupekilalakheri akulinde nashari za washirikina shk Osman maalim
Mashallah nayapenda mawaidha yako mashallah Allah amuweke kwaajil yetu
Mashallah sheikh outhman maalim may Allah bless u for biutiful daawa.
Mungu akulinde
Allah akujalie amani na kheri na umri mrefu uzidi kutufunza dini maa Shaa Allah. Navyio penda ukitoa mawaitha yani hua na tulia pia Shukraan
Allah ukuzidishie ilmu yenye manufaa, akuzidishie umri.امين
Amin
Mashallah Shekhe wetu Allah akujaalie kila kheli inshallah
InxhaAllah Mungu atupe Mwisho mwema
Mashaallah,, tunashukur kwa mawaidha mazur shekhe nmejifunza masuala makubwa
Ma shaa Allah Sheikh wetu Allah akupe hekima zaidi na atukinge na Adhab ya Jahannam sote in shaa Allah
Allah akulinde zaidi sheikh kazi yako nzuri
مشالله اسأل الله الکریم ان یزیدک خیرا باذنه یا معلمی
ABDumusa
Shukran sana sheikh,nimeelumika vzr hapo penye dhulma kwani nami ni mmoja nilie dhulumiwa kiasi cha fedha niliyo ipata kwa kazi ngumu sana ila namuomba MUNGU anitatulie tatizo hilo. Nawe vilevile ALLAH akupe umri insha Allah🤲🤲🤲🇰🇪
Inshllah mwenyez mngu atakulipia dia
@@ishabbe4489 Amiin thuman Amiin🙏🙏
Tamaa kwa jasho la mtu,wallahi watu watakwenda juta mbele za ALLAH😗😗😗🇰🇪
@@mwanaishahussein2635 watu wankosa hofu na Allah wanasahau cku ya malipo wajaijutia twamshtakia Allah pia twaombeana her dia pole subra yako atakulipia muumba
@@ishabbe4489 Dada hiyo pesa niliipata kwa dhiki sana ni pesa ya Saudia,Niko huko sija samehe ila namlilia MUNGU nipate pesa yangu
Allah akupe umri sheikh athman maalim uzidi kutupa mawaidha
Sheikh Uthuman maalim Kwa kunibadilisha shukran Allah akuzidishie
Mashallah,Allaukupe,Maisha,,,marefu
Mashawallh shekh kumu azid kukufavy wepesi
Mashallah sheikh wetu Allah akuzidishie elim na akulinde na mahasidi
Ma shaa Allah Sheikh Othman Maalim mawaidha yako tametulia sana Allah akulinde kwa kila baya hapa dunian
sheikh Allah amekupa zawadi yakupendwa sana na mimi ndani yawenyekukupenda Allah atukbaliwa swaumu zetu atukutanishe hapa duniani na kesho peponi ya Rabbi
Nakuombea mungu akuwezeshe uje tanga na ss tufaidike na darsa zako love
Maishaaaaalah Allah akujaalie kila la kheri Shekh wetu,Wallah natamani sanaaa kukuona live
JAZAKALLAHu kheir mwenyezi MUNGU akulipe janatul firdaus
Amiin ya rabbal alamiyn
Mansha'Allah mwenyezi mungu akujalie umri sheikh wetu mpendwa.
Shekhe nakukubali sana mashallah
Shekh wetu wewe ni mwenye hekma .Allah amekujaalia
Kwani Hekma maanake nini??Mana Nasikiaga Tu neno hilo!
@@أبوفيصل_الحنبلي Hekima (wisdom) ni kufanya jambo lifaalo kwa namna ifaayo kwa wakati ufaao
Maashallah nipo hapa ramadhan Kareem 2023 allihamdulillah kher na baraka kwa wote na tujaaliwe mwisho mwema na kukumbushwa na Allah kufanya yaliyo mema🤲🤲🤲🤲
Aamiin 🙏🏽
Ustaz mwenyezi mungu akuweke
Barakallahu shekhe wetu mawaidha matamu. nikweli mimi nime dhulumiwa. safari mbili tafauti na watu tofauti. nili mulilia Allah. wakwanza alikuwa jirani. wapili ni selekari. imenidhulumu ploti yangu nime nunua. pesa zangu. ilinidhulumu muda wa myaka mbili. baada ya dua juu ya haki yangu. week mojo waliniita nakunirudishia. ploti yangu. jirani yeye alinidhulumu pesa muda wa myaka 4 nahazikose na wakati hiyo nilikawa. munyonge wanjaa. ya watoto. wakati nilimulilia Allah. asubuhi yake mwenyewe alikuja kunitafuta nakuniambia kama usiku amekosa amani na usingizi juu ya pesa zangu. ntangu apo akanilipa Nikamshukuru Allah anajibu. wanyonge wake
Mungu mkubwa
Hadi machoz yamenitoka kweli mungu Mkubwa acha na mm niendelee kumba najua atanijibu mola wangu innshallah
Amiin Amiin Amiin yaraby ❤
😊j
God is good all the time ❤
Napenda sn darsa zako shee wang allah akuifadha inshaalla
Nakupenda sana Sheikh wangu nakudhamini toka 🇰🇪
Allah akupeleke peponi inshalla tuwe sote katika mabustani ya peponi
Allah akupe pia kuwa pamoja na Mtume Swala'Allahu Alaihi Wasallam ndani ya Fildaus
MashaAllah Jazaka Llahuayra Alla akupe umri na mwisho mwema🙏🙏🙏
Shukrani Kwa ujumbe Allah atulinde na mahasid
(Dua ya kuingia msikitin na kutoka msikinitini)
1)dua ya kuingia..... bismillahi wassalaatu wassalaamu Alaa rasuulillahi allahumma ftahalii abewaaba rahmatika
2) yakutoka..... bismillahi wassalaatu wassalaamu Alaa rasuulillahi allahumma inniy as aluka min fadhilika allahumma A'aswiminy minash shaytaani rajiyim. Love you all from 🇰🇪🇰🇪
Mungu akubariki akulinde na shari za usiku na mchana amin
Mashaallah Allah azidi Kukuongoza sheikh othman maalim
Mashaa allah. allah akujaalie kheri shekh
Allah akupe maisha marefu Maalim Othomaan, natamani siku nikuone Wallah
Maa Shaa Allah, nimekufuata kwa faida kutoka Burundi-Bujumbura
Maa shaa Allah
Shekhe wangu umeongea mambo mazuri sana
MashaAllah. Alhamdullillah. Lahaulawalakuwata illabillah.
Shukran 🙌🏽
Mashalah shehe maalimu
Mungu akujalie mema duniani waliakhera
990
@@mukasahamis3033 0pp..,..,.
Shukurn jazzila dua nyingi na nakuombea hai piti siku bila kukutaja♥️♥️♥️♥️♥️ 1/5/2020 ramadhan ya7
Mashallh sheikh wetu mungu akupe umri mrefu jala jalal
Mashaallh shekh allah atakulipa ujira wako kutuelimisha
Masha Allah sheikh Othman maalim ana hekma kubwa sana ALLAH akuepushe na husda.
Mashaallah Allah Akupe kheri nyingi kesho akhera
MashaAllah tabarakaAllah, Allah akuzidishie ilmu uzidi kutuongoza sisi tulopotea
Mashallah Mmungu akuwwke uendele kutupa elim na utukumbushe tuwe na hof ya Mungu inshallah
Masha Allah shekhe Othman maalim
Darasa makhusi,shekhe. Mwenyezi Mungu akupe afya insha allah
Mwenyezi mungu akulipe kheli yarabra aramin
Mashallah Allah kakupa kipaji haki mashallah Allah akuhifadhi yarabi
Amiin yarabalaghalamin
Mashaallah Allah akuhifadhi shekh darasa zako nimafunzo makubwa sana
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akuzidishie umri mlefu uzidi kutupa vitu vizur Aamiin Nas Allah atufanyie wepes iltuyazingatie tupate kuyafanyia kazi mambo ya akhera Aamiin
Allah akujalie mwisho mwema pia akizidishie elmu
Jazzakka llah kheri huyu she namfananisha na swahabha flan nampenda sio kidogo !!! Thanaa
Masha Allah may Allah grant you janatul fardos
Allah akuhifadhi sheikh Othman maalim
Jazakum khairah mungu akupe umri mrefu shekh
Mashallah tunapata faida sana katika khutba zako.mola akujazi yarabi.
Inshaallah allah atujaalie iman zaid shehe allah atujaalie sote mwisho mwema minshaallah
1q
Haya ni mawaidha ya husnul khulq
Shukran mungu akupe wepesi katika maisha yako
Allah akulipe kheri shehe wetu
Swadakta ya shekhe Othman shukran sana
Shekhe akuzishiye Allah kutuogoza mawaidha mazuri sana
Shekhe Othman na kupenda sn. Allah akulipe kheri nyingi sn.
Shukran sheikhe napenda sana dawaa zako Allah akupe ujira usioishaaa
Allah akuweke unapata faida nyiiingi Sana kutoka kwako, asikufishe kabra hajakusahe dhambi zako zoote, yaa Allah msamehe huyu na Mimi pia.
Amin
ma sha Allah jazakallah kher sheikh wetu Allah akupe afya njema akupe umri mrefu Allah akupe mwisho mwema IN SHA siku kam ya leo last Ramadan nikisiliza mawaidha yako sheikh wetu Alhamdulillah
Mashaallah mawaidha mazuri .mwenyezi mungu akuzidishie uwezo na umri mrefu dunian.
maashalah hii ni mawaidha tamu sana 😊
Ramadhan karim❤❤❤❤❤
Amina Amina shekhee wetuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MASHALLAH MAWAIDHA MAZURI ALLAH AKULIPE MEMA
Maashaaaaallah Mungu akupe kheri
Jazakallah kheir Shekh AThman
Inshaaallah shekh Allah akupe umri
Jamani Sheikh Othman.. msikitini kuna vijana wanavaa vivazi siyo vya heshma ya MASJID...Tizameni kitu hichi...
Manshallah shee watu kipenzi mungu akujalie sana
Mwenyewe mtaratiiibu,wala hana haraka mashaallah
Allah.akup mwisho mwema ...
Amina rabra aramin kwetu sote
Ishaalah shekh osmani malimu
Mola atujaliye funga zetu
Mashaallah
shukran san shekhe wetu
Mashallah kwakutuelimisha
May Allah bless you with Jannatu Fidaus Sheikh Othman.
Allah ehaleeq ustadh
May Allah bless you sheikh