Ameen Apostle 🙏 nabarikiwa na maombi haya ,,,,Ahsante MUNGU kwa kupigana Vita yangu Hakika nimewashinda maadui zangu Mimi na familia yangu tukiwa Bukoba🙌
Ameen i connect and i receive me and my family. matatizo na mateso yangu hayatarudi tena katika maisha yangu wala kizazi changu katika jina la Yesu kristo. Vita hii nimeimaliza. Ameeen
Naitwa wema ninamatatizo Sana mchungaji wazazi wangu wanaumwa Mimi biashara aziendi nakatishwa tamaa na wat naomba nisaidie mchungaji nadaiwa mm nashindwa kabisa mwenyewe
Spend time listening to worship songs and reading the word and by spending time you will learn to pray for long and it's not about how long you pray it's how effective you pray
Chief nisaidie baada ya kuiangalia clip hii ilikuwa usiku nianza kuangalia saa nane almost mpka saa kumi ndio nikalala na kufanaya maombi ndio nikalala. Baada yakulala nikaota amekuja MTU Mtoto Mdogo akanipokonya simu yabthamani sana akakimbianilijitahidi kumkimbiza sikufanikiwa na alikutana na walinzi badala wanisaidie alitoa pesa Kwa walinzi na kuendelea kukimbia nilimkimbiza sikumpata, wakati narudi niksema katika njozi Kwa maombi nolioomba na chief nimeokolewa then nikastuka. Nikaota ndoto nyingine nimepewa matunda damu sio yangu lakini nikalala lakini mengine mabovu. Chief nisaidie ndoto hizi zimekuwa zikinisumbua sana.
Emen unanigusa sana mchungaji me ni muisram rkn utafanya niokoke talemwa mungu akubaliki xn unatusaidia wengine tusio elewa neno👏👏🙏🙏🙏
Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana. Nabarikiwa sana na maombi hayà. Yesu niponye.Amina
Mungu akutie nguvu zaid na zaid pastor umenfufua katka mafundisho yako!!
Ameen Apostle 🙏 nabarikiwa na maombi haya ,,,,Ahsante MUNGU kwa kupigana Vita yangu Hakika nimewashinda maadui zangu Mimi na familia yangu tukiwa Bukoba🙌
Mungu azidi kukutumia Apostle be blessed man of God
Ameen napokea a kwajina la YESU aliye hai napokea kwajina la YESU aliye hai
I'am connected with that altar. My lord Yesus save , heal , protect and gaid me in the Yesus name.
Amen
Ubalikiwe Sana Mwajina Wa Baba Yangu Mutalemwa God bless
Ninamshukuru Mungu sana Leo kwa kusikiliza mafundisho haya. Sherehe ni kula na kunywa. Lkn wates wangu watakuwa watashashangaa.
Kweli yesu christo huficha sikuelewa Sasa nimeelewa apostle mungu akubariki
Amen Amen. Be blessed servant of God. Nazidi kubarikiwa na mahubiri.
Nimebarikiwa na mahubiri Asante Yesu kwa ajili ya apostle Mtalemwa
Mimi grace kabigi nimepokea na kubarikiwa sana na mahubiri yako.Mungu Wa mbinguni na azidi kukujaza Roho wake.
This service is for me,Thank You Jesus Christ for your servant Aposte Mtalemwa
Nimebarikiwa na injili asante Yesu kwa njia ya apostle mtalemwa ❤🙏🙏
Be blessed Apostle mtelemwa
Ameen i connect and i receive me and my family. matatizo na mateso yangu hayatarudi tena katika maisha yangu wala kizazi changu katika jina la Yesu kristo. Vita hii nimeimaliza. Ameeen
Ameen Baba chief mafundisho yamenijenga na kunisaidia barikiwa my Father.
Nimepokea mateso ya kwenye familia yangu yamekoma leo kwa jina la
Yesu be blessed
man of the living God
Najisikia fulaha kubwa pale nipo kuoa nasikiliza neno lako mungu awe nawe 💞
NO STRESS💪💪💪🙌🙌🙌🙌💃💃💃💃VITA NI VYA BWANA🔥🙌🔥🙌🔥
Amen Amen mtumishi Ubarikiwe
I love you man of God. U are a blessing to me. God bless you
Amen and amen barikiwa sana
Naomba nguvuu babaa uniombee nipate nguvuu ninaitajii kuifanya kazi ya mungu
Emeni napokea napokea kwajina ra Yesu kiristo emen emen ubarikiwe sana
I received in Jesus name AMEN 👏👏🙌🙌🙌🔥🔥
Ubalikiwe Sana Mwajina Wa Baba Yangu Mutalemwa
Mimi ni amina uko Kenya ❤🙏🙏🙏
Nabarikiwa na kufunguliwa na mafundisho yako saaana
I received in Jesus Christ.Be blessed chief apostle Mtalemwa
Haki nime pata ufunuo kupitia somo hi barikiwa mtumishi wa Mungu
Thanks mtalemwa Kwa ujumbe huu,umenibariki
Napokea ktk jina la yesu kristo
Napokea kwa jina Yesu
Mimj Ester shayo nimebarikiwa sana na mafundisho yako
Mateso yote yaishe kuanzia Leo Mimi na
Familiya yangu kwa damu Yesuu
God bless you apostle
Amen Apostle I receive
Mungu nipikanie amina
Amen I connect
Amen and amen Apostle
Ooo thanks Jesus mateso hayatainuka Tena Mara ya pili
Asante baba angu Chief
I received in the name of Jesus
I receive in the name of Jesus Christ AMEN
Napokeya katika Jina la Yesu
Amen thank you Jesus
Chief Apostle Mtalemwa Dionis 👌👌😂😂 son of Major1
I receive Angles of God protection
I receive protection in Jesus Mighty Name Amen
Amen Ireceve and amen
Chief naomba mwendelezo wa Ile seminar ya vijana
Napokea malaika wa ulinzi kwa Jina la Yesu
I believe to have testimony this week in Jesus name neno limenifungua na kunibariki my God bless you man of God 🙏🙏
Amen in Jesus name I receive
I receive in Jesus Name
Ameeeeeeeen
Ninakunywa Juice 🙏🙏🙏
Amen sana
Amen🙌🙌🙌
nampenda san huyu mtumish n mkwel san
I received
Amen
Error must be corrected MUNGU azidi kukupigania chief
Bwana tutetee
I receive the Hand of God
Ulifundishaaa kitu important sanaa nakumbuka ukiwa unamalizia ulisema Kesho utafundisha tena nasubiria io video baba
I connect and i Receive with my family in the name of JESUS AMEN
Naitwa wema ninamatatizo Sana mchungaji wazazi wangu wanaumwa Mimi biashara aziendi nakatishwa tamaa na wat naomba nisaidie mchungaji nadaiwa mm nashindwa kabisa mwenyewe
Weka number yako hapa
I receive Angles
AMEN 🙏
Ubarikiwe Mtumishi nimepata kitu kikubwa sana hapa.
Aaaaaaaamen
Kutetewa hapo patamo
Chief naomba uachilie nguvu ya maombi kwangu nahitaji kuomba kwa muda mrefu lakini nashindwa baba
Spend time listening to worship songs and reading the word and by spending time you will learn to pray for long and it's not about how long you pray it's how effective you pray
ASANTE MUNGU kwa kumleta mtumishi wako kwetu
NAPOKEA MSAADA KUTOKA JUU
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Chief nisaidie baada ya kuiangalia clip hii ilikuwa usiku nianza kuangalia saa nane almost mpka saa kumi ndio nikalala na kufanaya maombi ndio nikalala. Baada yakulala nikaota amekuja MTU Mtoto Mdogo akanipokonya simu yabthamani sana akakimbianilijitahidi kumkimbiza sikufanikiwa na alikutana na walinzi badala wanisaidie alitoa pesa Kwa walinzi na kuendelea kukimbia nilimkimbiza sikumpata, wakati narudi niksema katika njozi Kwa maombi nolioomba na chief nimeokolewa then nikastuka. Nikaota ndoto nyingine nimepewa matunda damu sio yangu lakini nikalala lakini mengine mabovu. Chief nisaidie ndoto hizi zimekuwa zikinisumbua sana.
Amen
Powerful message
Amen
Amen
Amen Amen
Amen Amen
Amen
Amina.nazidikubarikiwa.kwa.mahubiri.yako
Amen