ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ila viongoz wetu tunaitaji jezi zitoke mapema kabisa tushaini mapema na kuipa saport team yetu kwenye mapato ya jezi ❤yang africans .
Unataka jezi mpya, umeishalipia Kadi yako ada? Kipaumbele ni ada kwanza!
Mungu awape NGUVU wachezaji wetu wapya na wa zamanı awaepushe na shari zatu wabaya🙏🙏🙏🙏
Style aliyo tumia pacome kuingia niwazi kabisa wapinzani watashenyetwa magoli ya kutosha😃💚💚
😂😂😂😂😂😂watachenyetwa
Km umemuona nkane naomba like
@@zeddymourice4249 tutawapiga mpk wajikolee
😂😂😂
😂😂😂🖐️🖐️🖐️🖐️
Nipen hizo like zangu nimekuwa wakwanz kweny comments😂
Like ni za madem bhana🙄
@@emmanuelthomas1078 😂😂pov au we ni kibaraka wa kanjibai🙄
Tulifurahi kumuona denis nkane, Farid na sure boy tuna like hapa💚💚💚💚💚💚
Inatakiwa wachezaji wapya wote wakaribishwe mazoezini kwa ile style yetu ya kucheza mziki mazoezini. Huwa inaleta umoja sana ile.
Ile anaiweza moloko tu
Moloko hayupo ndo sekta yake😂😂😂
Ile style ya kucheza jesus moloko ndo alikua anahamasisha vzuriii aisee😂
Kabisaa but moloko hayupoooo
Skudu pia hayupo
Pacome zouzoua. Safi sana naona unafuraha sana ndani ya wananchi
Abutwalib🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mzizeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Dube wangu nikikuona roho yangu kwantu I LOVE you 😘
Heeee 😅😅 mbn mapema sana
Ila nkane fiamo mdogo wangu, ulipokuwa unahusishwa kwenda mashujaa nawachambuzi wa mchongo nilikuwa kama sielewi hivi
Iyo style ya Nkane aloonyesha kama katoa Code kwamba Beleke yupo Area 😂😂😂 tulosoma Quba weka like ata 2
Pacome, pacome, pacome nimekuita mara tatu daima mbele 🙏🙏
wa kwanza leo😂
Mungu awatangulie naawalinde
Daima mbele, nyuma mwiko.. 💚💚
Mwambie Dube asiogope camera huu kwetu kawaida mda wote😂
Pacome anamizuka😊😅😅😅😅
Clatous chota chama and his fellow
John umesema kweli kabisa wanatakiwa wakalibishwe kwa stair yetu
KILA LA KHERI KWENU NYOTE KAZI NJEMA BARIKIWA SANA
Amazing
All the best❤
Yanga bingwa
Kwa kila hatua Mungu awe pamoja na timu yetu.
Ila Pakome atali
Na Mimi nimecheka sema yupo charming sana adi raha😂😂
JESHI la wanainchi 💚💚💚💚
Amazingly soundtrack
Pacome 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Daima Mbele Nyuma Mwiko💚💚🇹🇿
Waaaoh pacome na bacca
Ah kwanzia hapo Kati Kati ma middle watauana kwenye kugombania namba daah ! Daima mbele nyuma mwiko ! Kila lakher timu yetu
Kibwana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Majeshiiiii yetuuuu🙏🙏
Congratulations my president
Endeleeni kupambana wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi
yanga mnajua sana kuwabrand wachezaji wanaishi kistar sana
Hamna mtu atakaye tuzuiya wananchi😂😂
😂😂😂😂😂 Simba inabidi wazoee Chama bdo walimuhitaji
Good morning Yanga❤
DAH SISI HAOOO❤❤
Apo chama ana mwambia kibwana usisubutu kwenda simba utalishwa maji na shga
Wa nane leo😂
Maandalizi mema Timu yangu ya Yanga tuchukue makombe yote tutakayo shiliki Biidhinila by J.Naldo apa kutoka Bagamoyo wananita CR7❤
We always Green and Yellow 💛 💚
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
Chama la wana hlo daaaaaaaaa
Kila hatua dua💚💛💛
Noma sana
Good all the best my team 🔰🔰💪
Pre season njema wanajeshi wetu
Tuaonjeshwa vinono vilivyoandaliwa na Engineer President Hersi msimu huu. Ukiona vyaelea vimeundwa, lipia kadi yako ada tuyafikie malengo.
Inabidi nianZe kulipa
@@herrysonk.edward609 utakuwa umepiga hatua!
Kwanza Chama mwenyewe ni chiba uoni anavyotembea mguu mmoja mfupi 😂😂😂😂
Kwl shosho mana kuna wa2 wamehenda kupiga picha mapyramid
Hapo ndg zangu ni mauaji matupu
Kazi nzuri sana 💛💛💚💚
Mungu awalinde
Bacca bacca kipenzi chetu tunakukubali mkuu ishi na hiyo namba 4
Mungu ibarki Simba 💪🏻💪🏻💪🏻❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sheikh n🎉🎉🎉🎉
Huyu mzize na Baba Angu Kama wamepishana sana Basi baba kamzidi miaka miwili tu😂
Yanga Africans
Sisi hao
Oyaa Wana dhimba Azizi ki kagoma ku sign si mnaona mazoezn haend amesusa 😅😅😂😂😂😂😂
Farid 🎉🎉🎉🎉
Huu utakua mwaka wenye mafanikio zaid kwa team yetu pamoja na mashabik kwa ujumla dunian kote
🖤💛💚
Chama🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Iyi timu kama ulayaaa vile
Ila Yao yao hizo rangi za viatu kwa kweli hata sizipendi kabisaaaa😅😅😂😂😂
Sure boy🎉🎉🎉🎉
Waooo baka nimekuna nimerhi bado mkude sasa😂😂
Nkane 🎉🎉🎉🎉🎉
Show kaliii
HII yanqa RAHA sanaaa😊😊😊
Ila avic kuzuri maashaallah
Yanga Bingwa ✅
Daima mbele nyuma mwiko
Bacca na pacome masela sana😂😂😂💚💚💚💚
Wananchiiiiiii habar zenu
🔥🔥🔥🔥🔥
Dua tu kila hatua
Faridi tunaomba amuachie chama no 17 plz
mzize hana furaha kbx kila akiwaona dube na baleke
Kwani baleke tyr
Mzize mtu mwingine wew, hata aje nani mzize yupo, yuko faster, anakaba, anaassist anafunga, unasemaj, wote watacheza inategemea mechi
Chama anaanza kunenepa mda sio mrefu😂😂😂
Wakwanza
hguhd hhuyu-p
Kibabage🎉🎉🎉🎉🎉
Duh timu ya kimasikini
Oy supercaptanal❤❤❤❤
Pacome hiyo style😂😂😂
Like hapa chama mguu mmoja mfupi
💚💛💛💚🔥🔥🔥🔥🔥
Nice
Avic ni fulu kila kitu
Kama ulaya tu nipeni mauwa yangu basi
Yan uyu chama sasa mumemfanya kama mungu
Oyaa na TV yetu ikiwa tayari itakuwa poa sana
Max ajachomekea😂😂😂
Ma best player azizi 🗝️ yupo wapi
Avic kama ulaya tu