Exclusive Diamond akiwa na Rolls royce mose iyobo Afichua sio feki ni jipya kabisa mtaa kwa mtaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 150

  • @lusekelocharles8066
    @lusekelocharles8066 3 ปีที่แล้ว +36

    Mtangazaji kazi nzuri umefanya hakika diamond amekuona na huwa anapenda vijana kama wewe mtafutaji muhangaikaji atakuchukua

    • @ismailkunambi2264
      @ismailkunambi2264 3 ปีที่แล้ว +1

      Simba fanya yako achana na hayo maneno ya wanao kuonea wivu shusha nyingine waumie zaidi

    • @ismailkunambi2264
      @ismailkunambi2264 3 ปีที่แล้ว +2

      Nawashangaa sana wasanii wengine yaani hovyo sana kwnn hawapendi maendeleo ya wasanii wenzao!!

    • @aizakhabib6373
      @aizakhabib6373 3 ปีที่แล้ว

      @@ismailkunambi2264 Na wewe mjinga nani anamuoneya wivu mjinga sana wewe .Iti simba shusha nyegine waumiye zaidi .Shusha na wewe yako uwaumize watu siyo unamwambiya ashushe yeye na wewe yako iko wapi

    • @chizashungu1236
      @chizashungu1236 3 ปีที่แล้ว

      Mtangazaji yupo vzr sana.

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว +23

    Mashallah aliye pewa kapewa Mungu anampa amtakaye tena kwa wakati alompangia hongera sana Naseeb

  • @estomihkimambo1698
    @estomihkimambo1698 3 ปีที่แล้ว +9

    Platnum Heshima Sana Kwako

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 3 ปีที่แล้ว +1

    Motivation and inspire nakubari ni kujituma tu kila kitu kinawezekana hongera zana Daimond platnumz

  • @aishambise6529
    @aishambise6529 3 ปีที่แล้ว +12

    Mwenye jeuri Kama Simba ajitokeze nae watizi wako na kiwaru. Sn watu hawalali Leo watoe jasho simba myama

  • @maduhumaduh1005
    @maduhumaduh1005 3 ปีที่แล้ว +16

    Tajiri mtoto wanyoooshe wakala manenomaneno haya sasa kazi kwao

    • @aizakhabib6373
      @aizakhabib6373 3 ปีที่แล้ว

      Na wewe piya na nahisi kakonyoosha

    • @emmanuelcharles8919
      @emmanuelcharles8919 3 ปีที่แล้ว

      Mimi ni mbishi lakini nimekubali huyo sio tajiri huyo ni fogo

    • @mariamibrahim3162
      @mariamibrahim3162 3 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelcharles8919 sadala amenunuw gari kubwa duu upande wapilibwanasemaaj

  • @valeriachipeta774
    @valeriachipeta774 3 ปีที่แล้ว +13

    Dah!! Chibu umejua kututoa kimasomaso hongera baba kusema ukwel hata mm nKuonea wivu

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ambarikiye atupe n'a Sisi ishaallah wakae hapo tu Hao wakichafua Yale ambayo hawatoweza kuyafikia

    • @afiqmohammad8495
      @afiqmohammad8495 3 ปีที่แล้ว

      Siopo...??

    • @sakinaabdallah7713
      @sakinaabdallah7713 3 ปีที่แล้ว

      @@afiqmohammad8495 what do you mean siopo

    • @afiqmohammad8495
      @afiqmohammad8495 3 ปีที่แล้ว

      @@sakinaabdallah7713 ulitakiwa umaliziE HUU USEM I KWA KUSEMA SIOP0A..

    • @sakinaabdallah7713
      @sakinaabdallah7713 3 ปีที่แล้ว +1

      @@afiqmohammad8495 ah ok Siku mind thanks you

  • @timothyrutto4994
    @timothyrutto4994 2 ปีที่แล้ว +1

    I love you Diamond

  • @edinaedson2890
    @edinaedson2890 3 ปีที่แล้ว +7

    Hilo jembe jamani Simba Simba haswa

  • @vansclassic2131
    @vansclassic2131 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah!!! Sifa za dunia endeleeni baba ..... From 🇲🇿

  • @mejamiela1605
    @mejamiela1605 3 ปีที่แล้ว +6

    Aisee kizaz sana

  • @kaburaakbar7069
    @kaburaakbar7069 3 ปีที่แล้ว +4

    Simbaaaa

  • @abdoulayesow6982
    @abdoulayesow6982 3 ปีที่แล้ว +2

    Simbaa the boss

  • @vikimartin9441
    @vikimartin9441 3 ปีที่แล้ว +2

    Maisha ni safari ishi upendavyo

  • @bobuchunda3100
    @bobuchunda3100 3 ปีที่แล้ว +2

    nakukubali kaka

  • @jackstar508
    @jackstar508 3 ปีที่แล้ว +2

    Niunyama

  • @twayzo12
    @twayzo12 3 ปีที่แล้ว +12

    Anaesema feki ya kwake iko wapi??

    • @habbydaimu5313
      @habbydaimu5313 3 ปีที่แล้ว +2

      Huyo anaengea yy ndiyo fek mpk mawazo akili zake zote fek baskel huna watakushindana na aliyenacho akili fek

    • @habbydaimu5313
      @habbydaimu5313 3 ปีที่แล้ว +1

      Wakomeshe mond jmn mond hebu nitafute mie msma yako naumia vile ukiongelewa vby hujuii tuu

    • @habbydaimu5313
      @habbydaimu5313 3 ปีที่แล้ว +2

      Tawala mwanangu jasho lako hiloo kila mwenye macho hai anaona

    • @habbydaimu5313
      @habbydaimu5313 3 ปีที่แล้ว +2

      Midomo shuuuuuuu km ushuuuuuuu

    • @florakabadoelkana6764
      @florakabadoelkana6764 3 ปีที่แล้ว

      Kweli dua la kuku halimpati mwewe kha

  • @williammandela3780
    @williammandela3780 3 ปีที่แล้ว

    yani ndugu zetu majirani wetu tuna washanga sana mjazoea kuona vitu kama hiziwakati ni hali ya kawaida kwetu

  • @esauedison8136
    @esauedison8136 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatr

  • @sudaisperfect5990
    @sudaisperfect5990 3 ปีที่แล้ว +7

    Mtaa kwa mtAa

    • @habbydaimu5313
      @habbydaimu5313 3 ปีที่แล้ว +1

      Kamata midomo kamata pua kamata akili mbovu kamata wasojielewa kamataa wenye wivu kamataa mtakamatika tuu mwaka huuuu

    • @sudaisperfect5990
      @sudaisperfect5990 3 ปีที่แล้ว

      Wape Salam zaO waambie wasiO mpendA kaja kivingine kabsA

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 3 ปีที่แล้ว +2

    Sahii enunua tinga tinga la kuboul

  • @zabronboniphac572
    @zabronboniphac572 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @hajimassawe2592
    @hajimassawe2592 3 ปีที่แล้ว +1

    Big Boss

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 3 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo foleni amfiki mbali iz ni za ulaya bongo sio

  • @pillyolsen8377
    @pillyolsen8377 3 ปีที่แล้ว +8

    Mnawakomesha wale wambea wasiopenda maendeleo ya watu🤣🤣🤣😀

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 ปีที่แล้ว +1

    Anayesema kuna Rolls Royce deuk lazima apelekwe Mirembe akapimwe akili..

  • @kngshassan5202
    @kngshassan5202 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mfano angepata na ile tuzo mji ungakuaje kwa kweli watu wangelilala kweli.

  • @josephihonde8125
    @josephihonde8125 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama umemwona Mond kapiga Salute gonga like,,

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 3 ปีที่แล้ว

    Kuwa na bidii na kazi siyo majungu na wivu

  • @ramadhanyange8957
    @ramadhanyange8957 3 ปีที่แล้ว

    Yupo wap mwijaku kimyaaaa

  • @julessebintu6525
    @julessebintu6525 3 ปีที่แล้ว +5

    ushamba sanaaa

    • @leganmwambona3881
      @leganmwambona3881 3 ปีที่แล้ว +2

      We ndo mshamba huna hela mwenye hela hajawah kua mshamba ila wew huna akil

    • @asmajamani2967
      @asmajamani2967 3 ปีที่แล้ว +2

      @@leganmwambona3881 sijui kwann wasio na pesa wanakuwa na hasira kama wajawazito jmn

    • @julessebintu6525
      @julessebintu6525 3 ปีที่แล้ว

      @@leganmwambona3881 usinifananisha na uyo mushamba wenu.wa Tanzania wengi hamujatembea muoni gisi dunia inaenda kasi njomana munabaki hapo hapo mukizani dunia ni Tanzania. Mi si mushamba kama uyo takataka wenu wakubadanganya

    • @asmajamani2967
      @asmajamani2967 3 ปีที่แล้ว

      @@julessebintu6525 ww mwenyew takataka vile vile Sawa ss watanzania washamba ww in mnani maana Kiswahili chako kimenyooka au unataka kuukataa uwasilia wako ??

    • @julessebintu6525
      @julessebintu6525 3 ปีที่แล้ว

      @@asmajamani2967 mi si mutanzania lakini naipenda Tanzania. Uyo mushamba alikuja Montréal bikamushinda kuimba live. Alikiba akajaa akatupugia mziki wa kimataifa nikajuwa kwamba domo iko fake

  • @phillyshigi6865
    @phillyshigi6865 3 ปีที่แล้ว +1

    Kinyamwezi

  • @BONGOLEO
    @BONGOLEO 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni mtangazaji au shabiki

  • @abdultabris3441
    @abdultabris3441 3 ปีที่แล้ว

    Simba noma wataisoma hao

  • @antidiusmartin4654
    @antidiusmartin4654 2 ปีที่แล้ว

    Niyeye ✔

  • @wangonamuhange8218
    @wangonamuhange8218 3 ปีที่แล้ว +1

    Ghafla atokee mtu aipige mawe avunjevunje iyo wee mondi atakufa na huyo jamaa atakufa misiba 2

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 3 ปีที่แล้ว +1

    Mara paap Mwenye Boda kaichuna 😂😂😂😂

  • @maryammagembe5553
    @maryammagembe5553 3 ปีที่แล้ว

    Hizo utaziacha hapa duniani ni bora umuombe mwenyezi mungu kwa wakati huu

    • @godfreymbambe6834
      @godfreymbambe6834 3 ปีที่แล้ว +1

      Pambania maisha acha wivu na vijimaneno vyako vya mkosaji.tumekuja duniani tufurahie maisha tuondoke.

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 3 ปีที่แล้ว

    Mdomo nyumba ya maneno tuuu

  • @jamesobachi808
    @jamesobachi808 3 ปีที่แล้ว

    Waau

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 3 ปีที่แล้ว

    kwawale wapigarangi zamagari yakifahari mnasemaje?

  • @zena_glamshow9808
    @zena_glamshow9808 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji unatangaza na raa kama ambae ni babako kanunua😂😂😂

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimupya naona mange anawivu namukumbari leo apana tusemekweri mange semakweri

  • @nduwayezugerard9938
    @nduwayezugerard9938 3 ปีที่แล้ว

    jamani mond nisaidie

  • @mathewjohn8740
    @mathewjohn8740 3 ปีที่แล้ว +1

    "Mswahili akipata kila mtu atajua" nimenukuu msemo wa wahenga. Hivi matajili wote ndivyo wanavyofanya hivi?

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 3 ปีที่แล้ว

      Huyo ni msanii na wasanii asilimia kubwa ndo wapo hivyo hapo ni wao watangazaji kumfuata mbona watu kibao wana magari lkn why huyo mwandishi aone ya mond tu

  • @shebbyabisai2901
    @shebbyabisai2901 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumba

  • @dfinalpatrick8555
    @dfinalpatrick8555 3 ปีที่แล้ว +1

    Dable nini vile

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 3 ปีที่แล้ว

    tunaika Bentley haraka sana

  • @NM-yl2uw
    @NM-yl2uw 3 ปีที่แล้ว

    sio double L ni double R

  • @youtub8320
    @youtub8320 3 ปีที่แล้ว

    Alikiba hapendi magali ahahahaaa

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 3 ปีที่แล้ว

    Gari fake ipoje matairi yamepasuka au sterlingwheel ipo Kati

  • @fasterdeule9668
    @fasterdeule9668 3 ปีที่แล้ว

    We fala sio rose loysi kama unavyoitamka unadhan gari ya mpinga iyo tamka vyema rolly Royce kama jina la gari sijui umepataje kazi na unamfata msanii mkubwa ivyo

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 3 ปีที่แล้ว

    Kweri ni bilionea

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 3 ปีที่แล้ว

    Mose ebo ameniudh ameshindwa kumpa ushirikiano mtangazaji

  • @christinealuoch39
    @christinealuoch39 3 ปีที่แล้ว +4

    Ame lipwa ndio aseme hivyo,gari hiyo ni feki

    • @joaojoao5501
      @joaojoao5501 3 ปีที่แล้ว

      Mama yako no fiki

    • @babylonyNgwembe
      @babylonyNgwembe 3 ปีที่แล้ว

      NONGWA MBAYA CHUPI ULIYO VAA IMETOBOKA

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 3 ปีที่แล้ว

    Kafunika watu kimyaa

  • @cavernacaverna3812
    @cavernacaverna3812 3 ปีที่แล้ว

    Kkk pena desse cão a pobreza lhe mata esse caralho, uyu ni mshamba sisi wa Mozambique ninmwona kuwa mshamba tu ana shoshote

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 3 ปีที่แล้ว +1

    Double RR fala wewe sio LL

    • @evanskatunzi6729
      @evanskatunzi6729 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @khadijazinga2114
    @khadijazinga2114 3 ปีที่แล้ว +1

    Huu ss ushamba, magari ni kawaida tu ila izo showoff niushamba

  • @nassabtransportation7024
    @nassabtransportation7024 3 ปีที่แล้ว

    mitumba ya watoto wakifalme wa kiarabu Emirates bei zakutupa

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 3 ปีที่แล้ว

    Utajiri wote huo mzee abdul.anashida mpaka kopeni it's a big shame on you Mr rich indeed

    • @HansBwoi
      @HansBwoi 3 ปีที่แล้ว

      Mzee Abdul kamfanya ndondocha

  • @zashairbathandbody2009
    @zashairbathandbody2009 3 ปีที่แล้ว

    Acheni ujinga ni fake, 2021 roll royce hamna wala hiyo rangi hiyo, make sure if want to fool your nation by buying fake car atleast make sure its done properly. Just because davido bought roll royce cullan nawe nae ati umenunua, what you dont understand these ppl been in tbe game longer than you and beside they speak and sing in English as well

    • @mahamoud2861
      @mahamoud2861 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha ulimbukeni ww..RR fake unaitoa wp??Ulimuona nayo nani??hyo nike tu watu wa copy wakikukamata china ni issue sembuse RR...n about the colour u r too way wrong coz hata ukigoogle to utaona RR Cullin ya blue...na hiyo ni Black badge so its even the latest model of Cullinun RR...Do u even kno how many Pieces do the RR company produce a year???Ikiwa Land cruiser fake hamna hyo RR utaitoa wp?Tafuta pesa

    • @steveomondi4034
      @steveomondi4034 3 ปีที่แล้ว

      Hahaha, mshamba wewe!!

  • @msafwawaitende5178
    @msafwawaitende5178 3 ปีที่แล้ว +15

    Huyu msenge hela anayo🙆🙆,kijana wa kitanzania aliyefanikiwa kwa juhudi zake.

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 3 ปีที่แล้ว

      Tena anastahili kupewa Hongera, kufanikiwa Sio lazima uwe Mwanasiasa fisadi, Mubaji wa kodi hela za wanachi wanyonge, kwa Sasa wanasias Mafisadi, wapiga Dili hawa Market wamepitwa na wakati, kwa Sasa ni wapambanaji kama Mfano wa Diamond Platnumz, nyota ya Tanzania na Africa, Hongera Diamond Mwana wa Africa, Mpambanaji, unakula na kufurahia Matunda ya Jasho lako

  • @jordplatnumz
    @jordplatnumz 3 ปีที่แล้ว +17

    Mpaka mseme kwann mlimuita sadala 😂😂😂😂

    • @kipletumba5781
      @kipletumba5781 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha na kayagiza mengine ujue hahaha

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 3 ปีที่แล้ว +11

    Hawo wanaotaka kumchafua diamond kua Royce Yake ni Fake wambie wende geogle ni ya kweli kabisa

  • @kpthemaster4916
    @kpthemaster4916 3 ปีที่แล้ว +11

    Aiseee mtangazaji Unapenda kazi yako,Mungu akubariki sana.Unaingia mtaani Exclusive unatuletea haijalishi umbali gan.pamoja sana

    • @ayubusosthene1547
      @ayubusosthene1547 3 ปีที่แล้ว

      TZ simbaaa to akuna mwingine mungu akubariki wewe nunua feki sisi tuko nawewe simbaaa

  • @vikimartin9441
    @vikimartin9441 3 ปีที่แล้ว +7

    Mwache mungu aitwe Mungu.na anapombariki mtu hakina anaeweza kuzuia BARAKA zake zisimfikoe,iwe feki au og.kelele za nini? Ndio kashanunua kuna anaeugua? Mond! Fanya kinachokupa furaha hizo vuvuzela zitatafuta uwanja wakupigia kelele zao,

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 3 ปีที่แล้ว +5

    Angekua mwengine na intewiew hamngefanya simba mtu mzuli

  • @piraabdulemede1914
    @piraabdulemede1914 3 ปีที่แล้ว +7

    Ivi nikuel?🙂🔥🔥🔥🔥💣

  • @piusbille3905
    @piusbille3905 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Mwamba Diamond kajuwa kutu heshimisha Sana sisi watu weusi haya magar tulizoea kuona wana endesha waarabu big up Diamond

  • @matokeocomedytv4550
    @matokeocomedytv4550 3 ปีที่แล้ว +2

    Watu bhna feki ww unayo kipindi ajulikan mulimuona makande muachenj aponde vyake maana kaxota xan ngendele nyinyi eti male yuko fremason nenda na ww mzee baba zidi kuxhuxha vitu

  • @kngshassan5202
    @kngshassan5202 3 ปีที่แล้ว +3

    Kila kitu M/mungu hufanya kwa mipango yake

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 3 ปีที่แล้ว +3

    Kakufungia kiooo

    • @rehemaiddsalehe52
      @rehemaiddsalehe52 3 ปีที่แล้ว

      Bila taarifa unakurupuka kuhoji alafu barabarani inategemea nini ingekuwa marekani unalipishwa fain unaleta hatar barabarani

  • @salumulongwa9461
    @salumulongwa9461 3 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏👏🙌

  • @pascoboy2106
    @pascoboy2106 3 ปีที่แล้ว +1

    Wambea watakunya kwawivu🤣

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +3

    🚘🚘🚘💎💎💎

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 3 ปีที่แล้ว +2

    Oyoooi

  • @asharamussayasni7481
    @asharamussayasni7481 3 ปีที่แล้ว

    Aisee mtangazaji uko sawa umetisha Sana duuh ongera sana

  • @memoryplus8046
    @memoryplus8046 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa anapenda masifa ya kijinga uyo. Daah !

  • @yohanaikaya6218
    @yohanaikaya6218 3 ปีที่แล้ว +1

    Huwa yanaungua moto wakifa hayo shauli yenu

  • @erastonyonierastonyoni1193
    @erastonyonierastonyoni1193 3 ปีที่แล้ว +1

    Kakufungia kioo maskini

  • @kngshassan5202
    @kngshassan5202 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mfano angepata na ile tuzo mji ungakuaje kwa kweli watu wangelilala kweli.

    • @مسدمصطفى
      @مسدمصطفى 3 ปีที่แล้ว

      Remember that is a car not sofas or furniture must stay in the house. Car=Road=Show Off. PERIOD

    • @sakinaabdallah7713
      @sakinaabdallah7713 3 ปีที่แล้ว +1

      Listen hiyo tunzo si kama ndio mwisho wa dunia, kwani kupata ni majaaliwa, kukosa ndo kilimwengu iwapo hajaipata leo ataipata kesho lakini kinachotuudhi ,ni watanzania wenzetu kufurahia vile mtu wa nje kachukua tunzo hiyo ndio inamfanya chibu Léo afanye hayo yote si haki iwapo mtanzania mwenzetu Ana kwenda katika mshindano yakugombania chochote tusimame nyuma Yake tumeumia kweli kwa yaliyofanyika but hatuna budi

  • @diclopar4687
    @diclopar4687 3 ปีที่แล้ว

    Cheki youtube yc mbeya kicheche

  • @kelvinnkoma8130
    @kelvinnkoma8130 3 ปีที่แล้ว

    Akuna kama wewe mnyama 👋👋👋👋🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

  • @mkwawaaziz6295
    @mkwawaaziz6295 3 ปีที่แล้ว

    Rangi yake tu ndio sjaelewa

  • @oscarshaggy5110
    @oscarshaggy5110 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unatangaz na hujui tofauti kati YA double R na L,,Sema suu

  • @credo7837
    @credo7837 3 ปีที่แล้ว

    Atazikwa nazo au

  • @isihakakipacha8281
    @isihakakipacha8281 3 ปีที่แล้ว

    Ushamba huoooooo

  • @selemanichiga5828
    @selemanichiga5828 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbona simsikii @Allikiba akitoa jina jingine kwa Simba.

    • @yohanaikaya6218
      @yohanaikaya6218 3 ปีที่แล้ว

      Mfalme hashindanii magari Ila tuwashindanishe kwa music mzuri ,we unajua anayatoa wapi je! kama mwenzio anahongwa huko majuu wewe una shindanishaje na mwingine kuhusu gari ,hata Lady Jaydee aliwahi kutamba na gari Kali kuliko wasanii woote bongo unashangaa hii na je!mfalme akija na helrcopter mtamshangilia?

    • @selemanichiga5828
      @selemanichiga5828 3 ปีที่แล้ว

      @@yohanaikaya6218 mziki mzuri ni ule unaofika mahala usika ..xaxa kati ya mziki wa kiba na mziki wa Simba upi upo juu ya mwenzake ?...

    • @gizakazeno1688
      @gizakazeno1688 3 ปีที่แล้ว +1

      @@selemanichiga5828 simba anatisha kwa kila kitu

  • @chuimusictz8387
    @chuimusictz8387 3 ปีที่แล้ว

    Bless

  • @Puxladen
    @Puxladen 3 ปีที่แล้ว +3

    watz washamba WA magari aiseee..duh..🤔🤔

    • @HansBwoi
      @HansBwoi 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeona eeh huku Los angels magali kama baskeli kuna zaidi ya hilo hatu shangai wala nini

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwisho utaanguka

  • @aizakhabib6373
    @aizakhabib6373 3 ปีที่แล้ว

    Yani waswhili wakipata basi watajifnya mapozi mengi musiwe hivo sawa japo mnaendesha magari hayo lakini musiwaone wenzenu kama mavi musiwe hivo .Kama huyo diamond kujifungiya viyo utafikiri uko chumbani na mkeo sasa kama ulikuwa hutaki kuonana na watu basi ungetuliya nyumbani upike lakini umetoka usiwe na dharau kama hizo watu wanataka kuongeya na wewe unaleta nyodo .Lakini sishangai waswahili ndo mulivo mukipata makaliyo huliya mbwata .Usiwe na dharau huwo ni ujinga siyo peke yako ndo unapesa .Acha dharau . MJINGA MKUBWA.Unajiona kama almasi na wakati Ulikuw unaishi karibu na jaa la taka sahivi ndo unajiyona gold huwo ni ulimbukeni .👎🏿👎🏿👎🏿👎🏿👎🏿👎🏿

    • @Moon-rp5tm
      @Moon-rp5tm 3 ปีที่แล้ว

      👿

    • @Moon-rp5tm
      @Moon-rp5tm 3 ปีที่แล้ว +1

      Me napita tu mzee

    • @aizakhabib6373
      @aizakhabib6373 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Moon-rp5tm Aha samahani sijajuwa .My friend 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @mohdsaid2917
      @mohdsaid2917 3 ปีที่แล้ว

      Wabongo wacheni ushamba na kujionesha gali gn iyo ya kukufanyeni mchanganikiwe