Kimya x Kalapina x Gwalu BeeF Kikosi cha Mizinga (Prod by Kimya 2000somn)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Beef track released in the early 2000's by Kikosi cha Mizinga versus Bongo flava artists at the time. Colossal beef followed and it was the beginning of a musical revolution in Dar es Salaam, Kinondoni, Block 41. Kikosi cha Mizinga.
Baada ya interview ya efm-jabir.
oi huyu jamaa Kimya amemdisi mpaka bro wake au nimesikia vbaya 😂
🔥🔥🔥
Kipindi hiki ilikuwa rafu sana!! This was the best shit to hit the road! I remember hearing this in Slipway!! IYKYK
Kweli kabisa... Realt Talk..
Noma
Ngoma inogilee kikosi.
Kalapina MFALME
HII ILIKUWA NOMA SANA, MAPINDUZI MLIO LETA YATAISHI MILELE
Eeeh bwana huyu GWALU yukogo wapi sikuiziiii wana
Gwalu ako wilaya za mbali uko kazini...
Kikosi nomaaa
cha Mizinga!!!! 💪🏼💯
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥 🔥 🔥🔥🔥
Kama huwezi Shari title huwezi kuchukua!
Oi oi oi, Kimya ni Mizinga soldier.
MTAFUTE KAZI YA KUFANYA KAMA UBABE IWE UBABE LAKINI MZIKI MA BRO UMEWAACHA
Mzee vipi mbona povu hii nyimbo ni ya zamani kipindi cha beef ya Kikosi na hao baadhi ya wasanii waliyowataja kwenye hii nyimbo
Usichokijua sawa na usiku wa giza ujui chct khs kikos,kacheze na type yako,hizi sound kipindi zinatengenezwa bado ulikuwa dogo sn kwa hiyo ujui chcht kile,tuachie sisi tuliokuwepo bab
hii ngoma imetengezwa 2006 na sio 2000
imeandikwa Mwaka wa elfu mbiuli na kitu.. me ndio producer alieproduce hio kazi.
@@mistamiyaki yes nakubali ndo mana nasema sio 2000 kamili mana mwaka 2000 kamili wasanii kama wakina fid q babu wakitaa hawakuwepo kwenye map ambao mmewataja humu hii ni around 2005's mana hata haouse og music ndo ilikuwa inatesa sana kipindi hichi
@@mbesherejoh4219 Ebu jiulize mimi kama Mkenya na mgeni kwenu, niliwajulia wapi kaka? Sema ulikua huwajui wewe, sio hawakuwepo kwenye map. kwani walianzia wapi? juu au?
@@mistamiyaki hahha pole sana bruv Profesor Jay wakati anatoa album yake ya pili 2001 na yake Pili na ya kwanza kama solo 9MACHOZI JASHO NA DAMU) Fid Q alikuwa kwao Mwanza Fid amekuja dar 2002 tena aliletwa na wakina ajuma nature na akashirikishwa kwenye wimbo wa ukweli na uwazi wa wachuja nafaka ila 2003 Fid alikuwa na kundi moja linaitwa amachizi flani wa hatari amblo alikuwa yeye,Geez Mbovu,Quuzeer,nA MAPACHA MAGENEGE, 2003 NDO ANATOA HUYU NA YULE we ubishavyoBISHA UBISHAVYO ILa HII NGOMA HAIJATENGEZWA MWAKA 2000 BaLI 2005's KWENDA MBELe
@@mbesherejoh4219 Mimi sibishi. Bali mimi ndie mtengenezaje yaani producer wa Kikosi cha Mizinga, na Fid Q, Babu, na wote wengine waliotajwa humu ndani walikua na uhusiano flani na sisi, ambapo Beef ilipotokea waliguswa. later homie. tafuta mwingine wa kuargue naye. Peace.
KINACHO WA BEBA NYINYI NI UBABA ILA MZIKI MNA UPENDA AU WAPENDI KWANZA HAMNA MADINI