Kikosi Cha Mizinga - Hip-Hop Bila Madawa feat Wanaharakati
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- In 2008 Kikosi Cha Mizinga and A collective of Hip-hop artists, including AfreeCan RAGE, Imam Abbas, Rado, Serious Manizzle, Mansu-Li, Lufu and Kimbunga Mchawi from Tanzania, took the initiative to oppose misconceptions of hip-hop and its relation to drugs and violence. The message here, 'Hip-hop is possible without drug use'
nawaelewa awa masela bhn 2024
Hip hop shoka la kikosi cha mizinga. Manyoka mtanyooka kila kitu mnamoka! Sumalago umetishaaaa bro.
Heshima Kwa Wote Waliohusika Humu Kuishi Ni Kuacha Alama Chanya Na Alama Hio Mmeiacha Siku Zote Za Maisha Ya Watakaokuja Yes Inawezekana ✊🏾
HIP HOP daaaah hii Ngoma Kali sana aiseeeeee kuna jamaaa wamepita na Ngelii ni nomaaaaaa
Kama upo leo hapa gonga like hip hop bila dawa za kulezya
hip hop without drugs is possible 👏🏻👏🏻🔥
Sema tu hapana!
Punchline Kibao pia niliikubali...Classic bado mwaka ni 2020
Big up Kikosi Cha Mizinga
Hip hop bila madawa inawezekana.
Mungu ajalie nguvu na uwezo
Kazi ya msanii kujenga, hip hop ya kweli kikosi.
Salute kwa Man suli
Hatari sana wanahip hop unganeni mfanye madubwana kama haya been long time
💯💯🔥🔥i miss the old tz RAP
Harakatiiii big up bro
Hili wimbo kubwa lao lina UJUMBE MZURI SANA .ASANTE PINA.
Baada ya kusikia kifo cha DMX imenibidi kuisikiliza Tena hii collaboration ya KARNE
Kweli kk
Say No to Hip Hop Drugs❌🚫
Hili goma langu Bora zaidi muda wote.
Real hip hop
Loving the vibe on this Track, keep it on fire!
Kalama Mungu akubariki sana
Hip hop for forever stop drungs more love good song hip hop bila madawa
Yes mabrathes
Hip hop for life
Rado mzee wa usiulize man sul
Hip Hop at its best!🔥
Daah kweli Harakati kitambo, yani leo ndio mirabaha imeanza na watu angalau wameanza kulipwa.
Najua wapo watakaochukia,
Hapa hakuna kulingana!
one love pina
Harakati zinaendelea..............
#inawezekana haijashindikana inawezekana
Kalapina 👏👏👏
Really appreciate good music
kalapina x Imam Abbas x Mansu-Li x kimbunga mchawi
ha ha ha that shit took me back. Big man Rage doing his ting
Miss this times
Waliotajwa humu walikua wanaruka ruka wee mwisho wa siku wote wakajulikana wanatumia madawa, Ngwair, Nako 2 Nako, Langa, Ray C etc
Aya kamanda was kikos
Hp hop imezam pina lud tena we ndio utailudish kam vip uwatafute wachanga uwainuwe we uwe km boss ata me nilipend hp hp kw ajili yk
Hii nyimbo haichuji kiukweli
Inawezekana
🔥🔥🔥🔥
Hii video mpya nini mbona wazeheka wote
Kala shoga
Kimbunga
Uhakika
@RADO
Og
pia hip-hop bila madem inawezekana
Labda ukiwa shoga! Manake wanawake hao wanazaa wanaharakati kila siku. Dada zetu, mama zetu na madem wetu ni malkia, tunawahitaji sana, kila sehemu ya maisha
😜😜
@@AfreeCanRAGE fact