Binafsi ninampongeza Mwabukusi kwa kushinda vikwazo na vizingiti ambavyo aliwekewa kabla ya uchaguzi pili ninampongeza kwakushinda uchaguzi na kuwa Rais ninamuonbea tunge wapata watu wenye dhamila ya dhati na majasili nchi hii ingesha jikomboa
Mwabukusi upo wasaf tuko pamoja hatukuachi tunakufatilia tunashukuru wasafi muendelee kutuletea watu mhimu kama hawa watetewahaki wanajali sana wanyoge ila msituletee watu wa jjm siwatak hata kwasum
Media ina paswa kuwa hivi sasa... Good job wasafi
Hongereni sana wasafiii jitahidini Kila siku muandae vipindi vya namna hiii, mtachangia pakubwa kutengeneza awareness kwa jamii
A Law is a parrt of our daily life. Mwabukusi.✌️
Wasafi mmefanya jambo jema kutuletea Jembe namkubali sana Mwabukusi
Wasafi nmeanza kuwaelewa ..big up snaa
Yaani waandishi hamfanyi research kabla ya kuuliza maswali
Naomba kwenye Jana na leo aletwe tundu lisu siku moja wasikilizaji tutafurahi sana
Binafsi ninampongeza Mwabukusi kwa kushinda vikwazo na vizingiti ambavyo aliwekewa kabla ya uchaguzi pili ninampongeza kwakushinda uchaguzi na kuwa Rais ninamuonbea tunge wapata watu wenye dhamila ya dhati na majasili nchi hii ingesha jikomboa
Wasafi mtapata watu zaid na zaid, mnanifurahisha sana siku hizi.
Nimeipenda iyo nyimbo ya baba levo
hapo mmeanza kutenda haki
Mwabukusi upo wasaf tuko pamoja hatukuachi tunakufatilia tunashukuru wasafi muendelee kutuletea watu mhimu kama hawa watetewahaki wanajali sana wanyoge ila msituletee watu wa jjm siwatak hata kwasum
Namba yake tunashida naye wafanyakaz wa mgod wa cat
Adijaa mzeee😂
Adija mzee bado kijana😂
nakipenda hiki kipindi
Tuko pamoja mwanzo mpaka mwisho
Wafanyakaz mugod wa cat wanahitaji msaada wako wakixheria