Ndiyo lakini pia inategemeana na hali ya hewa na umri wa mmea kumbuka lita 10 kwa siku ni sawa na kidedea kimoja tu. Kama umewahi lima sehemu za joto lita kumi ni maji kidogo sana kwa matikiti maji. Hata hivyo ni ushauri tu siyo lazima kuufata
Pole lakini sikiliza kwa makini nimesema ukikosa can unaweza weka npk au mojawapo nadhani matumizi ya can hayana utofauti sana na npk sema npk ina virutubisho vitatu kwa uwiano sawa. Kama kuna kitu unaelewa pia karibu tushare elimu ni pana. Karibu sana.
Kazi nzurii ... Somo limeelewekaa
Kazi nzuri sana, maelezo dhabiti ambayo hayana ubabaishaji
Hahahaa thanks
Kazi nzuri sana
Asante sana
Nimefuri sana Kwa Somo zuri
Asante karibu sana
Asante sana karibu sana
Maji lita kumi kwa sku😂😂😂
Ndiyo lakini pia inategemeana na hali ya hewa na umri wa mmea kumbuka lita 10 kwa siku ni sawa na kidedea kimoja tu. Kama umewahi lima sehemu za joto lita kumi ni maji kidogo sana kwa matikiti maji. Hata hivyo ni ushauri tu siyo lazima kuufata
Notes ✍️
Hapo sijaelewa kabisa kwamba inatangulia mbolea ya CAN then NPK