Video nzuri sana, ila sjui kwanini tunapozungumzia Eid, moja kwa moja idea ya video inakuja kukakaa katika nyumba kali, ila wengi wanaopenda kazi zenu wapo katika maisha ya kawaida, tunaweza kuwaonesha mazingira ya kawaida tu yanayotuhusu sisi. na kutafta production kali mfano ya hii.
Mashaallah mpo juu❤
Mashallah mashallah kazi nzur sana nimeipenda mola awazidishie vipaj
Mashaa Allah 🥰
Asante Kwa swidar mungu atu barik Kwa pamoja
Ndiooooooo
Safi sana mwamb nakukubali
Nzuriii san
MASHALLAH EID NASHID NZURI KABISA HONGERA!
Kazi mashaallah
Kazi nzuri sana Ndugu zangu hii corus Ajem yakibabe
Umechukua kijiti QASWIDA no 1 ya EID kwa mwaka huuu ni yako 🔥🙌💯♥️ Mwalimu kazi kubwa sanaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Kali sana mkuu
kazi nzuri
Bravo 👍
Masha allah masha allah kazi imesimama vyema
Hongera mwamba kwenye ubora wako
Twaomba baaraka allah atupe mema safi,hongereni nyote mliofanikisha.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah 💕
Daahh hii kaz cp pow
Doooh mashaalla kazi kubwa sana
kiongoz naikubali Sana kz imesomwa kwa hisia zaid
Mashaallah nawaelewa sana
Kwa idd hii hakuna ya juu yake kazi hii hongereni
Maaashallah Hashyr umefunika
Mashallah kaz nzur
Safi sana rashid zungu na khelef muko vizur
Shukuran sana
Kaz kaz vijana 👏
Mashallah
Idii kwa sote ❤❤❤ mashaallah mashaallah alhamdullah
Weew ni fundi xanaaa
Maashaallah maashaallah maashaallah
Sheikh tubiaa, acha mizikii. Hiyo c AMALI njema na uanze kuswali acha uhuni
Masha'Allah 💯🔥🔥🔥
Dooh kazi mashaallah 🥰❤️
Kaka upo vyema. Mashaa Allah
Saw ndugu yangu kipenzi
Kaz kubwa sana
daaa Coras nimeikubal
Kaswida
Hakika mupo juu
Big up all....
Vigogo hivyoo mashaallah
Haina ishuuu mna khanisika tu apo wjinga nyiee
Achen kuimb nyimbo
Tuimbe nini
Shida kubwa
Nimeikubali swahib na nimeielewa
Hongera
😋
Masha Allah mjomba❤🎉
Mashallah 🔥 mafundi
Nyinyi hamna jipya ya juma ya faki ndio qaswida nyinyi munaomboleza kifo
🤣🤣🤣🤣
Kaka Nabill mbona Kazi nzuri sana hebu sikiliza kama Mara 5 ivi utaelewa tu au unasikiliza vinanda tu
Umemaliza 😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥….point and fact 💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯 #JUMA_FAKIH# Mtu mwengine nyieeeeeeeeee ile QASWIDA ni balaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hamna mbambaba
Video nzuri sana, ila sjui kwanini tunapozungumzia Eid, moja kwa moja idea ya video inakuja kukakaa katika nyumba kali, ila wengi wanaopenda kazi zenu wapo katika maisha ya kawaida, tunaweza kuwaonesha mazingira ya kawaida tu yanayotuhusu sisi. na kutafta production kali mfano ya hii.
Asante mkuu umeeleweka
Mm km mm director mgudisho nakupa 95%.audio ni hatari
🥰🔥
Mashallah
Acheni kuimba nyimbo tubieni kw mola wenu
Mashallah